Taarifa kutoka makao makuu ya kanisa katoliki St Peter's basilica huko Vatican inasema papa Francisco kwa sasa yupo katika Hali mahututi kutokana na ugonjwa wa mapafu unaomsumbua.
Tumuombee...
HALI YA AFYA YA BABA MTAKATIFU
Hali ya Baba Mtakatifu inaendelea kuwa mbaya; hata hivyo, tangu usiku uliopita hakujakuwa na shida ya kupumua.
Alifanyiwa upasuaji wa kuongezewa damu yenye chembe...
Wanaukumbi.
Breaking | Al-Qassam Brigades spokesperson Abu Obaida announces that due to Israel's failure to uphold the terms of the ceasefire agreement, the release of Israeli captives scheduled...
Former Democratic Republic of Congo leader Joseph Kabila stated on Sunday that the poor governance of his successor, President Felix Tshisekedi, significantly intensified the conflict in eastern...
Ikiwa Ni katikati ya kuitafuta suluhu ya migogoro WA Ukraine na urusi.
Serikali ya marekani tayari ilishatuma ujumbe wake nchini saudia Arabia kukutaba na upande WA urusi ili kumaliza mgogoro WA...
Jonas Savimbi aliongoza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Angola kwa miaka mingi na kutoa fursa kwa maliasili za nchi hiyo kumilikiwa na makampuni ya mabepari.Uraisi alioutarajia hakuupata na...
Pichani, ni maandalizi ya jeshi la Polisi nchini Rwanda,mpakani mwa Rwanda na DRC. Eneo hili ndo watapitabadhi ya wanajeshi wa Afrika Kusini, na kupekuliwa, ili waendelee na safari yao,kuelekea...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuwashughulikia magaidi wa Hamas kwa vitendo vya vya kinyama kuua watoto Kafri na Ariel Bibas watoto ambao waliwateka nyara Oct 07,2023 wakiwa na...
Unaweza kusema headline iwe "Ni Uchina Tena"
Kamera za Ufukunyuzi Zenye Nguvu Zaidi Duniani zimetengenezwa na Wanasayansi wa China nchi hiyo ikiweka Viwango Vipya vya Upelelezi na Ufuatiliaji wa...
Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki...
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO MFALME WA WAFALME
Kama ni kweli hawa watu weupe wanaipenda Africa na wanatupenda WA Africa bas wasimamishe misaada mara moja
Africa tunajiweza...
Kufuatia kukamilika kwa mchakato wa utambulisho na Taasisi ya Kitaifa ya Tiba ya Uchunguzi kwa kushirikiana na Polisi wa Israeli, wawakilishi wa IDF wamefahamisha familia ya Bibas kwamba wapendwa...
Efforts To Arrange Trump–Putin Meeting Underway, Moscow Says
Moscow is working to arrange a face-to-face meeting between Russian President Vladimir Putin and U.S. President Donald Trump, Russian...
BAADA ya WANAJESHI WAO kuuwawa na M23
South Africa imetuma WANAJESHI zaidi ya 700 na VIFAA vizitooo
Imeomba nchi za SADC na EAC kushirkiana kuuondoa MAGAIDI WA M23 wakiachwa wataenea Africa...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni maneno ya Rais Trump wa Marekani
Kwamba Israel wakiamua kuzingatia makubaliano ya kusitisha vita au kuanzisha vita tena dhidi ya magaidi ya Hamas yeye wala hana...
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi...
Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani.
Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na...
Walipokutana viongozi wa mataifa ya kiarabu hapo juzi na kukataa mpango wa raisi Trump wa kuwahamisha wapalestina na kuimiliki Gaza kumeivunjia heshima pakubwa taifa la Marekani.
Tukio la hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.