International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Utafutaji mpya wa ndege ya Malaysia Airlines MH370 umeanza zaidi ya muongo mmoja baada ya kutoweka katika moja ya mafumbo makubwa ya ajali za anga duniani. Kampuni ya utafiti wa baharini, Ocean...
1 Reactions
40 Replies
938 Views
Minister Kombo's interview with HÍR TV on deepening Tanzania-Hungary Bilateral Relations
0 Reactions
1 Replies
91 Views
Katika kuimarisha uchumi wa Marekani, Rais Trump amezindua leo Golden Visa ambayo itakuwa ikiuzwa. Visa hiii ni ktk mwendelezo wa kuimarisha uchumi wa Marekani. Alipoulizwa wafanyabiashara wa...
3 Reactions
12 Replies
623 Views
Yameibuka mapya huko mbele. Mkuu wa Kaya 'machachari' wa huko mbele sasa anafikiria kuanzisha program mpya kamambe anaoamini kuwa utakuwa na tija hasa, kubwa ikiwa kuongeza pato la Nchi yake...
1 Reactions
1 Replies
183 Views
Baada ya vikwazo vya kiuchumi dhidi ya urusi Kwa vita ya Ukraine, Marekani ilisusa kabisa kununua aluminium ya urusi na kuishawishi ulaya nzima nao wasusue kabisa kununua aluminium ya URUSI...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Fromer Israel ‘mateka’ Noa Argamani alifichua uwongo wa Israeli na jinsi Israel ilivyomlenga yeye pamoja na Waisraeli wengine wawili. Noa Argamani anaelezea wakati ambapo jengo...
2 Reactions
60 Replies
1K Views
Hakika hizi ni zama mpya, Marekani imeungana na mataifa kadhaa ya hovyo kupinga azimio la baraza la usalama la Umoja wa mataif(UN) lililowasilishwa na Umoja wa Ulaya kulaani uvamizi wa Russia...
10 Reactions
66 Replies
2K Views
Ndege-vita za Jeshi la Israel leo hii zimekuwa zikitamba kwenye anga la Beirut wakati wa mazishi ya Gaidi Hassan Nasrallah aliyeuwawa na majeshi ya Israel Sept 27,2024 saa 12:21 jioni. Ndege hizo...
20 Reactions
159 Replies
3K Views
Tukiona DRC kajisalimisha kwa USA ili asaidiwe kuwaondoa M23 tusishangae! Je, Putin atakuwa ameingiwa ubaridi sasa? Habari kamili; Ukraine imekubali masharti ya mkataba mkuu wa madini na Marekani...
0 Reactions
5 Replies
283 Views
Comparing Mobutu Sese Seko and Laurent-Désiré Kabila, both leaders of the Democratic Republic of the Congo (DRC), involves examining their respective regimes, impacts on the country, and legacies...
2 Reactions
21 Replies
452 Views
Maseneta mbalimbali wanasema hawakubaliani na mtazamo wa Putin katika kuumaliza mgogoro wa vita ya Ukraine kwa vile Trump anatumika na Putin kulazimisha matakwa ya Putin. Jumatano iliyopita, Rais...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Katika hali ya viongozi wa bara uroda kuchanganyikiwa, wanene waliotajwa hapo juu wameamua kumfuata mzee baba live. Watafanikiwa kumshawishi abadili msimamo?
1 Reactions
15 Replies
743 Views
Hatutaki fedha, shida yetu kubwa ni wananchi kushindwa kuchagua viongozi wanaowataka a kuwaondoa viongozi wasiowataka. Kama unataka kumsaidia mwafrika saidia hilo, sio kutuletea fedha Wala...
1 Reactions
23 Replies
492 Views
https://x.com/andrewmwenda/status/1893355999680921990?s=46 Watu wakichukua silaha zao, wengine wanavimba na kutunisha misuli.
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Serikali ya Uingereza imetangaza kupunguza bajeti ya misaada ya maendeleo ya kigeni kutoka asilimia 0.5 hadi asilimia 0.3 ya Pato la Taifa (GNI). Waziri Mkuu Sir Keir Starmer aliliambia bunge...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha kuhudhuria matukio yanayoandaliwa na serikali ya Rwanda na kusimamisha msaada wake kwa taifa hilo la Afrika Mashariki kutokana na waasi wanaoungwa mkono...
0 Reactions
5 Replies
476 Views
The New York Times imeripoti kuwa Rais Félix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 🇨🇩 ametoa pendekezo la kuipa Marekani udhibiti wa madini ya nchi hiyo ili kumshawishi Rais Trump kutuma...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Katika hali ya kushangaza, Marekani iliungana na Urusi wakati wa upigaji kura katika baraza kuu la umoja wa mataifa kuhusu maazimio ya kuleta amani nchini Ukraine. Katika kura hizo zilizopigwa...
1 Reactions
6 Replies
659 Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amewaagiza wasaidizi wake kukataa pendekezo kutoka kwa maafisa wa utawala wa Trump ambalo lingewapa Marekani upatikanaji mkubwa wa madini adimu ya Ukraine...
2 Reactions
14 Replies
683 Views
Ukraine holds the largest titanium reserves in Europe By Kate Varley Ukraine's vast undersoil mineral wealth is at the heart of an economic deal which the country is currently in the final...
0 Reactions
6 Replies
259 Views
Back
Top Bottom