International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

  • Redirect
Huko jerusalem,bwana mmoja myahudi muisrael,alimshambulia kwa shoka mama mmoja na kumjeruhi,akimtuhumu kuwa mkristu Soma zaidi Israeli man attacks Jewish woman, mistaking her for a Christian...
0 Reactions
Replies
Views
Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli. Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji...
41 Reactions
9K Replies
993K Views
  • Redirect
Hakika Umaskini ni laana. Zelensky anagombezwa kama mtoto mchanga. Viongozi wa Afrika wakifika kwa mwamba lazima wachapwe bakora. ISOMEKE: Viongozi wa Afrika mna la kujifunza kwa Zelensky
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Baada ya kuitwa dikteta na Trump ,raisi Zelensky wa Ukraine alirudi nyuma kidogo na kuanza kumkubalia baadhi ya mambo aliyokuwa akidai raisi wa Marekani hasa hasa kuhusiana na kuruhusu madini...
1 Reactions
Replies
Views
Kundi la AFC/M23, leo 28 February 2025, limewatangaza viongozi wapya wa jimbo la Kivu kusini, ambao ni • Bwana BIRATO RWIHIMBA Emmanuel, Gavana wa jimbo • Bwana DUNIA MASUMBUKO BWENGE, Naibu...
4 Reactions
16 Replies
633 Views
  • Redirect
Ona hapa alivyosimangwa na kuwekwa mtu kati huko White house. Kwa mtindo huu kila nchi itataka kujidhatiti kivita. Pengine tutashuhidia hata wamiliki wa silaha za nyuklia wakiongezeka...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wanakumbi. Mabadilishano haya ya Zelensky-Trump-Vance ni moja ya mambo ya kichaa ambayo nimewahi kuona maishani mwangu. ===================== This Zelensky-Trump-Vance exchange is hands down one...
0 Reactions
Replies
Views
Miaka mingi iliyopita, watu wengi walifikiri kwamba MArekani anapigana vita ili kulinda amani, demokrasia au kuwaokoa watu/nchi fulani kutoka katika ukandamizaji. Ilijipambanua kwamba yenyewe...
5 Reactions
30 Replies
963 Views
Habari zinazotrend huko Zimbabwe zinasema magari ya wanajeshi yameonekana mitaani Harare. Haijulikani ni nini hasa kinaendelea ila kuna tetesi ya jaribio la mapinduzi kuendelea. Naona wanajeshi...
23 Reactions
91 Replies
5K Views
  • Redirect
Hatari aisee. Malumbano makali yalizuka katika Oval Office siku ya Ijumaa kati ya Rais Donald Trump na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ambaye alitarajia kushawishi Marekani kuendelea...
0 Reactions
Replies
Views
U.S. and Russia Agree to New Russian Ambassador for USA Hal Turner World February 28, 2025 The Russian Foreign Ministry reports that Washington has agreed to a new Russian ambassador...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Ripoti ya “Viashiria vya Nguvu Laini Duniani Mwaka 2025” imetolewa hivi karibuni huko London, Uingereza, na nafasi ya China imepanda hadi pili duniani. Hii ni mara nyingine ya kupanda kwa nafasi...
4 Reactions
17 Replies
469 Views
Papa Francis anaendelea kupata nafuu huku akiendelea kupambana na nimonia pande zote mbili, Vatican ilitangaza Ijumaa, lakini hatatoongoza ibada ya kila mwaka ya Kanisa inayofungua kipindi cha...
2 Reactions
7 Replies
310 Views
Wakuu mwanzo ilisemwa kuna siku 90 za US kuangalia haya mambo ya ufadhili ndo waamue, lakini tokea jana zimeanza kuzunguka statement kama hiyo hapo chini kwenye mitandao. Kunani huko anayejua...
3 Reactions
46 Replies
1K Views
Leo,kwenye mkutano wa viongozi wa AFC/M23 huko mjini Bukavu, Kivu kusini, katika mkutano wa hadhara baina ya uongozi wa M23 na raia wa Bukavu, jeshi la serikali liliandaa shambulizi kutumia...
4 Reactions
72 Replies
3K Views
Baada ya Mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 Gaidi ISMAIL HANNIYEH alionekana kwenye vyombo vya habari akifurahia mauaji hayo na kuonekana akiongoza sala kumshukuru Allah wake kwa kufanikisha mauaji...
3 Reactions
49 Replies
831 Views
Hi JamiiForums, Kwa mawazo yangu naona ulaya ndo inabidi waongoze dunia maana wao ndo wanapigania haki za binadamu, tofauti na marekani ambao wanasema America first. Ina maana Us wana ubinafsi...
5 Reactions
42 Replies
985 Views
Jinsi ambavyo ghafla Marekani imembadilikia Ukraine na kutafuta suluhu na Russia hii inatukumbusha matukio matatu makubwa jinsi Marekani anavyoweza kubadilika kama kinyonga na kutokuunga mkono...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Watu 11 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa Alhamisi wakati wa mlipuko katika mji wa mashariki mwa Congo wa Bukavu uliotokea kwenye mkutano wa hadhara ulioongozwa na viongozi wa kundi la M23...
2 Reactions
6 Replies
413 Views
Video za Wanaojiita Wapalestina zinasikitisha full Taqiyya yaai unasikiliza unaishia kucheka.. vijana hadi wazee so hawa jamaa nadhani wana chuki za Asili sababu ya wizi wa ardhi...
1 Reactions
40 Replies
837 Views
Back
Top Bottom