International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Dassault Rafale ni ndege ya kivita ya Ufaransa yenye uwezo wa kufanya kazi katika anga, ardhi, na baharini. Iliundwa na kampuni ya Dassault Aviation na ilianza kutumika mnamo mwaka 1986. Ni ndege...
11 Reactions
43 Replies
4K Views
Mfalme Mohammed VI siku ya Jumatano aliwahimiza Wamoroko kuacha kununua kondoo wa kuchinjwa wakati wa sikukuu ya mwaka huu kutokana na mfumuko wa bei wa kihistoria na mabadiliko ya tabianchi...
0 Reactions
4 Replies
235 Views
Rais wa Rwanda Paul Kagame na serikali yake wamelalamikia vikwazo vilivyowekwa na Uingereza dhidi yake. Serikali ya Rwanda imesema vikwazo vilivyowekwa na Uingereza kuihusu Rwanda baada ya...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Vatican imethibitisha kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis ameugua nimonia (bilateral pneumonia) hali inayohusisha maambukizi kwenye mapafu yote mawili. Kwa...
6 Reactions
113 Replies
2K Views
Tarifa iliyopo huko X (Twitani) ni kwamba, muda wowote PK ataanza kuchezea vikwazo na ama kufurushwa kabisa ikuluni na hawa walezi wa dunia hii Swali ni kwamba, nchi za Africa haziwezi kabisa...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu, Hii kitaalamu inaitwaje? Inakuwaje mnufaika mkubwa zaidi wa USAID duniani anataka shirika hilo lifungwe? Mtu kama huyu ambaye amepokea Billions of money kutoka serikalini anapata wapi...
2 Reactions
11 Replies
621 Views
Hivi karibuni kumekuwa na majibishano makali kati Kyiv na Washington juu ya mpango wa kuleta Amani nchini Ukaraine,Rais wa Ukraine Mr Zelensk akiishutumu Washington juu ya kujihusisha katika...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Moussa Abu Marzouk, mbele, anahudhuria mazishi ya Saleh Arouri, huko Beirut, Lebanon, Januari 4, 2024. (Picha ya AP/Hussein Malla) Kiongozi wa juu wa chama cha kisiasa za kigaidi cha Hamas Moussa...
2 Reactions
14 Replies
546 Views
Mzuka wana jamvi... Leo katika tukio la kuachiwa mateka huko Gaza , mmoja kati ya waliachwa katika hali ya furaha iliyopitiliza alimsogelea Mpiganaji wa Hamas na kumbusu katika paji lake la uso...
10 Reactions
91 Replies
3K Views
  • Redirect
Baada ya Uingereza kuikatia misaada Rwanda hivi punde kutokana na mauaji ya Halaiki huko Congo ili kuiba madini Hatimaye Uingereza imeungana na Ubelgiji kuiwekea kukata misaada Rwanda. Rwanda...
0 Reactions
Replies
Views
Wadau hamjamboni nyote? Lebanon imechoshwa na vita vya nchi nyingine Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: February 23, 2025 Lebanese president tells Iranian parliament speaker: Country is...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amekubali dili la Donald Trump la kuipa madini nchi ya Marekani, ili Marekani iweze kuendelea kuipa Ulinzi Ukraine. Mkataba huo, ambao utaiwezesha Marekani...
4 Reactions
56 Replies
2K Views
1.Botswana ni tajiri wa Madini ya Kila aina hasa Almasi. 2.Botswana ni Kati ya Nchi zinazofanya vizuri Kwa Utalii 3.Botswana Ina Watu wachache zaidi sawa na Mkoa wa Shinyanga 4.Botswana...
5 Reactions
49 Replies
1K Views
Habari wakuu Laurent Kabila alikataa kuwatambua Banyamulenge na watutsi wengine kama raia wa Congo kiasi alisema mkataba waliokubaliana ulikuwa wa vichochoroni Jana Joseph Kabila anamlaumu...
4 Reactions
97 Replies
2K Views
Mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita Mh Karim khan amesema mahakama ya ICC na mamlaka za DRC zinashirikiana kuchunguza madhila na madhara ya uhalifu huo, aidha...
0 Reactions
27 Replies
436 Views
Wadau habari za ndani sana ambazo zinaumiza vichwa utawala wa Rwanda ni kwamba kuna taarifa serikali ya Marekani kutaka kumwajibisha Kagame kwa hiari au nguvu itumike Hii imejiri baada ya Rais wa...
26 Reactions
88 Replies
3K Views
Wakuu, Taasisi iliyoanzishwa na Rais Donald Trump ya Ukaguzi wa Ufanisi WA serikali ya marekani (GOVERNMENT EFFICIENT) chini ya mkurugenzi wake yaani DOGE-(Director of Government Efficient)...
24 Reactions
91 Replies
3K Views
Wanaukimbi. Zelensky anasema kwamba alipokea msaada wa dola bilioni 100 pekee kama ruzuku, sio mkopo. "Hatutambui deni la Ukraine la dola bilioni 500 kwa Marekani. Sitambui hata dola bilioni...
17 Reactions
163 Replies
5K Views
Ameposti video kwenye mtandao wake wa Truth Social jinsi anavyoina Gaza ya siku za mbeleni kupitia mpango wake wa Gaza riviera.
6 Reactions
28 Replies
803 Views
Baada ya Goma kuangukia mikononi mwa M23, mtutu wa bunduki ulielekezwa Kivu kusini, huku mji mkuu ukiwa Bukavu. Serikali ya Burundi kwa makubaliano na DRC, ilipeleka wanajeshi wapatao elfu 10...
8 Reactions
101 Replies
3K Views
Back
Top Bottom