Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo...
Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa.
Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam.
Mkristo unatakiwa...
18 February 2025
Katika mahojiano na msemaji wa AFC /M23 Bw. Lawrence Kanyuka amewataka ujumbe wa EAC na SADC watembelee maeneo yaliyokombolewa na waasi
Lawrence Kanyuka...
Pichani, ni aliekuwa kiongozi wa kundi la wapiganaji TWIRWANEHO(TUJIRINDE), la wanyamulenge huko Kivu kusini.
Ameuwawa akiwa na wenzie wa 5,wanaosemekana kuwa walinzi wake, katika shambulio la...
Taarifa zilizopo, zinasema kwamba, Kanali wa DRC, Mushonda Jacques Mukalayi, aliuwawa jana, tarehe 19 Februari, 2025.
Kwa mjibu wa vyanzo,Kanali huyu, ambaye ni Mnyamlenge, aliuliwa akiwa nyumbani...
Kwa Tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili....
Muhsin Hendricks, anayetambuliwa kama Imamu wa kwanza kutamka hadharani kuwa mshiriki wa mapenzi ya jinsia moja duniani, amepigwa risasi na kuuawa karibu...
Msemaji mkuu wa kisiasa wa AFC/M23, Lawrence Kanyuka, ametangaza kwamba, wanajeshi wa Afrika Kusini waliopewa hifadhi katika kambi ya MONUSCO huko Goma, walitakiwa kuwa kwao kwa sasa, kwa sababu...
Umewhi kujiuliza kwenye hio vita ya congo ingekua ni jamii mbili tofauti ndo zinazopiganna yani mfano jamii moja iwe mtu mweus nyingine iwe mzungu au mwarabu mu asia n.k
Si kwa chuki, si kwa...
Chama tawala cha Fatah cha Mamlaka ya Palestina (PA) kimepiga marufuku shirika la habari la Al Jazeera lenye makao yake nchini Qatar kufanya kazi katika maeneo ya Judea na Samaria, likilituhumu...
Kuna maoni kutoka wachambuzi wa uchumi wa nchi za Magharibi kama Marekani yakidai kuwa bidhaa za viwandani za China ni za bei rahisi kwa sababu wafanyakazi nchini China hawalipwi vizuri.
Na...
Waafrika tuache unafiki na woga, tuchukue hatua sasa kuhusu kile kinachoendelea kule mashariki mwa DRC.
Hakuna siri, Rwanda ndio kichocheo kikuu cha vita huko DRC kwa kuwaunga mkono kwa kila kitu...
Uingereza siku ya Jumanne ilitangaza kwamba imemuita Balozi wa Rwanda nchini Uingereza baada majeshi ya Ulinzi ya Rwanda na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda kusonga mbele katika mashariki...
Huko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto
Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa
Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za...
15 February 2025
Uganda Yatangaza Nia Ya Kuchukua Jimbo la Ituri la DRC
CDF Muhoozi Kainerugaba
SAT 15 FEB, 2025 12:57
Na Jacobs Seaman Odongo
Uganda imekuwa ikifanya operesheni za kijeshi...
Haya mataifa yaliyotengeneza silaha za nuclear walizitengeneza za nini kama hawana mpango wa kuzitumia? Wanakaa nazo kama mapambo tu?!
Huwa nasikia baadhi ya wachambuzi wa geopolitics wanasema...
Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja...
Jeshi la Kongo lime collapse na Wanamgambo wa Wazalendo wameanza kushambulia jeshi la Kongo huko Uvira.
Sasa hivi M23 wanaangalia tu kazi inafanywa na Wazalendo ambao wameshatuhumiwa kwa mauaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.