Kipenga kinaendelea
Mkuuu alitaka kuleta mabishano na USA
Mwisho kasema Yuko radhi ajiuzulu Ukraine iingie NATO
Mkuu WA USA kamwambia NATO unaitaka HAPO tokaaa
natumaini soon kusikia kijana...
Wanafunzi wa Bangladesh ambao waliongoza maandamano yaliyomwondoa Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina mwaka jana wanatarajia kuzindua chama kipya cha siasa wiki hii.
Kundi hilo, linalojulikana...
Wadau hamjamboni nyote?
Afisa wa ngazi ya juu wa Hamas asema hangeunga mkono mashambulizi ya Oktoba 7 ikiwa angejua madhara kwa Gaza
Mwanachama wa ngazi ya juu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas...
=====
Umoja wa Ulaya (EU) utapitia upya makubaliano yake ya hivi karibuni kuhusu malighafi muhimu na Rwanda kufuatia mgogoro mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), amesema...
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Mh Felix Tshisekedi amesema yupo tayari kufanya biashara halali ya madini moja kwa moja kutoka DRC na Marekani, Tshisekedi amesema DRC ndio mmiliki wa...
Trump Orders Shut Down of Key NATO Base in Greece
Hal Turner World February 25
Reports are coming in claiming President Donald Trump has ordered the shutdown of a large U.S. Military Base in...
Katika kikao kilichokaa jana tarehe 21.2.2025 na kilichojadili madhira na matatizo ya vita nchini DRC, umoja wa Ulaya umethibitisha rasmi kwamba vikosi vya Jeshi la Rwanda vinawasaidia wanamgambo...
Baada ya makundi mengine kutangaza kujiunga, kuongeza nguvu ili rais wa Burundi aondolewe madarakani;
Huku pia waasi wake RED TABARA wakiwa tu umbali wa kilometa 76 kutoka walipo sasa M23,
Rais...
Inavyoonekana serikali ya Kinshansa haina muda na usalama huko DRC mashariki. Wala hakuna matumaini ya kuwa kutakuja kukaa sawa. Tz ingehakikisha tu majimbo ya DRC inayopakana nayo ya Tanganyika...
Watu wengi sana leo waliamini Ayatollah Sayyed Ali Khamanei atahudhuria mazishi ya rafiki yake kipenzi Gaidi Hassan Nasrallah lakini kachomoa dakika za mwishoni na kutumia wawakili ambao ni
1...
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila amesema kuwa, uongozi mbaya wa mrithi wake, Rais Felix Tshisekedi umechangia pakubwa kuzidisha mzozo mashariki mwa nchi hiyo...
Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha!
Taasisi...
Amani iwe kwenu wakuu
Kwani Sudan wana kosa walilokosea dunian hapa
Wanachinjana kila siku tena maelf kwa mamia lakin husikii ostaz au padre akiwazungumzia, wala huwezi Kuta mwafirika au mzungu...
Nani adui namba moja wa Kongo? Ni mkongomani mwenyewe. Nilivyofanya uchunguzi, nimegundua kuwa Kongo ina adui mwingine mkubwa zaidi ya M23 – ni Kabila la Wakasai. Hawa ndio chanzo cha ugonjwa wa...
Karina Ariev alinusurika kuzimu. Alitekwa nyara na Magaidi wa Hamas mnamo Oct 07,2023 alipigwa, kakabwa shingini na kuburutwa hadi Gaza. Sasa, anafichua jambo lenye kuudhi hata zaidi—mmoja wa...
Umati wa maofisa wa polisi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamekacha na kujiunga na kundi la waasi la M23, huku wakijisajili kwa ajili ya kupatiwa mafunzo ya kijeshi na waasi hao...
Rais wa Marekani Donald Trump alisema alitishia BRICS kwa kutoza ushuru wa 150% kwa bidhaa ikiwa watatafuta sarafu mbadala ya dola. Muungano wa nchi tisa ulianza ajenda ya kuondoa dola baada ya...
Rais wa Burundi, Mhe Evariste NDAYISHIMIYE, alifunga safari kisiri siri na kwenda Kinshasa.
Kinshasa huko, alikutana na Rais wa DRC, Tshisekedi, na dhumuni la safari likiwa kudai deni la serikali...
Bombshell dropped:USAID is the organization funding the global US terrorism network-Congresman Scott Perry
Most of us including may be even you have been wondering who was funding and even...
Viongozi hao majabali walitoa kauli hizo wakiwa wanajiamini sana. Lakini pia najiuliza kauli hizo walizitoa kwa back up ya intelijensia zao au kwa minajili ya umaarufu tu wa kisiasa?
Je tunapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.