Kumekua na upotoshaji, uzushi na propaganda juu ya kinachoendelea kati ya Iran na Pakistan...Ukweli ni kuwa Iran na Pakistan wanashirikiana hata wakati huu wana mazoezi ya pamoja ya kijeshi...
Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC.
Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la...
John Kirby, akiwa hapo jumba jeupe akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa niaba ya Joe Biden, amekiri moto wa Hamas ni mkali na hawawezi kabisa kuzima, sio leo sio kesho. Kukiri huko...
Viongozi Watatu wa Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wameitisha maandamano Nchi nzima mnamo Januari 20, 2024 siku ambayo Rais Félix Tshisekedi anatarajiwa kuapishwa kwa Awamu...
Hawa jamaa haya makombora yao sijui huwa wanayaweka nini maana likipiga shabaha lazima kituo kibaki kifusi tu.
Hizi picha zinaogofya balaa majasusi 6 wa Mossad ni miongoni mwa walioangamizwa na...
Wanakumbi.
Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale...
Singapore’s Transport Minister S. Iswaran has resigned after being charged with corruption on Thursday, the prime minister’s office said, confirming a historic development for a city state that...
[emoji1131][emoji631][emoji599][emoji845] BREAKING: The Iraqi Resistance shot down a US MQ-9 Reaper Drone near Baghdad.
-> Situation heats up everywhere.
Video of the downed American MQ-9 Reaper...
Today, we're going to delve into the fascinating history of the Yanghzou slogan and its profound lessons. Join me as we journey back in time and uncover the significance of this ancient wisdom...
Pakistan imemuita nyumbani balozi wake alieko nchini Iran na pia imesema haitomruhusu balozi wa Iran alieko nchini Iran kwa likizo kutorudi Pakistan.
Uamuzi huo wa serikali ya Pakistani umetolewa...
* Iran fired dozens of missiles and UAVs at Pakistan – Tasnim news agency
The headquarters of the organization Jaish ul-Adl in Pakistan is reported to have been destroyed...
Mazayuni ujanja umewaishia, kwanza walikiondowa Ghaza kikosi chao kikali kuliko vyote kinachoitwa Golan baada ya kuchezea kichapo na kuona morali ya askari wao ipo chini sana. Wakaona kuendelea...
Security Assistant to the Iranian Governor of Sistan and Baluchestan: Explosions sounded on the outskirts of the city of Saravan, near the border with Pakistan.
Pakistani intelligence official...
Maamuzi ya Iran kushambulia maeneo ndani ya Iraq na Pakistan bila ruhusa ya nchi hizo kwa kisingizio cha kuwafuata maadui zake yanaweza yakawa ni maamuzi ya kizembe katika kipindi hiki kigumu...
Utalii nchini Tanzania umekuwa ni moja ya sekta muhimu ambayo inaingiza mapato mengi na kutoa mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi nchini. Ni jambo lisilopingika kwamba Tanzania ni nchi...
Kamanda wa IRGC: Marekani iondoke karibu na ardhi ya Iran
Dec 03, 2021 04:47 UTC
[https://media]
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameitaka...
Katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, China imejenga uhusiano wa kina wa kiuchumi na nchi za Afrika, na kuifanya kuwa mshirika mkubwa zaidi wa biashara wa nchi hizo, na chanzo muhimu cha...
Hii ni habari kubwa na nzito.
Mahakama ya Makosa ya Jinai duniani wamefungua portal maalum kwa kila mwenye ushahidi kuthibitisha mauaji ya maangamizi ya halaiki dhidi ya Wapalestina atume...
Dunia salama ni ile yenye mbabe mmoja tu. Dunia ya wababe wengi ni hatari kubwa sana. Vita za dunia zinatokea sababu ya kuwepo kwa wababe wengi. Dunia ya wababe wengi siyo stable na wala haidumu...
Wanaukumbi,
🚨🇾🇪 BREAKING: Kampuni ya Shell Oil imesitisha usafirishaji wote wa Red Sea kwa muda usiojulikana, ikitaja hofu ya kuongezeka baada ya mgomo wa Marekani na Uingereza nchini Yemen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.