International Forum

News and Stories from rest of the World
Mahakama Nchini Qatar imebadili hukumu ya adhabu ya kifo kwa Maafisa 8 za wamani wa Jeshi la Maji la India ambao walikuwa Wafanyakazi wa Kampuni ya Al Dahra baada ya kukutwa na hatia ya kufanya...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
27 December 2023 SUDAN WATU 6,000,000 WAFURUSHWA TOKA MAKAZI YAO, 12,000 WAPOTEZA MAISHA Kiongozi wa kikosi cha paramilitary cha Sudan jenerali Mohamed Hamdan Dagalo afanya ziara ya kipekee...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kuwa vita vya Gaza vinawagharimu sana wakati idadi ya vifo vya wapiganaji wa IDF ikiongezeka katika ardhi ya Palestina iliyozingirwa. Matamshi ya...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Mnorway Asilimu.....Baada ya kutoa Shahada amelia machozi kwa hisia za kiiman.....Allah ampe Istiqama yeye na sisi pamoja. Katika Surat An-Nasr (The Help) بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ...
3 Reactions
52 Replies
2K Views
Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT...
13 Reactions
91 Replies
6K Views
Wanakumbi. Siku kumi zilizopita, kiongozi mkuu wa kila siku wa Israeli, Yedioth Ahronoth, alichapisha habari zilizopatikana kutoka kwa idara ya urekebishaji ya wizara ya ulinzi. Mkuu wa idara...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Tukitaka kuzungumzia channel bora yenye vipindi bora kwangu mimi nitaiitaja hii channel ya CGTN DOCUMENTARY. Hii channel ya wachina waliupiga mwingi sana, ni channel bora kwa vipindi vya...
16 Reactions
71 Replies
5K Views
Pilots of an American Airlines flight managed to land safety at London's Heathrow Airport, despite strong winds from storm Gerrit. This clip filmed by big jet Tv, shows the planes bumpy landing.
0 Reactions
7 Replies
479 Views
Kwamba watawaacha Wapalestina aidha wajifie au walishwe na Israel, hapo sijui wanadhani wanakomoa Israel au Wapalestina, au HAMAS................... Gulf countries, led by the United Arab...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Hivi karibuni, Waziri wa Ulinzi wa Italia Guido Crosetto alisema, nchi hiyo ilfanya uamuzi wa ghafla na usio na mantiki wa kujiunga na Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI), miaka minne...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mchakato wa kuachana na matumizi ya US Dola(Dedollarization campaign) kama sarafu ya kimataifa katika biashara so far unaenda vizuri. Mfano, mataifa hasimu wa nchi za magharibi kama vile Iran na...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Yemen Meja Jenerali Mohammad al-Atifi: Amesema kuwa Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vitageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo...
21 Reactions
340 Replies
14K Views
The map shows the world's most dangerous countries (Image: travelriskmap.com) Vacationers have been advised not to travel to the world's most dangerous countries, which are highlighted on an...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
CONFIRMED: Israel planning to dislocate all 2.3 million Palestinians from the Gaza Strip so that it can be turned into a luxury beach front Resort 26 DECEMBER 2023 Advertisements are now...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Msemaji wa jeshi la Uganda, UPDF, Felix Kulayigye, amesema watu watatu wameuwawa katika shambulizi linalodaiwa kufanywa na wanamgambo wa kundi la Allied Democratic Forces ADF Magharibi mwa taifa...
0 Reactions
1 Replies
284 Views
Muhimu sana dunia ikawa tayari kupambana na haya magaidi ya kidini yakiongozwa na kubwa lao Iran... India has said it is sending three warships to the Arabian Sea after a drone hit an...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Jamhuri ya Kidemokraisa ya Kongo siku sita baada ya kufanyika uchaguzi mkuu uliogubikwa na kashfa za wizi wa kura na kucheleweshwa kusambazwa vifaa vya...
0 Reactions
6 Replies
517 Views
Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara imefuta shauri la jinai lililofunguliwa na Wakili Peter Madeleka dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Paulina Gekul la kumfanyia shambulio la mwili...
0 Reactions
0 Replies
455 Views
Kumeshakucha Haijulikani siku wala Saa Lakini Kisasi kitalipwa kufuatia Israel kumuuwa General wa Nyota 2 wa Iran Naangalia bbc news
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Algeria prevents a US aircraft carrying weapons to israel from flying over their space Kwa msaada wa google: Algeria yazuia ndege ya Marekani iliyobeba silaha kuelekea israel kuruka juu ya anga...
13 Reactions
53 Replies
3K Views
Back
Top Bottom