Kiongozi mkazi wa Hamas ndani ya Gaza ameibuka kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya oktoba 7 na kusema jeshi lake linapigana vita vikali na ambavyo havijawahi kutokea.
Matamko yake hayo...
Aliyekua kamanda wa Jeshi la Israel alalamikia upotoshaji wa IDF kuhusu wanajeshi waliouliwa huko Gaza
[emoji837]Yitzhak Brik, senior israeli commander EXPOSES propaganda lies by the IDF:
He...
Matokeo ya awali yanaonyesha Rais Tshekedi anaongoza kwa asilimia 80 , huku mpinzani wake wa karibu akiwa na 15% pekee
Imekuwa ikiripotiwa hujuma za wazi kwenye uchaguzi nchini Congo kama vile...
Hali katika eneo la mpakani kusini mwa Lebanon inazidi kuwa tete, huku Israel ikishambulia kwa mabomu mji wa Bint Jbeil kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa vita kusini mwa Lebanon.
Kulingana na...
Laana ya Allah imeweza kuwakumba majeshi ya Isreal. Jeshi linahaha kufanya uchunguzi wa maradhi haya ambayo yanawasumbua sana huku maradhi ya saikolojia ya kiakili kwa wanajeshi wa Isreal wakiwa...
1. Kwa imani ya kikristo, uwepo wa dunia na vyote vilivyomo umejengeka kutokea katika kitabu cha Mwanzo.
2. Kwa mujibu wa kitabu hicho binadamu aliumbwa siku ya sita baada ya awali kuumbwa mbingu...
Kwetu sisi tunaojuwa Historia ya kanisa katoliki, jambo la kuruhusu ushoga ndani ya kanisa halishangazi.
Kanisa katoliki lilishaoza miaka mingi sana.
Uozo wa kwanza uliaanza na mfalme...
Kama kawaida ya Wapinzani wa Afrika kwao Demokrasia Huwa inakamilika wakishinda 😁😁😁😁 ila waliangukia pua basi wameibiwa.
Huko DRC akina Moise Katumbi na wenzake wameitisha maandamano kupinga...
Mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hivi karibuni umepitisha kwa kauli moja azimio la kuweka Mwaka Mpya wa Jadi wa China kuwa sikukuu ya Umoja huo. Kwa miaka mingi, Katibu Mkuu wa...
Yaani watu wenu wameuawa takriban 20,000 huku majengo yenu yameporomoshwa mumebaki kama mji wa mazombi, mnaachia mateka almradi kupata afueni kwa wiki moja, kiasha mnaendelea kupigwa na kuuawa...
Akiongea na waandishi wa habari,Netanyahu amesisitiza kuwa mpaka malengo waliyojiwekea yakamilike ambayo moja wapo ni kutokomeza kundi la hamas,netanyahu ameongeza kuwa hamas wanapelekewa moto wa...
Kulikoni? Au ni yale ya mkuki kwa nguruwe? Izingatiwe:
1. Binadamu wote ni sawa.
2. Suala la dini ni binafsi na la hiari.
3. Dini Kwa wenye nazo, kila mtu ana yake japo na wasiokuwa nazo pia...
Hawa magaidi wa dini hizi hela wangezitumia vizuri wangebadilisha maisha ya Wapalestina, yaani miaka yote waliwekeza kwenye miundo mbinu ya kiugaidi tu. Israel wana kila haki ya kufyatua Gaza na...
Waziri wa ulinzi wa Israel amesema nchi yake iko vitani maeneo saba tofauti.Akaongeza kusema kuwa kutokana na hilo tayari wameshaanza kushambulia kwa nguvu maeneo sita kati ya hayo kulipiza...
Russia and China are on the brink of a military alliance that could overwhelm the US
businessinsider.comDec 25, 2023 10:34 AM
Angle down icon An icon in the shape of an angle pointing down. GREG...
Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine...
Mke wa Jamal Khashoggi, Mwandishi wa Habari aliyeuawa katika Ubalozi mdogo wa Saudia Mjini Istanbul, amepewa hifadhi ya kisiasa nchini Marekani.
Khashoggi alifariki Oktoba 2018, ambapo ujasusi wa...
Nimeshangaa kusikia Wayahudi wamemtungua 2 🌟 General wa Iran na kumuuwa
Hii Vita ni kubwa na Ngumu hakuna namna ya bei ya Mafuta kuzidi kupunguza January
Mlale Unono!
Hawa wanaisha hadi basi tu....
An Israeli fighter jet successfully assassinated Hamas leader Hassan Atrash, the IDF and Shin Bet announced on Saturday.
The assassination took place in the Rafah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.