Watu 41 wanadaiwa kuuawa na wengine 55 kujeruhiwa baada ya moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme kuzuka katika kanisa la Abu Sifin Coptic katika mji wa Giza, Cairo
Mamlaka zimesema kuwa moto...
Watu 16 wamefariki Dunia na wengine 36 hawajulikani walipo kutokana na mafuriko yaliyotokea katika Jimbo la Qinghai, China.
Mvua ya ghafla iliyonyesha imesababisha maporomoko ya ardhi ambayo...
Wanajeshi 11 wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililotokea Katika Kambi ya Jeshi Mashariki mwa Burkina Faso, lakini Jeshi lilijibu mapigo na kuwaua waasi 15 wakati...
Watu 27 wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya moto kutokea katika jengo lenye ghorofa nne Jijini Delhi Nchini India, Polisi wamesema kulikuwa na watu zaidi ya 70 katika jengo hilo...
Watu 31 wameripotiwa kufariki na wengine 7 kujeruhiwa wakati wa mkanyagano wa kugawa chakula kanisani Nchini Nigeria, ambapo shuhuda mmoja wa tukio alishuhudia mama mjamzito na watoto kadhaa...
Baada ya Waisraeli kupora na kuwafukuza Wapalestina kutoka kwenye makao yao wengi walikimbilia nchi ya Jordan. Jordan ni nchi ya wakazi wachache hivyo wakimbizi wakawa sehemu kubwa ya wakazi...
Biden amewashitakia raia wake akilalamika kuwa uchumi wa 'Super Power' (Marekani) unakontroliwa na Urusi, China na waarabu wa mafuta (Saudi Arabia)...
Ngoja tuwasubiri wamarekani wa Ugweno waje...
Trump na Elon Musk wanamuita Zelensky dikteta,asiye na huruma,asiyependa watu wake, tapeli n.k. Mazungumzo ya kumaliza vita yanafanyika Saudi Arabia bila uwepo wa Ukraine, Zelensky anaambiwa atoe...
Zelenskyy ni Secret Agent wa USSR aliyeiva
Katika mazungumzo Zelenskyy alionekana kuwa ni mtu wa kujiamini sana. Maelezo yake aliyokuwa anayatoa ni very direct. Yeye alichokuwa anadai kwa Marekani...
Norwegian fuel company Haltbakk Bunkers has announced it will cease supplying fuel to U.S. military forces in Norway and American ships docking in Norwegian ports, citing dissatisfaction with...
Serikali ya Uingereza imetangaza kuipa mkopo nchi ya Ukraine wa kiasi cha Paundi bilioni 2.6 kwa ajili ya kununua silaha za kijeshi ili izidi kujiimarisha na kujilinda dhidi ya Urusi.
Makubaliano...
Alisema anajua. Anatafutwa na Marekani na siku yoyote atauliwa
BAADA ya kifo sikuwahi sikia HATA nchi ya afrika uliohuzunika na kusema polen WA Libya
Mwamba huyu NDIE PEKEE aliapa kama Marekani...
Maafisa wa Kremlin wanahatarisha matarajio ya uwekezaji wa faida kubwa kwa makampuni ya nishati ya Marekani, inaonekana wanataka kumshawishi Rais Trump kwamba mafanikio makubwa ya kiuchumi...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema anataka Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amuombe radhi hadharani ndipo atakubali kurudisha upya uhusiano kati ya Marekani na Ukraine baada ya Viongozi hao...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema hana wasiwasi kuhusu hatma ya NATO, akisisitiza kuwa muungano huo haupo hatarini.
Akizungumza katika mahojiano na Fox News, alisema nchi za Ulaya ni...
Wakristo 70 wamepatikana wakiwa wamekatwa vichwa katika kanisa moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), katika shambulio la hivi punde dhidi ya waumini kaskazini mashariki mwa nchi...
Mfalme Suleimani aliwahi kusema hakuna jipya chini ya jua.
Jana limetokea jambo ambalo limeshangaza dunia kidogo, lakini ukweli ni kwamba kama wewe ni msomi wa historia utafahamu kwamba fedheha...
Bombe zinazotupwa na DRC kuelekea Rwanda, kwenye Gisenyi, karibu na mpaka wa Congo, Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome, kuharibu mabomu hayo angani kabla hayajafika ardhini...
Israel imekubali kuongeza muda wa usitishwaji wa mapigano huko Gaza ambao utadumu kwa muda wa Ramadhani na Pasaka ya Kiyahudi. Hamas hapo awali ilikataa wazo la kuongeza muda huo, badala yake...
Kama kuna kitu nimejifunza kutokana na kurushiana maneno kati ya Trump na rais wa Marekani na Zelensky wa Ukraine, ni kwamba vita vinaweza kusanbabisha mtu kuuza nchi yake.
Marekani imetumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.