Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi anatarajiwa kufanya ziara katika nchi za Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire kuanzia tarehe 13 hadi 18 mwezi huu. Huu ni mwaka wa 34 mfululizo kwa waziri...
Watu waliishi kila siku wakijiandaa kuifuta Israel, badala wajenge viwanda vya kusaidia jamii wao wanajenga vya makombora ya kuelekeza Israel, jameni hawa wana bahati sana maana wangekua na...
Wana habari walijificha kwenye mgongo wa uanahabari huku wakifanya yao, ila hawakujua siku zao zilihesabika...
Military claims documents found in Strip reveal pair working for Al Jazeera were...
Vita baina ya Israel na Vikundi vya Kihafidhina vinavyotafsiriwa na watu wa Magharibi kama vya kighaidi vya HAMAS, HEZBOLLAH na HOUTHI vinaelekea kusambaa na kuamsha INTIFADA YA DUNIA ambayo...
Mgogoro wa ardhi baina ya Palestine na Israel unavuta Sana hisia za watu wengi ulimwenguni
Huu mgogoro ni wa ardhi. Tukiangalia kuna migogoro mingi Sana ya ardhi duniani.
Mfano:
1) India na...
Mwili wa TB Joshua unatarajiwa kuzikwa Mwezi huu, Nchini Nigeria
Kwa Mujibu wa ripoti kutoka Nchini Humo TB Joshua atapumzishwa kwenye Makazi yake ya Milele Siku ya Jumapili (julai 11, 2021)...
Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza.
Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5...
Wakati Tanzania na China zikitarajiwa kuadhimisha miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia mwaka 2024, huku zikikubaliana kufanya mwaka huu wa 2024 kuwa wa utalii na utamaduni, nchi hizi mbili kwa...
Mwishoni mwa mwezi Desemba Balozi wa China nchini Botswana Bwana Wang Xue aliikabidhi Botswana kituo cha utabiri wa hali ya hewa kinachohamishika. Huu ni moja ya misaada inayotolewa na China kwa...
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo kuhusu taarifa
Author,Na Laith Issam
Nafasi,BBC News Arabic
9 Januari 2024
Madai kwamba vuguvugu la Hamas ulikuwa mradi wa Israel yamekuwa yakisambazwa...
Kila siku najiuliza kwanini tunapenda kuwalaumu western countries hasa USA wakati wezi ni wa Hindi, waChina, Wa Arab.
Nchi za ki Africa zimejaa wa Hindi, waChina na wa Arab.
Huwezi kuona sana...
Mara kadhaa tumejadili na kuhoji kwa nini watoto na watu wengine wasio na hatia wafe pamoja na magaidi wa Hamas? Kama kweli nchi zinazoizunguka Palestina zina upendo kwa Wapalestina, kwa nini...
Rais wa Bola Tinubu ametangaza kupunguza idadi ya Watu wanaombatana kwenye Misafara yake, Mke wake, Makamu wa Rais, Mawaziri na Viongozi wengine wa Juu Serikalini huku lengo likiwa kupunguza...
Hawa watu kamwe tusiwaruhusu wajipenyeze kwenye siasa za nchi hii hao kwenye fursa au sehrmu ambayo wanafaidika wapo radhi kukuua ili wapate wanachokipata na tena wanajifanya watu wa dini dini...
Mmoja ya waziri katika baraza la vita la Israel, Benny Gantz ameweka wazi kuwa muda wa majadiliano unakaribia kuisha na kwamba nchi yake itaingia kuipiga Lebanon yote iwapo Serikali ya nchi hiyo...
Waziri wa Foreign mh Blinken amesema Marekani haitaunga mkono wazo lolote la kushawishi Wapalestina waondolewe Gaza na badala yake Wapalestina watarejea Kwenye makazi yao hali itakaporuhusu baada...
Kiukweli hii vita kwa upande wa Israeli imekua ngumu sanaa tangu kuanza kwa ground invasion. Siku ya leo ni katika siku ngumu sanaa IDF wamepoteza wanajeshi zaidi ya 100 katika shambulio la ghafla...
Mahakama ya Kikatiba imetupilia mbali Kesi mbili zilizofunguliwa na baadhi ya Wagombea Urais nchini humo waliopinga Mtaokeo ya Kura za Uchaguzi Mkuu uliompa Ushindi Felix Tshisekedi na hivyo...
09 January 2024
Washington DC
Maswali Mengi Juu Ya Afya ya Waziri Wa Ulinzi wa Marekani
https://m.youtube.com/watch?v=xHZWbI5w3NY
WHITE HOUSE
Jan. 9, 2024, 7:26 PM
By Courtney Kube and Rebecca...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.