International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, anapenda kuwafahamisha wakazi wa Kivu kasikazini na Kivu kusini, hasa miji ya Goma na Bukavu, kuwa miaro yote ya ya Goma na Bukavu kuanzia sasa inatoa huduma masaa...
2 Reactions
2 Replies
222 Views
Kwanza ningekuwa Rais wa nchi ningewachoma LGBT wote kwa moto wa Petroli ili kukomesha kabisaa hizo tabia za kumchukiza Mwenyezi Mungu. Katika hali isiyo ya kawaida hata wale wanaojinasibu...
7 Reactions
129 Replies
9K Views
Leo hii, tarehe 17 Februari 2025, mjini Goma, asubuhi ya leo kumekuwa na maandamano; lengo likiwa wanajeshi wa UN waliopo Congo,hususani Goma, kwa zaidi ya miaka 20, waondoke, na kwamba usalama...
2 Reactions
11 Replies
330 Views
Dalili zote ni kwamba,huyu jamaa atakimbia nchi maana hana jeshi,ha hata sijui anafanya nini hivi sasa
12 Reactions
61 Replies
2K Views
Hivi karibuni kijana mmoja Mmarekani mwenye asili ya Afrika aliuawa na kijana mzungu kwenye treni ya chini ya ardhi mjini New York, Marekani, lakini mhusika wa mauaji hayo aliachiliwa huru baada...
1 Reactions
9 Replies
850 Views
Elon Musk, mtu tajiri zaidi duniàni siku za hivi karibuni amekuwa akifanya kazi pamoja na Rais Trump. Ukaribu wao unawatia watu wasiwasi hivyi kwamba baadhi ya wataalamu wanadai Serikali ya...
3 Reactions
25 Replies
975 Views
Huko Kivu kusini, mwashariki mwa DRC, mpaka sasa, safari ya M23, inaelekea Bukavu mjini. Ni baada ya kuipokonya FARDC,Wazalendo,South Africa na Burundi uwanja wa ndege wa Kavumu. Kwa hali isiyo...
2 Reactions
76 Replies
2K Views
https://x.com/bless_link/status/1890707010196586948 Pichani, ni video. Inasemekana watu hao wanapelekwa uwanjani chini ya ulizni wa vyombo vya dola. Msako mkali mjini Bujumbura, unaendelea...
6 Reactions
61 Replies
2K Views
Miongoni wakiwa ni wale waliohukumiwa kifo juzi, baada ya M23 kuingia mjini Bukavu, walinzi wa gereza la Bukavu waliondoka zao na kuwaacha wafungwa, ambao pia waliona isiwe tabu, wakarudi kwanza...
5 Reactions
4 Replies
330 Views
Jeshi la wanamaji(marine) la Rwanda, lilokuwa linafanya dolia katika ziwa Kivu, karibu na kisiwa cha Idjwi, limeshambuliwa na jeshi la DRC lililopo katika kisiwa cha Idjwi. Ilikuwa mida ya saa...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
  • Redirect
Raida Odinga "baba" ameshindwa kupata kura za kutosha kushinda nafasi tajwa hapo juu Ila kilichonifanya niandike hapa, sio habari ya kushindwa BALI ni Mshikamano walio onesha Wakenya wakati wote...
1 Reactions
Replies
Views
In a recent development that has stirred international controversy, U.S. Congressman Scott Perry from Pennsylvania has made startling allegations suggesting that the United States Agency for...
0 Reactions
3 Replies
417 Views
Majeshi ya Israel IDF bado yanaendelea kushusha kipondo ki Takatifu kwa magaidi wa Hezboullah baada ya magaidi hao kukiuka masharti ya kusitisha mapigano huko kusin mwa Lebanon.
2 Reactions
11 Replies
354 Views
Fungua hii hapa: https://youtu.be/lElMstEAAww?si=0nAu1Paai2oo95i8
3 Reactions
62 Replies
2K Views
Wakati Trump anamsubiria Narendra Modi Waziri mkuu wa India kufika White House Trump akawa anapiga story na waandishi wa habari, wakumuuliza vipi kuhusu BRICS, amewajibu kwa tambo na makeke sana...
16 Reactions
88 Replies
3K Views
Jeshi la marekani limesema halitoruhusu tena MASHOGA kujiunga na jeshi Hilo. Chanzo: SPECTATOR INDEX
5 Reactions
20 Replies
777 Views
Kama kawaida, habari ziwafikie wote mnaopenda vita(roho za wenzenu zipo juu, wengine wanakula kama hakuna kinachoendelea) Toka jana, badhi ya maeneo mengi ya Bukavu, wanaonekana wanajeshi wa M23...
4 Reactions
14 Replies
771 Views
Monrovia, Liberia: Rais Boakai akaza misuli, Awasimamisha Kazi Maafisa 457—Wakiwemo Mawaziri, Mabalozi—Kwa Kushindwa Kutangaza Mali. Februari 13, 2025 MONROVIA - Rais Joseph Boakai Jumatano...
1 Reactions
3 Replies
327 Views
Kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka huu 2025, waasi wa kitusi wa Burundi likiwemo kundi la Red Tabara wamekuwa wakifadhiliwa na kupewa mafunzo na Rwanda kwa lengo la kufanya mapinduzi nchini Burundi...
40 Reactions
142 Replies
5K Views
Baada ya kuwa M23 iliingia mjini Bukavu jana jioni, iliendelea na mambo yake, na leo asubuhi ndo jeshi lake likawasili mpakani,na kukuta pako wazi, baada ya jeshi la serikali na wafanyakasi wa...
1 Reactions
13 Replies
556 Views
Back
Top Bottom