Baada ya ombi la kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis kwa serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani kulegeza sera yake dhidi ya wahamiaji haramu kwamba utekelezwaji wake...
Kinaenda kunuka huko Bunia. Jeshi la Uganda, leo limeingia nchini DRC, kukabiliana na vikundi vya wapiganaji wanaotumia siraha, wanaotekeleza mauaji ya Wahima kutoka Uganda. Huko pia ikumbukwe...
Ukiangalia hiyo chart hapo juu utaona zaidi ya Egypt hakuna nchi nyingine ya Africa iliyonufaika missada ya US kupitia USAID kama nchi za mabara mengine mfanonUlaya.
Lakini toka rais Trump asaini...
Lambert MENDE, aliwahi kusema haya:
https://x.com/JKapitene/status/1888165972340584920
Mmeuliza kama hakuna haja ya kuzungumza na kukubaliana na M23. Nimesimama hapa na niongee kwa kauli ya...
Watu 15 akiwemo Mtoto, wamejeruhiwa huku baadhi yao wakiwaishwa Hospitali kutokana na majeraha waliyoyapata baada ya Ndege ya Delta ya Nchini Marekani kupata ajali leo kwa kubinuka juu chini...
IDF imethibitisha kufanya shambulio la anga katika mji wa pwani wa Sidon, Lebanon, asubuhi ya leo, na kumuua kamanda mwandamizi wa Hamas.
Shabaha ya shambulio hilo, Mohammed Shaheen, alikuwa mkuu...
Wakuu,
Muda mfupi baada ya kuwepo kwa taarfa kuwa Bashar Al Assad amekimbia nchi na kwenda kusikojulikana, Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametoa tamko
Trump amesema kuwa moja ya sabu ya...
Wakuu,
Kwa mara ya kwanza tangu ipate uhuru Senegal imeanza kusafisha mafuta ghafi ambayo yanazalishwa ndani ya nchi, ikifungua mlango mpya katika sekta ya nishati.
Kampuni ya African Refinery...
Mi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama.
Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
Haya Yangu macho
Mwamba ametangaza hataki kusikia tena mateka 3-4-8
Anataka mateka wote saa kumi na mbili jioni wawe Tel Aviv
Else hataki kusikia Majadiliano yakiendelea
Na hamas WAKUBALIANE...
Marekani inawauliza Ulaya kile wanachohitaji kwa dhamana ya usalama ya Ukraine.
Kinachoonekana ni kwamba tofauti na wengi tulivyokuwa tunafikiria kwamba Trump ataisalimisha Ukraine kirahisi kwa...
Kuachana na propaganda zote zinazoendelea kuwa Kagame anasaidia waasi kuiharibu Congo, ukweli ni kwamba Congo is a failed state. Huu ni mwaka 2025, Congo haina mifumo yoyote ya kusaidia kuiongoza...
Meli za Kivita za Jeshi la Wanamaji za Marekani na Russia wafanya mazoezi Pamoja; Uchina, Mataifa ya QUAD Pia Yajiunga na Komodo 2025.
Kwa upande wa matukio ambayo yanapinga mivutano na ushindani...
https://x.com/dr_dash250/status/1891461698176811367
Mwa huu una mapya.
M23 ikiwa Bukavu,imewaomba wakazi wa maeneo hayo kuhakikisha waliojihusisha na wizi wa mali za watu,wanarudisha kwa usalama...
JUST WATCH THIS!
... they find themselves in a situation where it's no longer the question of 'left or right' but feel like they could be spiraling into FASCISM AND AUTOCRACY through their...
Jamani, vita vya DRC ni kama comedi.
Hakika ndo maana watu wengi wameamua kukaa pembeni.
Huu ni ujumbe kwa rais wa DRC na wasaidizi wake.
Haya hapa mapokezi ya M23 mpakani Kamanyola...
Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa.
Kuna raia...
Waziri wa Mambo ya nje wa Djibouti Mahamoud Ali Youssouf ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika maarufu (AUC).
Katika Uchaguzi ambao ulikuwa nchini Ethiopia Mahamoud...
Watafiti wa China wanasema wanaweza kugundua ndege ya kivita ya F-35 inayotengenezwa Marekani kutoka zaidi ya kilomita 1,800 kwa kutumia moshi wa injini yake.
Watafiti wa China wanasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.