Ifahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM.
Sasa hapo Gaza wamekumbwa na changamoto...
General Salam kamanda wa IRGC amewaambia Marekani na Israeli kama wao wanaume basi waje kupigana na Iran waache kuimba taarabu na kupigana na wanawake na watoto wasio na hatia.
General Salami...
Makazi mapya ya "hiari" ya Wapalestina kutoka Gaza polepole yanakuwa sera rasmi ya serikali, huku afisa mkuu akisema kuwa Israel imefanya mazungumzo na nchi kadhaa kwa ajili ya kufyonzwa kwao...
Wapalestina wa Dini ya Kikristo madhehebu ya Orthodox wamesheherekea Christmas Kimya Kimya huku wakitimiza miezi mitatu kamili wakiwa Vitani dhidi ya Wayahudi
Ikumbukwe Hamas.waliivamia Israel...
Ousman Sonko ambaye aliwahi kuhudumu katika Serikali ya Rais Yahya Jammeh, anatuhumiwa kufanya Ubakaji dhidi ya Raia, Kuagiza Watu Wauawe huku wengine Wakitekwa na Kuteswa kati ya mwaka 2000 hadi...
Just a few hours before the new year, DStv consumers were very alarmed to see a termination notice put up on Emmanuel TV. A christian television channel founded by the former TB Joshua is set to...
Yamezuka mabishano kwenye kikao cha Baraza la Vita kufuatia mwenendo wa hali halisi ilivyo Gaza
Wajumbe hawapendi Vita ichukue muda mrefu Wanataka imalizwe haraka kwa namna yoyote ile
Netanyahu...
Ukistaajabu ya Musa, utashangaa ya Farao.
Deni la Marekani kwa takwimu za 2023, limefikia $34 trilioni. Kiwango hiki kinaifanya Marekani kuwa kinara wa deni kubwa kabisa duniani. Kumbe hata...
Jeshi lenye mrengo wa Kigaidi la Marekani limejitutumua nakusema lipo tayari kushambulia maeneo ya Houth. Hata hivyo wapiganaji wa Houth wamepuuzilia mbali onyo hilo na kusema watapigana mpaka...
Wanaukumbi.
BREAKING:
⚡ 🇮🇱 Pigo jingine kubwa la kiuchumi kwa Israeli
Cosco yasitisha usafirishaji wa Israel huku kukiwa na mvutano wa Bahari Nyekundu.
Cosco, inadhibiti 5.2% ya uwezo wa...
Nimeona watu wengi wakilalamikia kitendo cha baadhi ya raia wanyarwanda wanaopoteza maisha kulalamikiwa kuwa serikali ya Rais kagame inahusika ingawa hakuna ushahidi.
Mimi kwa maoni yangu binafsi...
Waziri wa Ulinzi wa Israel ametoa mwongozo wa namna Gaza Mpya baada ya Vita itakavyokuwa
Mosi, hapatakuwa tena na kitu kinachoitwa Hamas
Pili, Misri inaweza kushirikishwa katika maeneo kadhaa...
Mawaziri Watatu wa Israel wamesusa kuhudhuria kikao cha Baraza la Vita kinachofanyika kila Jumapili
Ikumbukwe kikao kilichopita zilizuka vurugu baada ya baadhi ya Mawaziri kuukataa mpango wa...
War and International Trade.
Hivi ndio mizigo inasafirishwa kutoka Asia kwenda Israel.
Impact: Bei za Bidhaa kupaa>Mfumko wa bei>>Uasi wa waIsrael dhidi ya Netanyahu.
📷 Sprinter.
Gazeti la Global Times linalodhibitiwa na serikali ya China limepongeza sera za kiuchumi za India na mafanikio ya kidiplomasia katika kipindi cha miaka minne iliyopita chini ya uongozi wa Waziri...
Angekuwa na Kiasi yasingemkuta yote Haya
Kazi Mzuri aliyofanya kwa siku nyingi imechafuliwa na Hamas kwa Siku Moja tu ya 7 October 2023
Mungu Ibariki Israel
Mwandishi wa Al jazeera Wael Al Dahdouh amepata janga lingine baada ya mtoto wake Hamza kuuawa Kwenye shambulio la IDF akiwa Kwenye gari
Awali idf walishawauwa mke na Watoto wengine wa Wael...
UN Habitat umesema Gaza imebondwabondwa na kuchimbuliwachimbulia kiasi ambacho Siyo rahisi Kujengeka tena
Wamesema Miundombinu ya kibinadamu kwa asilimia kubwa imevurugwa Kabisa kwa namna...
Mtayarishaji na muigizaji wa filamu maarufu Hollywood Mel Gibson juzi kati ampeost picha iliyojaa ujumbe mzito.
Picha hiyo inajieleza kuliko maneno elfu moja.
Muwe na Boxing Day njema wakulungwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.