Chama cha UDPS cha Rais wa Kongo Felix Tshisekedi kimeshinda asilimia 12 ya viti vya bunge katika uchaguzi wa Desemba, na kukiweka chama hicho mbele ya vyama vingine 44 vilivyopata kiti kimoja au...
Jeshi la Marekani linaendelea na mashambulizi ya ziada dhidi ya waasi wa Houthi nchini Yemen, siku moja baada ya kuanzisha wimbi la mashambulizi katika maeneo karibu 30 nchini humo ili...
Zimetimia siku 100 tangu wanamgambo wa Hamas waivamie Israel na kuuwa raia wasio na hatia 1200.
Takwimu zinasomeka hadi sasa Wapalestina takribani 24,000 Wengi wao wakiwa ni Wanawake na Watoto...
Biden asema amewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu mashambulizi ya Houthi
Taarifa kutoka Washington hivi punde zinasema Rais Joe Biden anasema Marekani imewasilisha ujumbe wa faragha kwa...
Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji...
Wakati huu ambapo Shetani anajaribu kuingiza Agenda yake ya technologia ya kuingiziwa chip watu kwebye mapaji ya uso na mikononi (666) ili kufanya manunuzi kwanza anataka auchafue ukristo ambapo...
Jamaa alikua ni mwanasayansi mkubwa sana wa Israel, mwanaanga na mtaalam na ndiye mwasisi mwa mipango ya makombora na silaha na wa kutegemewa sana kwa ajili ya jeshi na taifa la Israel aliuliwa na...
Nianzie mbali kidogo ili hoja yangu ieleweke.
Historia ya mtu mweusi kutamani kuukwaa urais wa Marekani haijaanza na Obama. Mnamo 1848, Frederick Douglass alikua mgombea wa kwanza wa urais wa...
Hii ni baada ya hayo magaidi ya kidini kupigwa na Marekani, sasa kila mmoja anajtokeza kuwalaani.....
The United Arab Emirates (UAE) has voiced serious concerns regarding the impact of recent...
Ajabu sana yaani, kwamba hawa magaidi wa kidini ilipaswa waachwe waendelee kulipua meli za watu bila kufanyiwa chochote, jameni Mungu tulinde sana haya mataifa ya uzombi wa kidini yasije kuwa...
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa (UN) wa kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambao umesaidia katika vita dhidi ya Waasi kwa zaidi ya miaka 20, unatarajiwa kuondoka rasmi Nchini...
Mzuka wanajamvi,
Naanza kwa kucheka hahaha kwikwikwi.
Meli ya uvuvi ya Iran Almeraj 1 imetekwa na maharamia ya Kisomali ambao wanadai usd 400000 ili kuichia pamoja na wavuvi wake.
Kumbuka...
Serikali ya Falme Za Kiarabu (UAE) imelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na magaidi wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham.
Pia wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran...
Hizi habari zinanichanganya, mbwa kala mbwa au mwenye uelewa wa hawa watu atusaidie, iweje Oman huko huko wakamate drones zinazopelekwa Yemen kutokea UAE, si wote kitu kimoja?
=====
Omani...
Marekani na Washirika wake wameendelea kuzishambulia kambi za majini za Magaidi wa Houthi
Ni mashambulizi ya mfululizo yanayoonekana yamepangwa kimkakati sana
Source Al jazeera news
Mlale Unono!
Kiufupi sana nimefuatilia mgogoro huu tangu nikiwa shule na sasa mm ni mtu mzima, ukiniuliza nini suruhisho la mgogoro kati ya isirael na palestina jibu ni moja ni vita ndo itamaliza mgogoro huu...
Katika vita vya Gaza vinavyoelekea ukingoni baada ya hasara kubwa, tumeshuhudia mambo mengi sana na mengi ya hayo ni ya kushangaza mno.
Binafsi kuna kitu nilikiona na nikajaribu kukifungulia uzi...
Hiyo Ndio taarifa ya hivi punde kupitia BBC
Kiukweli Dunia inapitia kipindi kigumu sana tumuombe sana Mungu wa Mbinguni aturehemu
Jumaa Mubarak
===
U.S. officials assess that there’s a...
Serikali ya Ujerumani imesema iko tayari kuiunga mkono Israel katika kesi yake kwenye mahakama ya ICJ nchini Uholanzi.
Kesi hiyo iliyowasilishwa na serikali ya Afrika Kusini inaituhumu Israel kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.