International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Nikiangalia picha za Maeneo yote ya Palestina kuna maghorofa tena ya maana sana. Ila sifahamu wao hao raia wa Taifa hilo wanapata wapi pesa kiasi cha kuweza kujenga maghorofa tupu katika miji yao...
14 Reactions
72 Replies
2K Views
Hii ni tarehe 18 March, 2025 huko Angola. Serikali ya DRC ina wafungwa wengi wa AFC/M23. Ombi la kwanza la hawa viumbe, ni kuhakikisha wanaachiwa huru kabla ya mazungumzo. Nani ana tiketi ya...
0 Reactions
2 Replies
162 Views
Waislamu duniani mara zote wanapopatwa na shida walitegemea wapate utetezi wa hali ya juu kutoka kwa utawala wa Saudi Arabia kwanza kabla ya kwengine kokote.Misaad hiyo ingeweza kuwa ya...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Your Excellency, Mr. President, We watched the report of your conversation with the President of Ukraine, Volodymyr Zelensky, with fear and distaste. We find it insulting that you expect Ukraine...
4 Reactions
15 Replies
683 Views
https://www.youtube.com/watch?v=IvXf5JgmIxs
1 Reactions
10 Replies
292 Views
Baada ya anguko kubwa la mauzo na hisa za magari ya kampuni ya Tesla inayomilikiwa kwa hisa nyingi na kuongozwa Elon Musk, Rais wa Marekani Trump ameingia mzigoni akitumia ofisi ya Ikulu ya US...
11 Reactions
19 Replies
591 Views
Taarifa kutoka kwa mjumbe wa Marekani aliyefanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, ameeleza kuwa Hamas wametamka kuwa wapo tayari kuingia kwenye makubaliano ya kusitisha vita kwa kipindi kati...
5 Reactions
11 Replies
528 Views
MANILA, Ufilipino (AP) — Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte aliambia uchunguzi wa Seneti Jumatatu kwamba alikuwa na "kikosi cha kifo" cha majambazi ili kuua wahalifu wengine alipokuwa...
1 Reactions
59 Replies
1K Views
Nakumbuka yalikuwa yamepamba moto, kila chombo cha habari kinawazungumzia wao tu; pamoja na kuonyesha harakati zao katika kuikomboa kongo. Lakini kwa sasa, naona kuna kimya kingi; au...
3 Reactions
9 Replies
504 Views
Makubaliano yamefikiwa baina ya serikali mpya ya Syria na kundi la kikurdi la SDF ili kulijenga upya taifa lao ambalo limekumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya miaka 14. Kundi hilo...
3 Reactions
8 Replies
373 Views
Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano na Baraza lake la Mawaziri na kusema kwamba usemi wa mwisho juu ya sera ya wafanyakazi utatolewa na wakuu wa mashirika ya shirikisho, sio mkuu wa...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Huko Kivu kasikazini, vita kati ya jeshi la serikali na kundi la M23 vinaendelea. Leo hii,tarehe 9 Machi 2025, limekabwa eneo la Nyabyondo. Eneo hili lipo karibu na jimbo la Walikale. Ikumbukwe...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Ile habari ya kifo cha boss wa hezbolla ni habari mbaya na ya kusikitisha sana ila lazima ifike kipindi waarabu wajue ukweli sasa. Ni muda sasa wa kuacha kupeleka watoto wa madrassa...
18 Reactions
81 Replies
3K Views
Walianza kwa kiburi na jeuri lakini muda huu barua zinajazana white house zikiishia na “wako mtiifu” Ni wiki 2 tu tangu aapishwe ila mambo yanavyoendelea utadhani yupo mwaka wa tatu COLOMBIA...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
Mlishangilia kuondolewa kwa Assad sasa wakristo wanauliwa kama kuku Syria Kuna watu humu walifurahia kuangushwa kwa Assad, walisherehekea sana Walidai assad ni gaidi anayeungwa mkono na Iran...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Rais Donld trump wa marekani yupo kasi sana,anaunadi ukubwa wa taifa lake,anatamani kuwa na mamlaka mbele ya wenye mamlaka wenzie na anatumia nguvu na hadaa kuwaongoza viongozi wa...
8 Reactions
69 Replies
2K Views
Wakuu, Marekani hivi karibuni imetangaza kwamba iko tayari kw mazungumzo kufuatia ofa ya Rais wa Congo Felix Tshekedi la kuipa Marekani madini mbalimbli ili Marekani iweze kuisadia Congo...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Huawei wanakuja na surprise package kwenye upande wa semiconductor kwa kuja na mashine yao ya EUV. Hii kitu inaenda kuua monopoly ya ASML na TSMC. Taiwan, Netherlands na U.S.A wanaenda kupata...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Eti 5 M uSD kumkamata Nangaaa is he serious, watu wanataka Katanga nzima wamletee Nangaa akiwa katika hali yeyote
2 Reactions
11 Replies
415 Views
Back
Top Bottom