Raisi WA Ukraine Vlodomir Zelensky amesema nchi yake iko tayari kutoa kipande Cha ardhi yake Kwa urusi ili kumaliza vita na uhasama baina Yao.
Chanzo: SPECTATOR INDEX
Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius).
Trump akaendelea...
Baadhi ya wanawake ambao waume zao walikuwa wanajeshi wa FRDC(jeshi la DRC), wanahangaika sana baada ya waume zao kufia vitani, wengine wapo kambini ilipo MONUSCO, wengine wamekimbilia nchi jirani...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya urusi imeshtukia mchezo mchafu baada ya kugundua vifaa vya mawasiliano walivyouziwa/ kupewa na kampuni ya kichina kukutwa vimetegeshwa vilipuzi
Kama vile...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaa
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Dozens of Lebanese nationals have been stranded at the international airport in Tehran since this morning after...
The European Union member countries which includes France, Germany, Italy, expressed their shared commitment to multilateralism, the rule of law, non-racialism, and non-sexism in South Africa...
Raia wengi wa Nigeria wamekuwa wakihusishwa na utapeli kila kona ya dunia kuanzia nchi za Africa, Uarabuni, Ulaya hadi Marekani.
Kwa nini Nigeria imekuwa ikizalisha matapeli wengi hivi wa...
Kweli kuwa Bilionea siyo mwisho wa matatizo. Angalia mahusiano mabaya ya Elon Musk dhidi ya wanafamilia wake:-
1. Wake wa Zamani
Elon Musk amewahi kuoa mara mbili kwa wanawake wawili tofauti...
Baada ya wiki mbili, kufuatia vita vya serikali ya DRC na kundi la waasi la M23, wanajeshi wa FARDC, waliokuwa wamekimbilia kwenye kambi ya MONUSCO, wameamua kutoka na kujipeleka kwenye kambi ya...
12 February 2025
Arusha, Tanzania
DR CONGO YAFUNGUA KESI MAHAKAMA YA AFRIKA, RWANDA YAWEKA PINGAMIZI MAHAKAMA HAINA MAMLAKA
DR Congo Vs Rwanda Katika Mahakama ya Afrika-AfCHPR...
Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) limesema limepata ushahidi mpya kuhusu mauaji ya aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Rais Donald Trump.
FBI...
Paul Kagame,anampiga vita Baba Raila Odinga asiwe rais wa kamisheni ya Afrika,kwani anajua kuwa hawezi kumburuza.Kiburi na jeuri ya Kagame itaendelea mpaka lini?
Kuna uwezekano Isreal na Marekani wakaivamia tena Gaza. Ninavyoandika, Trump anapanga kuwahamisha na kuwanyang'anya ardhi yao kwa maslahi binafsi na Netanyahu.
Je, ataweza au ndo mgogoro unaanza...
Mikono yetu ipo kwenye trigger na tupo tayari kwa mapambano kama Israel atasitisha makubaliano na kuamua kushambulia gaza-HOUTHI
HOUTHI wametoa msimamo huo mara baada ya Hamas kudai hawatoachia...
Wanaukumbi.
⚡️🇺🇸🇮🇱JUST IN: Journalist Lior Kordner said in a podcast for Haaretz newspaper:
Trump intervened forcefully to end the war, and all the right-wing supporters were living in a dream...
Umoja wa Ulaya (EU) unatarajia kufanya mapitio ya mpango wake wa misaada ya kigeni ili kuendana na maslahi yake ya kisiasa huku ikikabiliwa na changamoto za bajeti, ongezeko la gharama za ulinzi...
Wakati hapa Tanzania hadi Watoto wa Viongozi wametengenezwa kuwa Machawa wenzetu huko mbele mambo ni tofauti Kabisa
Chukulia mfano mdogo tu wa mtoto wa Elon Musk aitwaye X na CHAWA Mkuu wa...
Meja Evariste Ndayizeye kutoka jeshi la Burundi, anaesadikika kuwa miongoni mwa wapiganaji mahili, ameuliwa na M23 huko Kivu kusini.
Ni katika mapambano ya M23 kuhakikisha inaudunga uwanja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.