Wanaukumbi.
BEIRUT, Des 25 (Reuters) - Shambulio la anga la Israel nje ya mji mkuu wa Syria Damascus siku ya Jumatatu lilimuua mshauri mkuu katika Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, vyanzo vitatu vya...
Ulinzi umeimarishwa msikitini Al Aqsa na ni idadi kamili tu Waislam Wachamungu Ndio wanaoruhusiwa kuingia
Mambo ya kuuza vitu mbalimbali kama kahawa, alkasusu, vitabu nk ni marufuku
Source Al...
Kumbe jumuiya ya kimataifa ilitaka kuitumia Oman kwa maslahi yake pekee bila kuzingatia athari nyengine.Jambo la kufurahisha ni kuwa katika mazungumzo baina yao ikiwajumuisha wanamgambo wa...
1. Hapa chini ni salamu za Christmas kwenda Kwa nduguze wakristo:
2. Ama kwa hakika ukitaka kumwua nyani usimwangalie usoni.
3. Ukitaka kumwamgamiza mtu mtafutie jina baya.
4. Mbowe, Slaa...
Trump Says Immigrants From Africa, Asia, South America Are ‘Poisoning Blood of Our Country’
inquisitr.comDec 18, 2023 1:47 PM
Cover Image Source: Getty Images | Photo by Justin Sullivan
Former...
Hivi visiwa hugombewa baina ya Iran na falme za kiarabu yaani UAE, sasa Urusi wamejaribu kukingia kifua UAE, mara moja Iran ikamuamuru balozi wa Urusi aje ajieleze..
=========
Iran summoned...
Wanaukumbi.
Saudi Arabia inakataa ombi la Marekani la kujiunga na Operesheni Prosperity Guardian dhidi ya Houthis
Maafisa wa Saudia waliliambia gazeti la New York Times kwamba ufalme huo...
1948–49:
Israel dhidi ya mamlaka ya Palestine, vita ya kuikomboa ardhi na kujitafutia uhuru katika ardhi yake ya ahadi.
1956:
Vita dhidi ya taifa la Misri baada ya matishio kutoka Misri, Israel...
1. Binadamu mwenye kauli anaweza vipi kuyanyamazia ya Gaza?
2. Kwamba watoto na wanawake wale, kwa hatia ipi Yarabi?
3. Natenyahu yuko njia moja:
4. Joe Biden ni Suala la muda tu.
5. Kwa...
Leo Mtoto wa Mfalme wa Dubai ametangaza kuwa, Wafanyikazi wote wa Serekali ya Dubai, watapata Bonus kutegemeana na Mafanikio yao kazini. Idadi ya Bunus hiyo ni AED 152,000,000/- sawa US$...
Kama zawadi ya sikukuu ya Krismasi, kuanzia Jumatatu wiki hii yaani tarehe 25, Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zimeungana na nchi nyingine 21 za...
1. Alikiri beberu mwenye vita vyake, uwepo wa mazungumzo makini kuelekea vita kusita na wafungwa kubadilishwa:
2. HaIna shaka kuwa #1 ni pamoja na mbinyo kutokea nyumbani:
3. Ni wajinga peke...
Sema tulivyo makauzu hata aibu hatutaona.
Afghanstan kwa sehemu kubwa ni jangwa. Lakini bahati nzuri upande wa Kaskazini imepitiwa na mto mkuwa wa Amu Darya ambao inashare na nchi kadhaa. Sasa...
Nikiangalia michango ya watu humu JF, nashindwa kuelewa kama hii Vita kati ya Hamas na Israel ni Vita ya kidini ama ni Vita kati ya Taifa na Taifa!!??
Nani hasa anayejua hii vita inahusu nini...
Wamehofia kwamba IDF inafanya mpango wa kuwavamia, mpaka sasa wamepoteza wapiganaji 123.
====
Hezbollah has begun withdrawing its specila Radwan forces from southern Lebanon over the weekend...
ReutersCopyright: Reuters
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza David Cameron amesema kuwa nchi yake haitavumilia shughuli za Iran, ambazo alizitaja kuwa za "uovu" katika nchi yake na Mashariki ya...
Rwanda imetuma wanajeshi kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, saa chache baada ya DRC kumfukuza balozi wa Rwanda kwa madai ya DRC kwamba serikali ya rais Paul Kagame inawaunga...
Japokuwa Morrocco wamekuwa wakiandamana mara kwa mara dhidi ya Israel, lakini maandamano ya jana disema 24 ndiyo makubwa zaidi kufanyika kwa ajili ya kuitaka nchi yao kusitisha mahusiano yote...
Kwenye hotuba yake ya kila siku kwa taifa, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameshukuru marubani wa kijeshi waliotungua ndege mbili za kivita za Russia Ijumaa, kwenye mkoa wa Ukraine wa Kherson...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.