Moise KATUMBI anachukua nchi mapema sana.
Sera zake za kurejesha amani na kujenga miundombinu ya maendeleo ndio silaha yake kuu.
Pia huyu jamaa anatumia Kiswahili katika kampeni zake, hii...
Wanaukumbi.
The United States announced it will coordinate joint patrols with allies to guard commercial ships in the Red Sea as the region comes under repeated attacks from Yemeni Houthi...
Wanachama na Wafuasi wa Chama cha Republican Nchini Marekani wamelalamikia uamuzi wa uliotolewa na Mahakama Kuu ya Colorado wa kuondoa jina la Rais wa zamani wa Nchi hiyo Donald Trump katika...
Mamlaka inayosimamia Bwawa la Kariba linalotegemewa Kwa Umeme na Nchi za Zimbabwe na Zambia imesema inatarajia kuwa na maji kiwango Cha chini kabisa Cha Lita za ujazo bil.16 ambazo ndio...
Wagombea Wanne wa nafasi ya Urais Nchini DR Congo wameamua kujitoa na kueleza kuwa wanaelekeza nguvu zao katika kumuunga mkono Gavana wa zamani, Moise Katumbi ambaye ni mgombea mkuu wa upinzani...
According to the BBC NEWS, an 18 year old hacker who leaked clips of forthcoming Grand theft Auto (GTA) game has been sentenced to an indifinite hospital order.
Arion kurtaj from Oxford, who has...
1. Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa Israel na mshirika wake mkuu Marekani, kwenye Baraza kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA).
2. Kwamba kwa kauli moja lilipitishwa azimio lenye kuishutumu Israel wazi...
Sijajua Israel wanataka kuua wangapi ili uwiane utimie...
At least 20,000 people have been killed in the Gaza Strip since Israel began bombarding the enclave more than 10 weeks ago, according to...
Mkutano Mkuu wa Kazi Vijijini wa China ulifanyika wiki hii mjini Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, imekuwa desturi kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC kuitisha mkutano kama huo baada ya...
Rais wa Nigeria Bola Tinubu kupitia Waziri wake wa Maendeleo na Madini ameamuru kuanzia Jana tarehe 20 Desemba, 2023 hadi tarehe 4 January, 2024 Treni zote za nchini Nigeria kubeba bure Wananchi...
Ikumbukwe huyu Papa wa Vatican anaeongoza Kanisa la RC almaaufu Kanisa Takatifu la Mitume kama wanavyojiita wao ameamua kuwaburuza wenzake wafuate msimamo wake.
Baadhi ya mambo ambayo anataka...
A - chatGPT like al system called live2vec has been trained to accurately predict the lives of individuals as well as their risks of early death.
According to the independent, the al model was...
Wengine wanaweza kusema swali hilo ni kichekesho, lakini hali ilivyo sasa ni swali linalokwenda na wakati na kutaka kupatiwa jibu lake.
Tangu wanamgambo wa Houthi waanze kuingia kwenye mapambano...
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ya Israel inawapa wafanyakazi 600 likizo bila malipo na kupunguza majukumu ya kazi ya wafanyakazi elfu nyingine hadi 75%, kama matokeo ya shida ya kifedha ambayo Tel...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka baadhi ya wanachama wa chama hicho kuacha kufikiria nafasi za udiwani, ubunge kwa sasa badala yake wawaunge mkono waliopo katika nafasi hizo.
Hayo yameelezwa...
Taarifa kutoka polisi wa Israel ni kuwa Israel ilitumia helicopter za apache kuua raia wake kwenye Nova festival halafu wakawasingizia Hamas!!Ukiangalia Nova festival
[emoji599][emoji1134]...
Ikiwa ni mwezi wa tatu wa vita kati ya wapalestina na Israel bado vita vikali vinapiganwa katika ya jiji la Gaza na makombora kurushwa na kudondoka Tel Avivi la karibuni likiwa lile la jana.
Hali...
Haya mataifa yameungana kubuni mbinu za kupambana na hayo magaidi yenye mlengo wa kidini......
MANAMA, Bahrain — The US and a host of other nations are creating a new force to protect ships...
Tatizo ni kwamba sex desire inakuwa na nguvu kubwa sana katika binadamu na ukiweka sheria kali kunaweza kuwaumiza watu.
Sheria kama hizi: ukimtia mimba mtoto wa shule,miaka thelathini jela...
Baada ya jana kutoa tangazo la kuzuia meli zote zinazoelekea Israeli Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu aliwasiliana na marekani na kuwaeleza kuwa kama hawatachukua hatua basi Israeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.