Audacity of Houthi rebels: Cruise missile fired again at American ship in Red Sea, fighter planes responded
Amid the Israel-Hamas war, Houthi rebels have targeted oil and cargo ships from Asia...
Yellow Weather imekuwa ikitoa tahadhari ya hali ya baridi kati katia maeneo ya Uingereza. Usiku wa kuamkia leo Hali joto ilishuka sanaa chini ya Nyuzi joto za Barafu na kusababisha baridi kali...
Huku mbiringe mbiringe zikiendelea baina ya Wamarekani na Wachina katika kugombania utawala wa kiteknolojia katika miaka na karne zijazo kaa nami karibu katika kukuletea taarifa mbalimbali kuhusu...
"Uzalishaji wa Tesla Nchi India una faida kwa pande zote mbili"
Mukesh Agh Rais wa Jukwaa la mikakati na ushirikiano baina ya Marekani na India amesema kuanza kwa uzalishaji wa kampuni ya Tesla...
ANI
New Delhi [India], January 14
Tesla production coming into India would be a 'win-win' situation for both parties, as it would provide the company with the opportunity to leverage 1.4 billion...
Machafuko ya Mashariki ya kati hivi sasa ni mchezo uliopangwa na nchi za Magharibi, hususan USA UK na NATO yote wakishirikiana na vibaraka wao. Ikumbukwe, Israel ni base tu ya Mmarekani...
Oblisco Capitale ni jengo (Tower) inayojengwa kuwa mojawapo ya alama za Jiji la Cairo. Mnara wa Oblisco Capitale unaotarajiwa kuwa urefu wa mita 1000 (KM 1) kwenda hewani utakamilika ifikapo mwaka...
Wakulima takriban 10,000 wamefunga Barabara katika Mji Mkuu wa Berlin kwa matrekta na malori katika maadhimisho ya Siku 7 za Maandamano ya kupinga kodi kubwa kwa Wakulima, yaliyozidisha shinikizo...
[emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599][emoji599]Houth wa Nchini yemen wameiahambulia meli ya kivita ya Marekani kwa makombora na...
Wanakumbi.
Taarifa za hivi punde kutoka kwa Hamas zinadai kuwa mateka wawili kati ya watatu walioonyeshwa kwenye video yao ya awali wamekufa kutokana na mashambulizi ya Israel huko Gaza...
Katika maadhimisho ya siku mia za vita kati ya Israel na Hamas waziri mkuu wa Israel ameiamrisha Misri ifunge mpaka wake na Gaza na kuiachia Israel kudhibiti eneo lote linalounganisha Gaza na nchi...
Marekani na washirika waliwataarifu wahouth kabla ya kushambulia na kuwataarifu watapiga wapi na wapi
UK and US striking Yemen - analysis
Last night's strikes on Yemen were severely limited to...
Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye.
Mimi japo ni...
Baada ya nchi za Kiafrika Mali, Burkina Faso na Niger kutengwa na Waafrika wenzao ndani ya umoja wa ECOWAS na kutiwa adabu ya kufungiwa biashara zote, kufungiwa umeme na huduma zote za kibinadamu...
Wakati Afrika ya Kusini ikimtegemea John Dugard, aliyewahi kufanya kazi Umoja wa Mataifa, Israeli wamepitisha jina la Malcom Shaw, kutoka Uingereza kuongoza majopo yao katika Mahakama ya...
Hii dhana kwamba Israel ilipwaya kwenye ujasusi hadi HAMAS wakapanga, kuratibu na hatimaye kuishambulia.
Wamefanya makusudi maana taarifa walikuwa nazo bila chembe ya shaka. HAMAS wameingia...
Iran imesogeza Meli zake Bahari Nyekundu tayari kwa lolote.
---
Iran's Alborz warship has passed through the Bab al-Mandab Strait and entered the Red Sea, the country's semi-official Tasnim news...
Photos: Israelis protests against Netanyahu in front of his residence
Israelis have staged a demonstration in front of the West Jerusalem residence of Israeli PM Netanyahu, chanting slogans and...
1. Andorra
Andorra moja ya nchi ndogo sana barani Ulaya iliyopo kati ya Spain na Ufarasa na ina watu 85,000 .
Nchi hii ina polisi wake weyewe ambao wanaitwa Cos de Policia d'Andorra, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.