International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

South Sudan is once again facing a political crisis as government forces have arrested key allies of First Vice President Riek Machar and surrounded his residence in the capital, Juba. The latest...
1 Reactions
3 Replies
167 Views
If war is what the U.S. wants, be it a tariff war, a trade war or any other type of war, we’re ready to fight till the end...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Amani ya ulaya Sasa kulindwa na ulaya pasipo wahuni kutoka Marekani. Viongozi wa ulaya wamekutana kujadili namna ya kuimarisha ulinzi na majirani zao Ukraine pasipo kuwaalika Marekani. Hii ni njia...
11 Reactions
72 Replies
2K Views
Mikutano Miwili Mikubwa ya China, ambayo ni Mkutano wa Bunge la Umma la China na Mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China inafanyika hapa Beijing, na wajumbe zaidi ya 5,000 wanakutana...
1 Reactions
2 Replies
86 Views
Elon Musk, mshauri mwandamizi wa Rais wa Marekani, Rais Trump, amtaka bosi wake huyo kumpa msamaha muuaji, Derek Chauvin, mweupe, aliyekuwa na cheo cha afisa wa polisi nchini humo. Elon Reeve...
1 Reactions
6 Replies
363 Views
Israel bila Marekani, si kitu huko Mashariki ya Kati. Taiwan bila Marekani, si kitu mbele ya China. Korea Kusini bila Marekani, si kitu mbele ya Kim Jong Un. Na Ukraine bila msaada wa Marekani...
26 Reactions
81 Replies
3K Views
Rais wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amezindua kiwanda cha kusindika nyanya kilichopo katika mji wa Bobo-Dioulasso. Uzinduzi wa kiwanda hicho umefanyika leo tarehe 30 Novemba 2024 ...
10 Reactions
15 Replies
992 Views
Kwa kuwa amesema kubwa la wakubwa huenda this time around Wakapata amani ya kudumu. ---- Marekani imehimiza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne kuzingatia kuchukua hatua za...
6 Reactions
81 Replies
4K Views
Trump ni mfanyabishara makubwa, siasa zake ni siasa za kibiashara zaidi, anaifahamu kuwa Urusi ni taifa lenye mali, nguvu na technology kubwa ya Kila kitu. Anajua kuwa Urusi ni kikwazo kwa...
1 Reactions
5 Replies
539 Views
Hakuna nchi inayoitwa Palestina na wala haitakuwepo. Wafia dini endeleeni kushupaza mafuvu yenu na kujikombakomba kwa waarabu. ============ Mwanaume Mwarabu kutoka Saudi Arabia katika ujumbe kwa...
0 Reactions
5 Replies
290 Views
Kuna malalamiko ambao mfanyakazi kutokuwa na hatia lakini wameamua kumnyonga ambaye ambaye hata familia yenyewe imelalamika kuwa sio yeye. Imani ya wa isalamu ndio inatajawa kuwa imani yenye...
0 Reactions
5 Replies
289 Views
Viongozi wa nchi za kiarabu waliokutana huko Cairo wamesema Gaza itajengwa kwa plani nzuri waliyokwisha kuibuni wakati wapalestina hao wakiwa humo humo ndani. Raisi Elsisi ambaye mara nyingi...
2 Reactions
17 Replies
444 Views
Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja...
4 Reactions
16 Replies
577 Views
Wakuu, Polisi wamesema shambulio hilo lilitokea katika kituo cha basi na treni siku ya Jumatatu, ambapo "mshukiwa alidungwa risasi na mlinzi wa usalama na raia aliyekuwepo eneo hilo." Taarifa ya...
7 Reactions
113 Replies
2K Views
Wakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja. Kwamba katiba yao ndio inaamua, kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake...
30 Reactions
106 Replies
3K Views
Wanaukumbi Maelfu ya waandamanaji katika miji mbalimbali ya Israeli wametaka usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas uendelee na mateka zaidi waachiliwe. Kadiri hatua ya kwanza ya...
4 Reactions
88 Replies
1K Views
Wakuu, Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi. Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro...
12 Reactions
112 Replies
3K Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu jana wakati analihutubia bunge la KNESSET alitoa kalipio kali kwa magaidi wa Hamas na akasisitiza kuwa wasicheze na moto maana watapata kipigo ambacho...
1 Reactions
16 Replies
395 Views
Waziri wa Ulinzi Israel Katz: "Licha ya shirika la kigaidi la Hamas kukiuka mara kwa mara na kukataa kwake mipango uliotolewa na mjumbe maalum wa Rais Trump katika Mashariki ya Kati Witkoff...
2 Reactions
8 Replies
230 Views
Ili kuwa Muisrael njia kuu na ya Uhakika zaidi kwanza ni wewe kuwa Myahudi. Kuna njia kuu mbili za kuwa Myahudi 1) Kutokana na uzao, yaani Mama yako awe myahudi. Haijalishi wewe ni atheist, au...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom