International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Makamu wa Rais wa Ufilipino, Sara Duterte, ameondolewa madarakani kwa tuhuma kadhaa, zikiwemo kupanga kumuua Rais wa nchi hiyo, ufisadi wa kiwango kikubwa, na kushindwa kulaani vikali hatua za...
2 Reactions
3 Replies
332 Views
Taifa la kimarekani U.S.A ni taifa lenye nguvu duniani kiuchumi na kijeshi hivyo ndo walivyotuaminisha kwa kutumia vyombo vyao vya habari. Watuaminisha hivyo, ila kiuhalisia sio kweli. Nasema...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Mambo tunayoyashuhudia mashariki ya kati ,Ulaya na Asia ni dalili tosha kuwa binadamu akipanga na Mungu anakuwa na mpango wake ulio bora zaidi ambao umejificha. Kwa wingi wa silaha walizonazo...
5 Reactions
11 Replies
587 Views
Waasi wa Houthi nchini Yemen wameipa Israel makataa ya siku nne kuondoa vikwazo vya chakula, dawa, na misaada kuelekea Gaza, wakitishia kurejea mashambulizi yao ya baharini iwapo hatua hiyo...
5 Reactions
20 Replies
647 Views
Hali inazidi kuwa ngumu kwa Ukraine baada ya majeshi ya Urusi kuanza kuchukua udhibiti wa maeneo yaliyo Kursk ambayo yalikuwa yanadhibitiwa na Ukraine tangu Agosti 2024. Russia ilifyatua...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Jeshi la anga...
15 Reactions
199 Replies
19K Views
Habarini wadau. Wengi tunafahamu vita ya urusi na Ukraine isingedumu hata wiki Moja kama marekani na NATO wasingekuwa nyuma ya zelensky. Lakini tumeshuhudia mazungumzo kati ya Trump na zelensky ya...
12 Reactions
46 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa Nishati, Eli Cohen, ameagiza Shirika la Umeme la Israel (IEC) kusitisha mara moja usambazaji wa umeme kwa Ukanda wa Gaza, katika kile kinachoonekana kuwa ni...
1 Reactions
24 Replies
647 Views
Waasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameingia Bukavu, mji wa pili kwa ukubwa katika eneo hilo la mashariki. Corneille Nangaa, kiongozi wa Muungano unaojumuisha waasi wa M23...
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Wabunge wa Democratic wanasema AID iliwekwa na Bunge kwa hiyo Elon Musk hana mamlaka ya kuiondoa AID. Kama Trump anataka kuifuta AID alete muswada Congress atuombe ruhusa. Lakini AID haiwezi...
0 Reactions
9 Replies
518 Views
Walimu wawili walionekana wakigombana katika chumba cha ofisi ya wafanyakazi (Walimu) katika Shule ya Ibru College, Agbarha-Otor, Jimbo la Delta, Nigeria. Video iliyoachiwa mtandaoni inaonyesha...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Hivi majuzi, video ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha askofu mmoja wa Nigeria akifanya ibada isiyo ya kawaida ya kugusishana ndimi na askofu mwingine wa kiume. Tukio hili lilizua...
12 Reactions
62 Replies
2K Views
TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
39 Reactions
383 Replies
46K Views
Trump awe makini coz watu wana hamu naye! Safari hii wamemuwahi jamaa kabla hajafanya yake! Huduma ya Ulinzi wa Rais wa Marekani (Secret Service) ilimpiga risasi mwanamume mmoja nje ya Ikulu ya...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimewahi kufika South Africa uchumi wa south Africa ni mkubwa mno manake ni nchi iliyondelea sana ila ni nchi yenye jobless wengi mno Roughly ukikutana na vijana 100 bas 36 ni pure jobless .
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Serikali ya Zimbabwe itawalipia malipo ya awali wazungu waliokuwa wamiliki wa mashamba ya kibiashara hivi karibuni, kama fidia ya kuchukuliwa ardhi zao katika mageuzi ya ardhi. Tume maalum...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais wa S/Africa bwana Cyril Ramaphosa ametia Saini amri ya kisheria Kunyakua Ardhi kutoka Kwa Wazungu Bila fidia hatua ambayo imezua sintofahamu kutoka kwenye chama chake. Pia Soma Watu weusi...
6 Reactions
56 Replies
2K Views
Back
Top Bottom