International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Paul Kagame, kama Rais wa Rwanda, anaweza kuchunguzwa na kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa madai ya ukatili unaofanywa na kundi la waasi la M23 katika Jamhuri ya...
0 Reactions
7 Replies
173 Views
  • Redirect
Balozi wa afrika kusini anafukuzwa kutoka nchini USA kwa sababu serikali yake ya kikomunisti inabagua na kutenga Christians waliojenga South Afrika kwa gharama kubwa ya jasho na damu na kuleta...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
My Take Huu ni uhuni wa kiwango Cha Juu. Hizo Nchi kama zitakubalo basi zifukuzwe AU. https://x.com/Jambotv_/status/1900816488769921322?t=_8PsFiQmpHL713lhiUrqAA&s=19
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wanaukumbi. 🚨🇺🇸🇿🇦 MAREKANI YAMFUKUZA BALOZI WA AFRIKA KUSINI KATIKA MGOGORO WA KIDIPLOMASIA Waziri wa Mambo ya Nje Rubio amemfukuza rasmi balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani, Ebrahim Rasool...
0 Reactions
Replies
Views
Nakumbuka sana tulitangaziwa sehemu mbalimbali kuwa Osama hajauawa. Ni propaganda za Wamarekani. Na hoja ikawa kama kweli wamemuua kwa nini wasimwoneshe uso na mwili wake? Leo hii ni zaidi ya...
8 Reactions
79 Replies
3K Views
akikagua kiwanda cha Silaha Ethiopia Huyu jamaa ana akili nyingi ndo maana mabepari walitaka wamuondoe
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Ship building ni moja ya sekta muhimu sana kwa uchumi wa nchi na usalama wa taifa. Wakati Marekani kwa wastani inazalisha meli 5 kwa mwaka China inazalisha meli 5 kwa siku! Kwa sasa China...
23 Reactions
95 Replies
2K Views
Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha...
2 Reactions
32 Replies
673 Views
Hapa akiulizwa na mtangazaji kuhusu gari za EV za BYD Alionekana ni mtu mwenye furaha sana iliyo pitiliza Hali ya sasa ilivyo sasa In 2024, BYD surpassed Tesla to become the world's largest...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Equation x jibu hili hapa. Si kila kitu kinawekwa wazi, lakini upungufu wa kasi wa M23, kuna ahadi ambayo mpaka sasa haijatekelezwa. Na ukweli kama hatageuza kibao, mpaka sasa yupo tayari kukaa...
2 Reactions
23 Replies
808 Views
Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano...
16 Reactions
103 Replies
3K Views
Hata hivyo, upande wa M23 kwa sasa haujamtambua Felix kama rais wa nchi, bali kama Mr. tu. Hili lina maana yake huko mbele.
2 Reactions
7 Replies
372 Views
Wanakumbi. Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud...
10 Reactions
88 Replies
1K Views
Na Mwamba ndo kwanza anazidi kutoa Onyo!! Inawezekana kwa Trump, Dunia yote ikapigishwa Magoti.
9 Reactions
40 Replies
2K Views
Kutokana na kasi ya kundi la M23 kujiokotea maeneo huko Kivu kasikazini, Mgodi wa ALPHA MINE ambao ni mali ya serikali ya Canada, umefunga milango kwa kinachoitwa kwa muda. Mpaka sasa...
2 Reactions
2 Replies
191 Views
Katika vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na raisi Trump mataifa kadhaa yamerudisha mapigo papo kwa papo dhidi ya Marekani mapigo yanayotishia usalama na utengamano waa taifa hilo lililokuwa...
3 Reactions
10 Replies
431 Views
Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa...
40 Reactions
92 Replies
3K Views
12 March 2025 Kampala Picha : rais Salva Kiir na makamu wa kwanza wa rais Dr. Rick Machar Mkuu wa majeshi ya ulinzi wa Uganda jenerali Kainerugaba Muhoozi athibitisha askari wa vikosi maalum...
3 Reactions
11 Replies
483 Views
Mahakama Malawi yaamuru Nabii Shepherd Bushiri na mkewe kurejeshwa Afrika Kusini Mahakama Kuu nchini Malawi imetoa uamuzi leo wa kurejeshwa kwa Nabii na Mchungaji maarufu raia wa Malawi, Shepherd...
2 Reactions
9 Replies
601 Views
  • Redirect
Naunga mkono Kujitoa kwake Kwa sababu huyo Felix Tchisekedi ameona hawana maana na alikataa mazungumzo na M23/Rwanda ila Sasa ameenda Angola kujibembeleza. Ngoja tuone mwisho. Felix Tchisekedi...
2 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom