International Forum

News and Stories from rest of the World
Kwamba inaonewa tu, hao magaidi wanafanya yao huko bila Iran kuhusika.......... Iran denied on Saturday U.S. accusations that it was involved in planning attacks by Yemen's Tehran-aligned Houthi...
0 Reactions
8 Replies
686 Views
North Korea Banned Laughing, Drinking And Shopping For 11 Days To Observe Anniversary Of Kim Jong Un's Father's Death — Those Caught Were 'Taken Away And Never Seen Again' benzinga.comDec 21, 2023...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Haya ni matokeo ya mpaka sasa katika uchaguzi mkuu wa DRC na wengi wamesema umeenda vizuri kwa uhuru na haki pamoja na nchi kuwa kwenye changamoto nyingi. Jee nini kinaishinda Tanzania kufanya...
15 Reactions
127 Replies
7K Views
Mmoja wa viongozi waandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amezionya nchi mbili za Kiarabu kwamba zisithubutu kuingia kwenye muungano wa Bahari Nyekundu wa Marekani na imetangaza wazi kwamba...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kristo. Kuhusu wapenzi wa jinsia Moja Papa anasemaje? Ukweli uko hapa! "Fiducia suplicans". Ni barua alioandika papa juu ya maana ya Baraka katika uchungaji. "On the pastoral meaning of...
3 Reactions
100 Replies
5K Views
Halafu ikumbukwe China ni kafir kabisa kila tunapoitwa makafir na wao wanajumuishwa humo ila hata hivyo mataifa yameona hamna namna ila kumfuata kafir asaidie. Hata hivyo na mimi hapa nakazia...
8 Reactions
187 Replies
7K Views
Utafiti wa Khalil Shikaki,mpalestina mwenye ofisi zake Ramallah ameweka wazi utafiti wake unaobainisha kuwa idadi kubwa ya wapalestina wanaunga mkono maamuzi ya Hamas kupambana na Israel. Kwa...
3 Reactions
8 Replies
735 Views
Kwanza nataka kuongea kidogo kuhusu Putin. Putin alikuwa na Press Conference jana. Sikuisikiza yote,lakini pale mwanzo alisema Wamarekani hawapendi compromise. Katika kilar kitu wanaleta ubabe...
0 Reactions
2 Replies
358 Views
Padri Georges Abed wa Chile amesema mtu akitaka kumuuliza yeye kuhusu Gaza, Hamas, mauwaji na umwagikaji damu basi asifanye hivyo kwa kumchorea picha yenye ukubwa wa inchi kadhaa. Lazima achore...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Magaidi yenye mlengo wa dini ya kiislamu yanapata shida sana raundi hii....kote kote Maalim Ayman, leader of the Al Shabaab unit Jaysh Ayman. PHOTO | COURTESY Somali troops and US force this...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wanaukumbi… Wanajeshi wa Kikosi cha 13 cha Brigedi ya Golani katika jeshi la Israeli washerehekea kutoroka kwao kutoka Gaza(Jeshi la Israeli liliondoa Brigedi ya Golani kwa sababu ya idadi kubwa...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Jeshi la Ukraine linasema kuwa lilidungua ndege tatu za kivita za Urusi kusini mwa nchi hiyo siku ya Ijumaa. Ndege tatu za kivita aina ya Su-34 zilidunguliwa katika eneo la Kherson, jeshi la...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Video ya kile kinachoitwa 'kombe la vita' imetolewa na Brigedi za Al Quds za Islamic Jihad. Video hiyo inaonyesha ndege isiyo na rubani ya Israel 'Sky Racing' iliyodunguliwa na wapiganaji wa...
15 Reactions
87 Replies
4K Views
19 November 2023 Kuelekea uchaguzi mkuu nchini DR Congo nchi yenye utajiri mkubwa wa maliasili kama madini, uvunaji magogo ni watia nia wawili wa uRais ndiyo wanaoutia moto uchaguzi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika siku za karibuni Kituo cha mambo ya fedha na maendeleo kwenye sekta zisizosababisha uchafuzi (Green Finance & Development Center) katika chuo Kikuu cha Fudan mjini Shanghai, kilitangaza...
1 Reactions
1 Replies
413 Views
Mkutano wa tatu wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” umefanyika hivi karibuni mjini Beijing, na kuwashirikisha takriban wajumbe 10,000 kutoka nchi 151 na mashirika 41...
1 Reactions
1 Replies
435 Views
Mwaka huu ni miaka 10 tangu rais wa China, Xi Jinping, alipotoa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja. Zaidi ya miaka 1000 iliyopita, misafara ya ngamia ilipita katika Njia ya Hariri ya Kale...
1 Reactions
1 Replies
398 Views
Tangu katika kipindi cha katikati ya miaka ya 1990, China imetambulisha tena sera yake ya Afrika, ikiongeza msaada wake wa maendeleo, na kuyataka makampuni ya China kwenda nje na kuzidisha miradi...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia...
21 Reactions
258 Replies
14K Views
Tanzania inatazamia kuhakikisha raia wake wanatoka nje ya boksi na kushiriki kikamilifu bila kujifungia mipaka juu ya ustawi wa Dunia, yaani Raia wa Dunia. Kupitia jukwaa hili nimetamani sana...
0 Reactions
1 Replies
257 Views
Back
Top Bottom