International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Hatimae makamo Rais wa. Iran kajiuzulu baada yakuona sera ya misimamo mikali Rais wake haifaagilii ==== Hayo yameripotiwa na Shirika la habari la Iran, IRNA ambalo limearifu kwamba Zarif...
2 Reactions
20 Replies
815 Views
Fujo za kidini huko Palestina na India zimekuwa na athari kubwa kwa jamii ya Waislamu, zikichangia matatizo makubwa ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hali hizi ni matokeo ya mizozo ya muda mrefu...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Wonjun Choi, VP na Head wa Samsung Mobile Experience (MX) Division, amepandishwa cheo kuwa President wa MX Development Division. Samsung ilitangaza mabadiliko haya Machi 4, na Choi ataendelea...
2 Reactions
3 Replies
189 Views
1. Rampant Corruption and Poor Compensation One of the most significant issues plaguing the Armed Forces of the Democratic Republic of Congo (FARDC) is systemic corruption. Soldiers are often...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Utaratibu wa kuwarejesha nyumbani wanajeshi 190 wa Afrika ya Kusini wanaolinda amani nchini Congo DRC 🇨🇩 umeshindikana. Kwa mujibu wa City Press, wanajeshi hao wote ni majeruhi na kwamba taarifa...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Kumekuwa na maneno mengi sana eti Zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump. Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
2 Reactions
17 Replies
398 Views
  • Redirect
Leo kwenye site ya BBC news Swahili,habari kubwa ni kusitishwa kwa misaada ya kijeshi from America to Ukraine! Hatua hiyo ni kufuatia raisi wa Ukraine kuzozana na Mwamba trump wiki iliyopita...
0 Reactions
Replies
Views
Huko kwa nchi za ulaya anakosema anaenda kutafuta sapoti labda ni faraja tu lakini kwenye suala la pesa na vifaa atazungushwa sana. Kwenye umoja wa ulinzi wa nchi za ulaya na Marekani, ni...
5 Reactions
15 Replies
673 Views
Mimi: Hebu tupige stori kidogo kuhusu m23 congo Chatgpt: M23 (March 23 Movement) ni kundi la waasi lililoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Lilianzishwa mnamo 2012 na...
3 Reactions
1 Replies
140 Views
Siku chache zilizopita Zelensky alitrend kweny vichwa vya habari kwa kukataa kusaini mkataba huku baadhi ya vyombo vikimsifu ni shupavu, hodari, Hero, n.k. Zelensky alidhani kwamba baada ya...
4 Reactions
14 Replies
775 Views
The obvious groups will be Druze state, Kurdi state and what will remain as Syria, may be. The threat for the Shia military group is high and very obvious to also form their own part. The winner...
2 Reactions
10 Replies
339 Views
Februari 28, 2025 Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanamwambia Zelensky kwamba "hauko peke yako" baada ya kukashifiwa na Trump katika Ikulu ya White House Wakuu wa Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen na...
6 Reactions
126 Replies
5K Views
Februari 28, 2025, Donald Trump kupitia mtandao wa X, alimkashifu Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kwa kutoheshimu nchi ya Marekani wakati wa mkutano wake na raisi huyo katika ikulu ya...
8 Reactions
61 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hatimaye zelensky amekubali kuingia mkataba wa kuuza madini adhimu kwa Marekani baada ya mikwara mingi Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Ukrainian President...
1 Reactions
20 Replies
994 Views
Wanakumbi. Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, Abu Obaida: Ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya Mafuriko ya Al-Aqsa kwa ajili ya kubadilishana wafungwa, Vikosi vya Al-Qassam vimeamua kukabidhi maiti...
4 Reactions
122 Replies
2K Views
Mnamo tarehe 1 Machi 2025, maafisa wa ECOWAS waliotumwa nchini Guinea Bissau kuzungumzia tarehe mpya ya uchaguzi walilazimika kuondoka nchini humo baada ya vitisho kutoka kwa Rais Umaro Sissoco...
0 Reactions
3 Replies
223 Views
Wadau kwema? Ni kawaida kwa taifa moja kuwa na mgogoro na taifa lingine, kama tu jinsi mtu na mtu wanaweza kuwa na migogoro baina yao. Migogoro hii huibuka pale tu ambapo kuna mwingiliano wa...
0 Reactions
2 Replies
136 Views
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anaeshughulikia mambo ya Afrika Lord Collins ameweka wazi bila shaka yoyote kwamba serikali ya Rwanda inashirikiana na vikundi vya ugaidi kama vile ISIS ya Iraq...
15 Reactions
70 Replies
2K Views
Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana...
9 Reactions
63 Replies
3K Views
Back
Top Bottom