Baada ya Canada kujibu vikwazo vya ushuru vilivyoweka na Trump kwa kuongeza kiasi cha ushuru katika umeme wanaoiuzia Marekani Trump amekuwa mbogo akiuliza kwa nini Marekani inanunua umeme kwa nchi...
Serikali ya Marekani imerudisha tena usaidizi wake kwa Ukraine baada ya Ukraine kukubaliana na Marekani juu ya mpango wa usitishaji vita kwa siku 30.
Mara baada ya uamuzi huo, misaada mbalimbali...
Wakristo huko Syria sasa hivi wanakabiliwa na mauaji ya kutisha baada ya utawala Miya wa Syria kuamua kuwaua watu ambao wao wanawaita Makafiri.
Mauaji hayo yanawalenga waliokuwa waliokuwa...
Ofisi ya Rais wa Ufilipino imeripoti kukamatwa kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Rodrigo Duterte, baada ya kupokea ombi kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Duterte alikamatwa...
Kikao cha marais wa nchi za SADC, kimeamua kuondoa majeshi yote ya nchi hizo, kurahisisha upatikanaji wa suruhu la kudumu la amani nchini humo.
Wakati huo, kisiwa cha Idjwi tayari kipo mikononi...
Ukiulizwa sababu za China kuendelea na kujitegemea unaweza taja utitiri wa sababu lakini sababu kuu ya China kuendelea ni kuichukia historia nzima wao wanaiita "Century of Humiliation"...
Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa...
Mimi sio mtaalam wa mambo ya mataifa. Lakini ilivuma sana kuwa Russia imewekewa vikwazo ilivyoivamia Ukraine.
Kwanza ulaya ilisapoti sananvikwazo na marekani wakapilia msumari.
Hadi kufikia...
Marekani yapewa taarifa na Russia dakika 30 kabla, Ukraine na washirika wake washindwa kuizuia.
Ina uwezo wa kufika na kuangamiza mahali popote Ulaya nzima.
Hakuna mfumo wa kuizuia.
Ni...
Pamoja na kwamba mshirika wake,Mmarekani hayuko vizuri kuendelea kumsaidia lakini bado Israel haijachoka kuchokoza majirani zake na bado inajiamini kuwa ina mpango bora wa kupata ushindi dhidi ya...
Viongozi wa ngazi za juu jeshini nchini DRC, waliokimbia Goma na Bukavu, wataanza kujitetea mahakamani kuanzia leo tarehe 13 March 2025 na mahakama kuu ya jeshi.
Wanakabiliwa na tuhuma za kuachia...
11 March 2025
Dira Yetu : SEKTA YA MADINI NCHINI RWANDA : Je ni kweli Rwanda Haina M8godi ya Uchimbaji ?
https://m.youtube.com/watch?v=T2NW4_-B6-4
Muongoza kipindi ndugu Masantura amewakaribisha...
12 March 2025
A message to President Tshisekedi | Aid | Rwanda's Dignity | President Kagame talks to Mario Nawfal
Walitaka nchi ya Rwanda iwe tupu watu wakimbie, tunakumbuka mamilioni ya...
Paul Kagame au unaweza kumuita Paulo Kagame, huyu ni kijana wa Nyerere aliyepikwa kijeshi na kuiva vyema hapa nchini Tanzania, aisee mwamba anajiamini sana unajua kwa nini!! Twende kazi!!
Ni rais...
Serikali ya Modi (waziri mkuu wa India) inaweka msingi juu ya maadili ya uondoaji wa dola na kutoa njia kwa dola ya Marekani kustawi.
Mwanachama wa BRICS India kwa mara nyingine tena amekataa...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa (WHO),Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema kuwa Mlipuko wa Mpox si janga la Afrika pekee bali ni la kimataifa katika mkutano wa kamati...
Ukraine imekubali kupitisha pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano mara moja kwa siku 30 katika uvamizi unaoendelea wa Russia dhidi ya nchi hiyo ya Ulaya Mashariki, ikisubiri Moscow ikubali...
Taasisi ya Sera ya Mikakati ya Australia (ASPI) sasa inakabiliwa na wasiwasi mkubwa kuhusu bajeti yake, kwani Marekani imesimamisha msaada wa kifedha tangu Donald Trump alipoingia madarakani...
Hali ya jangwa imekuwa mojawapo ya changamoto kubwa zaidi za kimazingira zinazowakabili wanadamu, kwani inasababisha dhoruba nyingi za mchanga na vumbi, kuhatarisha usalama wa chakula, kufanya...
Katika miaka ya karibuni, China na Afrika zimehimiza ushirikiano wao katika sekta mbalimbali kwa njia ya kiuvumbuzi, mfano ukiwa ni karakana ya Luban, ambayo imekuwa alama ya ushirikiano kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.