International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

M23 wachukuwa uwanja wa ndenge wa Kavumu kule Bukavu south kivu. Soon na mji wa Bukavu utachukuliwa. Tshisekedi kaenda Paris kufanya sherehe za Valentine's day na Mke wake. Na wanajeshi wa Burundi...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Huyu mwandishi wa habari alikuwa anajikakamua na Kingereza chake cha kuunga unga na lafudhi ya Kihindi kwenye press conference ya Trump na Modi Trump akamwambia haelewi hata neno moja analolitamka...
4 Reactions
19 Replies
736 Views
Kikao hicho kinatazamiwa kufanyika jumatatu ya wiki ijayo. Xi to chair symposium attended by Jack Ma and other Chinese business leaders, sources say By Reuters February 14, 202512:25 PM...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
John Bolton mshauri wa masuala ya usalama na ulinzi wa marais wengi wa Marekani na mtu mwenye misimamo mikali ya kivita amelaani vikali Trump kuisalimisha Ukraine kwa Russia kabla hata mazungumzo...
14 Reactions
97 Replies
4K Views
Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe. Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya...
7 Reactions
48 Replies
1K Views
Marais na wawakilishi wao waliokaa Dar es salaam tarehe 08 Febuari kujadili amani ya Kongo ni bure kabisa. Nilisema hili mapema kabisa ingawa baadhi ya watu waliniona niko wrong lakini sasa...
1 Reactions
1 Replies
191 Views
https://www.youtube.com/watch?v=VSeLKOuuolI&t=729s Ukimsikiliza vizuri na kwa utuo imla wa Rwanda, Paul Kagame anavyoongea kwa kujiamini huku akipiga vijembe kuwa wanaomtisha ni maputo yanayoweza...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Jaji Ali wa Federal Court ya huko Marekani ameondoa amri ya kuzuia misaada iliyowekwa na Trump mpaka kesi mbalimbali zilizofunguliwa na makundi mbalimbali ya watu zitakaposikilizwa na kutolewa...
1 Reactions
15 Replies
790 Views
Naona Raila hana bahati. SADC yamruka na kumuunga mkono mgombea kutoka Madagascar na imeiomba jumuiya Africa Magharibi kufanya hivyo pia.
0 Reactions
3 Replies
312 Views
Siku tatu baada ya shambulio la kuvuka mpaka la Ukraine katika eneo la Kursk nchini Urusi, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Moscow lazima "ihisi" matokeo ya uvamizi wake Ukraine. "Urusi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana Raila Odinga na wenzake walifanyiwa mdahalo ikiwa ni maandalizi ya kuukwaa uwenyekiti wa AU hapo February 2025 Mtakie neno la heri kwake.
1 Reactions
14 Replies
860 Views
Waasi wa M23 wameingia Kavumu ni km 25 toka Bukavu airport hatua hiyo imepeleka wanadiplomasia kuondelea Bukavu kwenda Rwanda, tutegemee kuona mapigano ktk jiji la Bukavu siku siyo nyingi.
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Huko Marekani kuna wanawake wameanza kulalamika kwamba ingekuwa ni mwanamke anafanya kama anavyofanya Elon Musk kwenda na watoto wake kazini Ikulu ya Marekani watu wangepiga kelele sana! Haya...
0 Reactions
12 Replies
473 Views
  • Redirect
Rais wa Liberia, Joseph Boakai, amewasimamisha kazi maafisa wa serikali wasiopungua 450, wakiwemo mawaziri kwa kushindwa kubainisha mali zao kwa tume ya kupambana na ufisadi (LACC) Kwa mujibu wa...
0 Reactions
Replies
Views
Ndege zote zilizosajiliwa nchini Rwanda au kwingineko lakini zenye Makao yake nchini Rwanda, zimepigwa marufuku kuruka juu ya anga ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mamlaka ya DR Congo...
5 Reactions
13 Replies
650 Views
Hamas imetangaza Alhamisi kuwa itawaachilia huru mateka watatu wa kutoka Israel kama ilivyopangwa. Awali, Hamas ilikuwa imetishia kuchelewesha kuachiliwa kwa mateka, ikidai Israel haijatimiza...
1 Reactions
2 Replies
322 Views
Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Iran kupitia Jeshi lake la irgc wameanza kuwapelekea Fedha magaidi ya Hezbollah kupitia uwanja wa ndege wa Beirut =============== Iran’s IRGC Quds Force has...
4 Reactions
29 Replies
800 Views
Wadau hamjamboni nyote? Siku ya jana, Elon Musk alimtembelea Rais wa Marekani Donald Trump kwenye ofisi ya Rais maarufu kama Oval Office. Kilichovutia na kushtua wengi ni baada ya kumleta mwanae...
11 Reactions
43 Replies
3K Views
U.S. Senate CONFIRMS Robert F. Kennedy as Secretary of Health and Human Services Hal Turner World February 13, 2025 By a Vote of 52 to 48, the United States Senate has CONFIRMED the nomination...
0 Reactions
2 Replies
193 Views
Kama mmoja wa Taifa na Bara ambalo limekuwa marginalized kwa kutumia mabavu hapo kabla na mpaka sasa hivi kwa hila / ujanja na ulafi wa viongozi wetu ninafurahia kinachotokea.... Nina uhakika...
8 Reactions
69 Replies
1K Views
Back
Top Bottom