International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Hii ni Habari Njema kwa watanzania kwamba mkurugenzi mpya wa FBI Kash Patel mama yake alikuwa Mtanzania na baba yake ni Mganda Tembeeni vifua mbere 😄
12 Reactions
114 Replies
5K Views
Kiukweli niliwaamini sana Urusi, sasa sina imani nao. Hii vita kwa nguvu ambazo wanazo Russia ilikuwa waimalize ndani ya week moja zikizidi mbili. Sasa sielewi kwa nini wanapiga dana dana nyingi...
13 Reactions
66 Replies
4K Views
Akiwa katika mahojiano yake ya kuthibitishwa kuwa Mkurugenzi mpya wa FBI, Kash Patel alipoanza kwa kuelezea historia ya familia yake alisema baba yake alikimbia Uganda ya Idi Amin, dikteta muuaji...
7 Reactions
23 Replies
895 Views
Jamaa kaanza kuajiri wahuni wa mitaani kwenye kazi ya kupekua taarifa nyeti za serikali na walipa kodi wa AMERICA! 🤣 Miongoni mwa wahuni alioajiri Musk kwenye kitengo chake cha kudhibiti...
18 Reactions
134 Replies
5K Views
Mnamo Oktoba 1, 2024, Iran ililenga Israel kwa makombora 200, Ni mashambulizi makubwa lakini athari zilikuwa kidogo, Mabomu mengi yalikosa target yalitua nje ya mji, Mtu mmoja aliuawa ambae ni...
12 Reactions
75 Replies
2K Views
Jumuiya ya SADC inafanya maamuzi kiwepesi na kutekeleza maazimio yake ya kuilinda Congo DRC kwa mtindo wa kizimamoto. Mwezi Mei 2023,SADC ilipitisha azimio la kupeleka jeshi lake Congo...
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amewaeleza Ulaya na Ukraine hataki kuona vita inaendelea Ukraine badala yake ametoa muda wa siku 21 kuanzia tatehe ya tamko vita viishe au vinginevyo atajitoa katika...
16 Reactions
57 Replies
2K Views
Baada ya AFC/M23 kuomba serikali ya Afrika kusini kuondoa wanajeshi wake, na nchi hiyo ikakataa, hatimae ombi la M23 limekubaliwa, na njia pekee iliyotolewa(corridor) ikiwa ni Rwanda, jumapili ya...
3 Reactions
4 Replies
293 Views
Pentagon wamepeleka ripoti yao ya mwaka 2020 kwenye bunge la Marekani kuhusu nguvu ya kijeshi ya taifa la Uchina. Uchambuzi huo umezungumzia ukuaji wa kasi wa nguvu ya kijeshi ya taifa la Uchina...
30 Reactions
78 Replies
12K Views
Wakati nchi za Afrika Mashariki zikiendelea kumpet pet Kagame, masaa machache yaliyopita Wizara ya Fedha ya Marekani imetangaza rasmi kuwawekea vikwazo Waziri wa Mambo ya Afrika Mashariki wa...
13 Reactions
64 Replies
2K Views
Israel has destroyed the tower block housing Al Jazeera and the Associated Press news agency in Gaza. They are doing this for one reason - to stop the truth being known about their assault on the...
8 Reactions
115 Replies
9K Views
Umoja wa Kisovieti (USSR au CCCP) taifa lililozaliwa mwaka 1922-1991, lilikuwa ni moja ya taifa lenye nguvu sana duniani lakini lenye mwisho mbaya sana ambao ni aibu kwa watu wake mpaka leo...
45 Reactions
467 Replies
54K Views
Wadau hamjamboni nyote? Jengo kubwa la kisasa la ghorofa la trump huko Las Vegas
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kundi la wapiganaji TWIRWANEHO, huko Kivu kusini, limetangaza rasimi kujiunga na kundi la AFFC/M23. Baada ya kifo cha aliekuwa kiongozi wa kundi hilo, General Michael RUKUNDA, AKA MAKANIKA, kwa...
4 Reactions
15 Replies
455 Views
Wakuu, Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM. Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Kwa hiali yao,askali Polisi 2,100 na wanajeshi 890 huko Kivu kusini, wameamuwa kutoka walikokuwa wamejificha na kukubali kujiunga na M23 kwa hiali. Akiongea nao Gen Byamungu, amewashukuru kwa...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Wapambe wa Trump wanasema he is not there for playing games, you Around with him and Find out. Leo ndege 2 za kijeshi zenye rais 160 wa Columbia ambao walikua wahamiaji haramu nchini Marekani...
16 Reactions
45 Replies
2K Views
Tangazo hili, lilitolewa na kusainiwa na waziri wa fedha nchini DRC, akiwataka wananchi kuchangia fedha kwenye account zilizowekwa katika tangazo hilo, llengo likiwa ni kukusanya uwezo wa...
5 Reactions
25 Replies
811 Views
Makala ndefu sana! Mwenye kutafsiri aje atusaidie https://www.newtimes.co.rw/article/24237/news/africa/tshisekedis-vast-armoury-in-goma-and-plan-toinvaderwanda
0 Reactions
3 Replies
250 Views
Baada ya njama za Islamists zikibeba maono ya Muslim brotherhood kupamba moto tokea Hamas wavamie Israel October 7, 2023 tukashuhudia pia kuibuka kwa siasa za mrengo wa kulia huko Ulaya. Reform...
9 Reactions
71 Replies
1K Views
Back
Top Bottom