International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
FDLR Kimekua ni kisingizio kinachotumiwa na Rwanda ili kuhalalisha ugaidi na uvamizi wa mipaka ya Nchi nyingine huru. Sasa si muda wa Mataifa kuikemea Rwanda kwa mdomo ni muda wa kuhujumu...
5 Reactions
13 Replies
478 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo la mwisho kwa Hamas kuachilia mateka walioko Gaza, akisisitiza kuwa Marekani inaiunga mkono Israel kumaliza suala hilo. Hii inakuja muda mfupi baada ya...
14 Reactions
108 Replies
3K Views
Ndege-vita za Israel aina ya F-15,F-16 na F-35 zimeungana na dege la kimarekani Mama wa madege yote B-52 kufanya mazoezi ya pamoja tayari kwa tukio ambalo linategemewa kufanyika hivi karibuni.
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametangaza kuwa mazungumzo kati ya Ukraine na Marekani yatafanyika Saudi Arabia wiki ijayo, akielezea matumaini kuwa mkutano huo utakuwa na maana katika juhudi...
2 Reactions
19 Replies
621 Views
Funzo; Kama nchi, ni bora kupambana ili kujitegemea kuliko kutegemea misaada mana kuna muda nchi tajiri zinapata marais watata kama Trump. Leo kaanza na Lesotho, kesho nani? Trump anajiamini...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu,kuna yeyote humu anayeweza kutusimulia tukio la kunyongwa kwa Saddam Hussein. kwamba Saddam na familia yake au mwanasheria wake walitaarifiwa, alikula nin kama mlo wake wa mwisho, maneno...
2 Reactions
23 Replies
12K Views
Kisiwa cha Idjwi nchini Kongo ni eneo lililosahaulika ambalo limeishi kwa miongo kadhaa ya vita bila kuathirika. Kisiwa cha pili kwa ukubwa kilichoko ziwani barani Afrika, Idjwi, kipo katika...
3 Reactions
2 Replies
270 Views
Wakuu, Baada ya kukata misaada ya kifedha na misaada ya silaha Ukraine sasa Trump ameamua kuikatia Ukraine taarifa zote za kijasusi na za kiusalama zinahusiana na vita yao dhidi ya Urusi...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Rais Trump ameendeleza ubabe na kuendelea kupunguza mahusiano ya Marekani na mataifa mbalimbali: Marekani, chini ya Trump, kwa muda mfupi imejenga mazingira ya kupunguza mashirikiano dhidi ya...
11 Reactions
42 Replies
1K Views
Microsoft imetangaza kuwa itafunga huduma ya Skype ifikapo Mei 5, 2025, baada ya miaka 22 ya huduma. Hatua hii inalenga kurahisisha huduma za mawasiliano kwa watumiaji kwa kuhamasisha matumizi ya...
1 Reactions
19 Replies
898 Views
“Je, umekasirishwa na vita vya Gaza? Mimi pia nimekasirishwa Naitwa Raman Rawan Osman Mimi ni Mshami nusu, nusu Lebanon Tangu Oct 07,2023 nilitembelea Israeli mara tisa na ninataka kushuhudia...
0 Reactions
6 Replies
383 Views
Jamaa wanasema wamefanya mauaji ya heshima kwa maana binti yao alikuwa amegeuka na kuwa kama "binti wa kimagharibi" Mtapeli mwanadamu vyote, ila ukishamteka katika fikra na imani, basiiii...
5 Reactions
29 Replies
728 Views
KUTANA NA AKILI KUBWA YA RAIS KAGAME,ONE OF THE BEST PRESIDENT,THE DREAM OF AFRIKA. Leo 13:30hrs 20/12/2022 Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo...
7 Reactions
40 Replies
1K Views
Watu saba wamejeruhiwa nchini Korea Kusini, wanne kati yao vibaya, baada ya ndege ya kivita kudondosha mabomu manane kwa bahati mbaya katika eneo la makazi ya raia wakati wa mazoezi ya kijeshi...
0 Reactions
3 Replies
197 Views
Wanaukumbi. Mateka watano wa Marekani na Israel wanazuiliwa huko Gaza, huku mmoja akiripotiwa kuwa bado yu hai. Ikulu ya Marekani imesema mazungumzo hayo yanaendelea, baada ya Hamas kuthibitisha...
0 Reactions
12 Replies
254 Views
Majeshi ya Israel yanaendelea kuwasaka magaidi wa Hamas popote walipo siku ya leo kiongozi wa magaidi hao huko JENIN aliweza kuuwawa na sasa. .Jenin imekuwa ngome kubwa ya Magaidi ambao mara kwa...
2 Reactions
13 Replies
484 Views
Moderator hijabu imenasa kwenye Ngazi ya umeme yaani escalator na siyo kwenye Nguzo ya umeme hivyo rekebisha kichwa cha habari Wadau hamjamboni nyote? Sio mara ya kwanza ajali za aina hii...
3 Reactions
39 Replies
941 Views
Back
Top Bottom