Trump yeye hajali hata kuhusu soko la hisa
https://x.com/spectatorindex/status/1897740651107864732?t=LM3GG61kwI11WIYkLzbAhw&s=19
Je, ni kweli au siasa siasa tu za kujaribu kuongea uongo ili...
China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies.
More than half of all soybean exports from the US go to...
Itakumbukwa kuwa Houthis walisimamisha kuishambulia Israel baada ya makubaliano ya kusitisha vita ili kubadilishana mateka wa kivita.
Israel amekiuka makubaliano ya round ya kwanza na Hamas ...
Tazama nchi hizi ni lazima mwananchi apate mafunzo ya kijeshi.
Denimaki 🇩🇰 Austria 🇦🇹
Russia 🇷🇺 Israel 🇮🇱 Finland 🇫🇮 Norwei 🇳🇴 Korea zote mbili Angola 🇦🇴 Mozambique 🇲🇿 Algeria 🇩🇿...
Wanaukumbi.
Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha...
Mpango wa Uhamiaji wa Wakaazi wa Gaza Wazinduliwa
Israel imekamilisha maandalizi muhimu ya kuwezesha uhamiaji wa wakaazi wa Gaza, mradi tu nchi zilizo tayari kuwapokea zinaweza kupatikana...
Kufuatia hali iliyopo ya mitizamo inayowekwa wazi kipindi hiki kuliko nyakati zozote, mawaziri wa ulinzi wa Marekani na Uingereza wakiongozana na viongozi wakuu wa kijeshi wakutana ili kuondoa...
Wabunge 241 wa Afrika Kusini wameukubali na wengine 81 kuupinga muswada wa kutaka kutwaliwa na kununuliwa ardhi kwa nguvu katika nchi hiyo.
Hadi Agosti 30 mwaka huu, Kamati ya Bunge la nchi hiyo...
My Take
Hili liwe funzo Kwa Afrika Kusini maana mtu mweusi hakuna kitu anakiweza zaidi ya uharibifu Afrika Kusini: Serikali Kunyakua Ardhi Kwa Nguvu kutoka Kwa Wazungu Bila Fidia...
Hii Haina tofauti na vyeti Feki wa Magufuli.
My Take
Ndani ya miaka 3 ijayo tutazamie Zimbabwe Kuingiza tena Afrika kwenye Kilimo na Ufugaji.
---
Two decades after thousands of white farmers...
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni...
Wanaukumbi.
⚡️🇺🇸IRais wa Marekani Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano haramu"
Haya yanajiri baada ya maandamano ya chuo kikuu yaliyokuwa...
Aliekuwa kiongozi wa kundi la waasi la FDLR, General OMEGA, siku za nyuma, baada ya handaki aliyokuwemo na wenzake kulipuliwa na M23, na kusababisha vifo vya badhi ya walinzi wake, na kuhisiwa...
Mwanamke mjamzito alisafiri hadi Marekani kwa lengo la kujifungua ili mtoto wake apate uraia wa Marekani kwa kuzaliwa. Hata hivyo, alipofika uwanja wa ndege nchini Marekani, alikumbana na hali...
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametoa wito wa utulivu nchini humo kufuatia kushambuliwa kwa helikopta ya Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa.
Kulingana na jeshi la Umoja wa Mataifa la kulinda amani...
Hongera Lt. Jenerali Eyal Zamir kwa kuwa Mkuu wa 24 wa Wafanyakazi wa IDF.
Kamanda Eyal Zamir Mafanikio yako ni mafanikio ya IDF na mafanikio ya nchi yetu! Tunakuamini utaliongoza jeshi kwa...
Kwa ilivyo sasa Raisi Donald Trump maisha yake yapo hatarini mara kumi zaidi ya wakati wa kampeni za kugombea uraisi wa Marekani kwa awamu ya pili.
Viongozi wengi wa nchi kadhaa za bara la Ulaya...
Katika miezi ya hivi karibuni, kumekuwa na mjadala mkali kuhusu ushirikiano kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla, Elon Musk, na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump. Ushirikiano huu umeibua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.