International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Hii habari hutaisikia ikipewa kipaombele au ikivuma, Iko hivi, myahudi aitwae Mordechai Brafman huko Miami marekani amepewamiminia risasi wayahudi wawili akidhan ni wapalestina, baada ya majeruhi...
9 Reactions
43 Replies
1K Views
Utangulizi: Profesa Sachs alianza kwa kueleza uzoefu wake wa miaka 36 akifuatilia kwa karibu matukio katika Ulaya Mashariki, Umoja wa Kisovyeti wa zamani, Urusi, na Ukraine. Alitaja kuwa mshauri...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Mabishano Makali Katika Oval Office: Zelensky Aingia Katika Mvutano Mkubwa na Viongozi wa Marekani Rais DonaldTrump na Rais wa Ukraine #VolodymyrZelensky walikuwa na mivutano mikali wakati...
15 Reactions
315 Replies
11K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Argentina Santiago Cafiero amesema tayari ameshamjulisha mwenzake wa Uiengereza James Cleverly nia ya nchi yake kujitoa kwenye mkataba wa mashirikiano uliosainiwa mwaka...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Hatimae miongoni mwa true freedom fighters ameitwa kupumzika usiku wa kuamkia tarehe 09/02/2025 akiwa na umri wa miaka 95. Tusalimie Nyerere, Mugabe, Mandela na wengine, waambie Waongee na Kaguta...
12 Reactions
102 Replies
3K Views
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ilijiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mwaka 2022 kwa matumaini ya kukuza uchumi, kuimarisha ushirikiano wa kikanda, na kupata msaada wa kijeshi...
0 Reactions
1 Replies
138 Views
Hii ni kauli ambayo raisi wa Ukraine ameiishi pale White House mbele ya Donald Trump ambayo ilitolewa na mwana mapinduzi na mwanaharakati Dolores Ibarruri huko Spain miaka ya 1936 chini ya utawala...
24 Reactions
108 Replies
3K Views
Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma. Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga...
4 Reactions
59 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mkuu mpya Jeshi la Israel atawafuta kazi majenerali wanne wa IDF kwa kushindwa kwao kuzuia shambulizi la Oktoba 7, 2024 ambapo jumla ya Waisrael 1,200 waliuawa na magaidi...
0 Reactions
2 Replies
162 Views
Mwaka 1968 aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje ya Marekani Henry Kissinger alisema: "Inaweza kuwa hatari kuwa adui wa Marekani, lakini kuwa rafiki wa Marekani ni majanga." – Henry Kissinger Na...
30 Reactions
120 Replies
4K Views
Bunge la Ubelgiji limepitisha muswaada wa kuiwekea Rwanda vikwazo vya kiuchumi na kijeshi kutokana na mchango wake wa machafuko mashariki mwa DRC. Azimio hilo lenye kurasa 11 liliwasilishwa na...
12 Reactions
41 Replies
1K Views
Kitu hiki kinanishangaza sana na kuona kua kumbe Kuna baadhi ya Viongozi wazungu ni wajinga sana. Zelensky wa Ukraine ameng'ang'ania kutaka kujiunga na umoja wa kujihami kijeshi wa nchi za...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Mapigano kati ya wachimba madini wadogo, yaliyodumu ndani ya juma moja kaskazini mwa Chad yamesababisha takriban watu 100 kupoteza maisha na 40 kujeruhiwa, na kupelekea machimbo hayo kufungwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
840 Views
Afrika imeripotiwa kuwa na Maambukizi 1,597 ya Virusi vya MonkeyPox tangu kuanza kwa mwaka 2022, ikielezwa Watu 66 wamefariki dunia Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1, kwa kipimo cha richa, limetikisa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo na kudaiwa kusababisha vifo 130 nchini humo, mamlaka ya kudhibiti majanga nchini humo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Afisa wa Wilaya ya Konso, Kusini mwa Nchi hiyo amethibitisha vifo vya takriban Watoto 13 kutokana na njaa huku ukame na migogoro ikiendelea kuathiri eneo hilo Afisa huyo amesema kuwa idadi ya...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Watoto saba wameuawa katika mlipuko uliotokea katika eneo la Margba, kijiji cha Tone Prefecture, kaskazini mwa nchi hiyo, ambalo limekuwa katika hali ya hatari tangu Juni mwaka jana. Katika...
0 Reactions
2 Replies
406 Views
Miili 20 imeopolewa na na takriban watu 30 hawajulikani walipo baada ya mashua iliyokuwa imebeba zaidi ya watu 100 wa ukoo mmoja kupinduka kwenye mto katikati mwa Pakistan. Boti hiyo iliyojaa...
1 Reactions
6 Replies
888 Views
Hali ya Joto kali imeendelea barani Ulaya ambapo inakadiriwa watu 1,063 wamefariki kutokana na hali hiyo kati ya Julai 7-18, 2022. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Ureno ambapo...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakimbizi 17 wa Haiti wamefariki Dunia baada ya mashua waliyokuwa wakiitumia kuzama kwenye maji huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo. Walikuwa njiani kuelekea Miami Nchini Marekani...
0 Reactions
2 Replies
972 Views
Back
Top Bottom