International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Kiev ingependa kukomboa maeneo yaliyochukuliwa na Urusi kwa njia ya kidiplomasia, lakini Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza mapambano ya kijeshi...
2 Reactions
16 Replies
808 Views
Kuna maamuzi ambayo bwana Trump anafanya anakuwa kama kachanganyikiwa na haelewi Geopolitics zilivyo. Kwanini nasema hivyo? Hivi karibuni katangaza Marekani kusitisha misaada kwenye nchi zote...
5 Reactions
78 Replies
2K Views
Hawa manyang'au wa U.S naona wameshamtumia Zelensky kama pampas sasa wanataka kumtupa. Visingizio vimeanza za kuwinda kuondoshwa Huyu Musk mtandao wake huu amekuwa akiutumia kuchochea tawala...
3 Reactions
12 Replies
787 Views
Wanakaumbi. 🇺🇲🇷🇺 Marekani na Urusi zitaanza mazungumzo nchini Saudi Arabia ili kumaliza vita nchini Ukraine. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao kwa sababu hakuna...
11 Reactions
122 Replies
4K Views
United States and Russia MEET in Saudi Arabia; First Meeting in Years Hal Turner World Russian Federation Foreign Minister Sergei Lavrov and United States Secretary of State Marco Rubio are...
0 Reactions
7 Replies
260 Views
Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi...
5 Reactions
93 Replies
2K Views
On 25 Feb Europe alarmed that Russia and US has met and discuss issues about Ukurain security in Europe among the issues include territorial concession without ukurain or Europe in the room of the...
1 Reactions
3 Replies
213 Views
Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza sera mpya ya ushuru wa forodha, na kutoza viwango sawa vya ushuru wa forodha kulingana na Marekani inavyotozwa na nchi nyingine. Wachambuzi wengi...
0 Reactions
1 Replies
127 Views
Njama dhidi ya Palesina,Gaza na Hamas zimeshindwa vibaya mpaka sasa kiasi kwamba wahusika wakuu kutoka Marekani na Israel wamekuwa wakiropokwa ovyo. Raisi Trump wiki mbili zilizopita alitoa ya...
4 Reactions
24 Replies
583 Views
Ni hatari kua adui wa Marekani, lakini ni hatari zaidi kua rafiki wa Marekani, Henry Kissinger.. je ni haki kwa Ukraine kutupwa nje kwenye meza ya mazungumzo kuangalia namna ya kuvimaliza vita...
15 Reactions
21 Replies
1K Views
Inaitwa China International Development Cooperation Agency (CIDCA). Imegawa msaada wa chakula kwa Zimbabwe, tusiwachukulie poa Wachina, kumbe wanalisha Africa pia tofauti na kuwa soko la lao la...
5 Reactions
45 Replies
1K Views
Sehemu ndogo nyeupe kwenye ramani ni ISRAEL, na sehemu ya kijani ni nchi za Kiarabu. ISRAEL ina idadi ya watu milioni 9 pekee, huku nchi za Kiarabu zikiwa na karibu milioni 500. Ingawa hali hii...
4 Reactions
8 Replies
266 Views
Pia ikumbukwe kuwa raisi wa Ukraine amesha maliza muda wake wa uraisi. Hata hivyo uchaguzi mpya Ukraine haukufanyika kwa sababu ya vita. Pia Ukraine imeruhusiwa kujiunga na umoja wa ulaya EU kwa...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Kenya katika EAC inaelekea kuwa kitovu cha mipango hasi dhidi ya serikali kadhaa za ukanda huu. Kabla ya vita kupamba moto DRC, viongozi wa makundi mbalimbali ikiwemo M23 walikutana Kenya na...
1 Reactions
12 Replies
490 Views
Nani amehack account ya Trumpet!?
1 Reactions
12 Replies
484 Views
Rwanda imetangaza kusitisha ushirikiano wa kiuchumi na Ubelgiji kutokana na kuituhumu nchi hiyo kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuendesha kampeni ya kuihujumu...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu, Namsalimu Mwigulu Nchemba kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee =============================== Huko nchini Ghana aliyekuwa Waziri wa Fedha wa Ken Ofori-Atta...
1 Reactions
13 Replies
339 Views
Magaidi wa Hamas Wiki hii walitangaza kwa mbwembwe nyingi kuwa Jumamosi haitawaachia mateka wa Israel kwa sababu mbalimbali ilizozisema kisha Trump katangaza kiama kwa magaidi hao na mwisho Waziri...
14 Reactions
142 Replies
3K Views
Africa ni bara lililogawanyika sana.Mgawanyiko huu haukuja kwa bahati mbaya,it is by design.Wakoloni walijua kwamba kama wangeacha bara la Africa liwe na umoja,wasingeweza kuitawala na kuiba...
11 Reactions
77 Replies
2K Views
Back
Top Bottom