Raia wa Iran hawaruhusiwi kwenda kuhiji Saudi, hawatapata fursa ya kwenda kupiga shetani mawe......
Flights to Saudi for Iranian pilgrims traveling to Umrah have been canceled amid ‘technical...
Katika majibizano makali mnamo Machi 23, 2023, Congressman Matt Gaetz alimuhoji kiundani Kamanda wa Kamandi ya U.S. Afrika, Jenerali Michael Langley kuhusu Dola za Walipa Kodi wa Marekani...
Baada ya South Africa kujenga Hoja zao kwa umahiri mkubwa sana Jaji amesema Kesho 12/1/2024 ni zamu ya kusikiliza upande wa Israel ukijitetea
Yaani Taifa Takatifu Katika Utetezi
Tuwaombee!
10 Januari 2024
Na Charlie Northcott, Helen Spooner & Tamasin Ford
BBC Africa Eye
BBC inafichua jinsi kiongozi wa kanisa kuu marehemu TB Joshua, ambaye anatuhumiwa kwa uhalifu wa kingono kwa...
Kumekucha.
Kuna habari nimeipata kutoka chanzo nyeti kuwa Congo DRC na Burundi zinajipanga kuishambulia Rwanda. Haijabainika tarehe halisi ya mashambulizi na uvamizi ila chanzo hicho kimedai ni...
Kundi la Al-Shabab limeikamata Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) ikiwa na Watu Wanane wakati ilipotua kwa dharura katika eneo linaloshikiliwa na kundi hilo katikati mwa Somalia.
Kituo cha Habari...
Wanaume waliojifunika sura zao wamevamua Studio ya TV (TC Television) ya Umma katika Mji wa Guayaquil wakiwa na silaha za moto na marungu wakati wa matangazo yakiwa mubashara kisha kuwateka...
Meli inayoitwa Mt/Stindra inaendelea kuwaka moto na karibu ya kuzama baada ya makombora ya Houth kuishambulia katikati ya meli kadhaa za kivita za Marekani na Ufaransa.
Kwa mujibu wa wasemaji wa...
Wanaukumbi.
https://x.com/qudsnen/status/1745379031334437068?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - NCHI ZINAZOUNGA MKONO KUWAFIKISHA ISRAEL
Leo, Afrika Kusini inawasilisha madai ya...
Kiongozi mkuu wa Houthi amesema kila shambulio litakalofanywa na Marekani na Washirika wake litajibiwa kwa Uzito Uliopitiliza
Mkuu huyo wa Houthi amesema kuanzia sasa hawatakuwa na Uvumilivu...
Taarifa hii nimeipata 6 Days ago
Mashahidi wanarudishwa katika makaburi yao baada ya kufukuliwa na Mazayuni na kuiba viungo vyao.
Huu ni unyama na ukatili wa hali ya juu kwa Wapalestina.
Nsoji...
Wanamgambo wa Houthi wa Yemen ambao wamekuwa wakishambulia meli katika bahari nyekundu wamezidi kuliweka taifa lenye idadi kubwa zaidi ya Waarabu duniani la Misri katika ukata wa mkubwa kifedha...
Habari wakuu.
Kulingana na ukweli kuwa Demokrasia ya Marekani ni tofauti sana na yetu ambapo matokeo ya Urais yanaamuliwa na Electoral college votes, kwenye majimbo 50 kila jimbo linakuwa na...
Katika Jiji la New York na jiji la Washington, makumi ya watu waandamana kupinga mashambulizi yanayofanyika huko Yemen.
Marekani na Uingereza wamefanya mashambulizi makubwa katika kambi za...
Tunisia ni nchi iliyoendelea zaidi Afrika in terms of economic competivenes, na kama hilo halitoshi Tunisia ni majority waislamu hivyo unaweza hata kuuita an islamic republic kama uwingi wa...
1. Ama kweli za mwizi zinahesabika na jana ilikuwa ya 39.
2. Kimeumana mahakamani; kwamba aliyoyanena msauzi Jana, ati kuwa ndiyo haswa ushahidi wake?
3. Ati kuwa yeye ndiye amekuwa akitaka...
Janjaweed ni kundi la wanamgambo Waarabu lililoundwa kwa msaada wa serikali ya Sudan ya wakati huo ya Omar Al-Bashir kupambana na uasi wa kujitenga wa Darfur, inayokaliwa na watu weusi.
Janjaweed...
Hakuna kama Yehova,
1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani,
2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari...
Huku kesi dhidi ya Israel iliyofunguliwa ICJ na Afrika kusini ikinguruma kule Gaza ya kaskazini wananchi wameanza kurudi majumbani mwao kutoka kila upande walikokimbilia
Hayo yanatokea wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.