Hamna ukweli wowote kwamba Uingereza mnamo 2050 itakuwa nchi ya kislamu
Hakuna ukweli wowote kwamba Ulaya na Marekani wanaugeukia Uislamu kwa wingi
Wakristo wana hofu wakisikia hivyo
Waislam...
Kipindi akiwa kwenye kampeni za kutafuta Urais mwaka 2024, Rais wa Marekani Donald Trump aliahidi kumaliza mgogoro kati ya Ukraine na Urusi
Mwezi takribani mmoja baada ya kuapishwa, tayari...
15 February 2025
Kivu DR Congo
JENERALI SULTANI MAKENGA AJITOKEZA HADHARANI, NA KUSISITIZA NIDHAMU
Jenerali Sultani Emmanuel Makenga ajitokeza na kutembelea askari waliotekwa wa jeshi la...
Excerpt: Rwanda has suspended its 2024-2029 development cooperation agreement with Belgium, citing Brussels' push for EU sanctions and economic pressure over alleged support for M23 rebels. This...
Maonesho ya biashara ya Utalii (COTTM) yamemalizika hivi karibuni mjini Beijing, China.
Maonesho haya yaliyofunguliwa tarehe 16 na kuendelea hadi tarehe 18 mwezi wa 10, yalitoa jukwaa muhimu la...
M23 Rebels Call for Overthrow of Tshisekedi’s Government
The ongoing conflict in the eastern Democratic Republic of Congo (DRC) has escalated significantly as the March 23 Movement (M23)...
Chezea njaa wewe.
Njemba zinakomaa lakini cha moto wanakiona.
Baada ya Taifa teule la Israel kuruhusu kwa wingi malori yaliyojaa chakula kuingia Gazza Hamas wamefurahi kweli nakuahidi kuachia...
Maelfu ya wanajeshi wa FARD walioweka silaha chini na kujisalimisha kwa M23, leo hii wamehitimu mafunzo yao ya muda mfupi na kula kiapo kipya.
Wanajeshi hao baada ya kukabidhiwa sale mpya za M23...
Wanaukumbi.
CAIRO (AP) - Misri inasonga mbele na mpango wa kuijenga upya Gaza bila kuwalazimisha Wapalestina kutoka nje ya eneo hilo kujibu pendekezo la Rais Donald Trump la kuhama eneo hilo ili...
Kwa wale wenye kumbukumbu watakumbuka kile kikosi cha kijeshi cha waasi Sudan kilichokua na jina la Janjaweed wakati wa enzi ya utawala wa el Bashir.
Kikosi hiki kilichoundwa na wasudan wenye...
"Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo."...
Kwa source za ki intelgensia unaambiwa m23 wapo kila sehemu kwa sasa hawategemei struggle kuteka mji kama ilivo mwanzo uko kivu.
KWA NN BUKAVU IMEKAMATIKA KIRAISI?
m23 wamejipanga na wana...
Hii ilitokea wakiwa wanajadili masuala kadhaa ya biashara Waziri wa Russia wa Kilimo akatolea mfano jinsi Ujerumani inafaidika kwa mauzo ya kitimoto/nguruwe kwa mamilioni ya tani kwenye nchi...
Ok wana jamvi twende kazi
KATI YA MAREKANI NA CHINA
Naona hapa nchi zote hizo zina moto yani 🔥🔥🔥
Haya wataalamu wa uchumi na kujitafuta na pia wale waliofika au wanaishi katika izo nchi tajwa...
17 February 2025
Bujumbura, Burundi
https://m.youtube.com/watch?v=WQg06wGKXV0
Jeshi la polisi laimarisha usalama, na kuendesha operesheni kukamata wageni wasio na vitambulisho
Wakati wengine...
Afisa wa Hamas, Taher al-Nunu Hamas amethibitisha kuwa itawaachilia wanawake wanne wa kutoka Israel waliokuwa mateka kwa kubadilishana na wafungwa wa Kipalestina.
Hili litakuwa tukio la pili la...
Wiki hii Rais wa marekani ametoa taarifa kuwa ikiwa Hamas haitawaachia mateka wa Israel jumamosi mchana watavunja makubaliano na kuanzia mashambulizi.
Hamas imetoa taarifa rasmi kuwa haitafuata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.