International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Serikali ya Rwanda imesema haitarejesha pesa ilizopewa na Uingereza kwenye mpango walioingia awali wa Uingereza kupeleka wakimbizi nchini Rwanda. Mpaka sasa Uingereza imeilipa Kigali dola za...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Borris (rais wa zamani wa urusi) alikuwa Na Ndoto Ya Kuirejesha Tena USSR Ndo Putin anasimamia Hayo maono. Russia 🇷🇺 Kwa Sasa ni Taifa Lenye Uwezo mkubwa Mno KIJESHI kwahiyo Uwezo Huo ulikuwa...
2 Reactions
16 Replies
762 Views
Wakuu, Habari ndio hiyo, Waasi wa M23 wanaelekea Bukavu mji mkuu wa jimbo la Sud Kivu baada ya kuuteka mji mkuu wa Nord Kivu wa Goma. ================================================== The...
5 Reactions
344 Replies
8K Views
Tanzania imetajwa moja ya nchi kumi bora zenye uchumi mzuri, utajiri na pato la Taifa ikiziacha nchi nyingi za Afrika.
3 Reactions
37 Replies
790 Views
Askari 260 wa Jeshi la Ulinzi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) waliokamatwa kwa kosa la kuwakimbia wapiganaji wa Kundi la M23 na kufanya uhalifu wa kivita mashariki mwa nchi hiyo...
0 Reactions
5 Replies
312 Views
  • Redirect
WanaJiolojia wa China wamegundua hifadhi kubwa ya thorium katika mgodi wa Bayan Obo, Inner Mongolia, inayokadiriwa kufikia tani milioni moja—kiasi kinachoweza kuipatia China nishati kwa miaka...
2 Reactions
Replies
Views
Urusi imesema kuwa ilizamisha meli ya mizigo iliyokuwa imebeba silaha na vifaa vya kijeshi iliyokuwa ikielekea Ukraini siku ya Jumamosi, Machi 1. Kituo cha vita cha Telegram cha Urusi Talipov...
3 Reactions
7 Replies
753 Views
Wakuu, Serikali ya Canada imefuata nyayo za Ubelgiji na Uingereza kuiwekea vikwazo serikali ya Rwanda, vikwazo hivyo vimekuja baada ya serikali ya Canada kujiridhisha kwamba Rwanda ndio chanzo...
4 Reactions
26 Replies
799 Views
US wanataka kumkimbia Mrusi Ukraine kijanjatu. Wakubali tu wamemshindwa Putin bas, nasio kutafuta visingizio vya kupewa madini ndio waweke ulinzi. Tramp hata akipewa madini, atamzuia putin...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Wakuu, Ufichuzi wa Mbunge wa Marekani Scott Perry kwamba Shirika la Misaada ya Kimataifa la Marekani (USAID) limekuwa likifadhili kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria uliibua hisia...
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Mahusiano ya Rwanda na serikali ya Uingeleza, siku za nyuma yalikuwa mazuri. Mwaka 2022, mwezi wa nne, enzi za waziri mkuu, Rishi Sunak, serikali zote zilisaini mkataba wa mamilioni ya Euro...
0 Reactions
7 Replies
428 Views
Wabunge watatu wamejeruhiwa Jumanne, mmoja wao akiwa katika hali mbaya, baada ya vurugu kuzuka bungeni Serbia huku fataki na mabomu ya moshi yakirushwa. Mvutano ulianza wakati wa kikao cha kupiga...
0 Reactions
2 Replies
115 Views
Dunia katika miaka hii mitatu iliyopita kufikia sasa imeshuhudia maajabu mengi na vichekesho visivyotarajiwa. Marekani imekuwa bega kwa bega na Urusi katika kutaka vita vya Ukraine visitishwe...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu, Mbunge wa Ukraine amemtaka Volodymyr Zelensky kuomba radhi kwa mienendo yake wakati wa ziara yake katika Ikulu ya White House wiki iliyopita – ambapo yeye, Donald Trump na JD Vance...
1 Reactions
0 Replies
180 Views
Bilionea Elon Musk ameonyesha kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa katika Umoja wa Mataifa (UN) na Muungano wa Kijeshi wa NATO. Akijibu chapisho la mtandaoni jana Jumapili lililohimiza hatua...
19 Reactions
116 Replies
3K Views
Zaidi ya nusu ya watu wazima na theluthi moja ya watoto na vijana duniani kote watakuwa na uzito mkubwa ifikapo mwaka 2050 hivyo kuongeza tishio la vifo vya mapema kwa mjibu wa utafiti...
1 Reactions
0 Replies
63 Views
  • Redirect
President Trump ordered a "pause" to all US military aid to Ukraine Hal Turner World At 7:27 PM eastern US time today, 03 March 2025, President Donald Trump ordered a "Pause" to all United States...
0 Reactions
Replies
Views
Kama bara la Afrika tungejali mali za wananchi wetu, tungekuwa tumepiga hatua kubwa sana. Kuhusu yale majibizano, Trump amefeli vibaya mno, kwani kwa mara ya kwanza katika historia, BBC inasema...
16 Reactions
81 Replies
2K Views
JAJI YUJI IWASAWA ATEULIWA KUWA RAIS WA MAHAKAMA YA KIMATAIFA (ICJ) Jaji Yuji Iwasawa ameteuliwa kuwa rais mpya wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) na atahudumu kwa kipindi kinachomalizika...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Kuna jamaa kaandaa chapisho humu kifua mbele. Itikadi kali nishawaambia kati ya utapeli mkuu kuwahi kutokea dunia hii ni nyie na itikadi yenu. Mnamchumchukia netanyahu maana amewaanyoosha kisawa...
-1 Reactions
8 Replies
190 Views
Back
Top Bottom