Hii ni habari njema sana kwa kila mpenda haki, usawa, uhuru au demokrasia.
Kwamba, bunduki zinyamaze sasa. Kila mtu akazike wafu wake, wafungwa wabadilishwe ya kuwa somo kila mtu kajifunza...
Mkuu wa kitengo Cha kutengeneza Silaha, ikiwemo makombora Bwana Mahsein Abu Zina ameuawa na majeshi ya IDF mjini Gaza. Abu Zina ndiye kiongozi aliyekuwa akiaminiwa katika kutengeneza makombora na...
Israel ina utaratibu wa kuwashawishi na kuwafanya watu wote wenye nasaba ya kiyahudi walioko maeneo mbalimbali duniani kurudi nyumbani Israel.
Moja ya masuala ambayo jamii ya Wayahudi wanajua...
Great Wall of China na katika kudadisi mawili matatu kuhusu ukuta huu na historia yake japo kidogo kama ifuatavyo:
1:Ulianza kujengwa 200BC yaani miaka 200 kabla ya Yesu kuzaliwa
2:Kazi ya...
Mzuka wanajamvi!
Mwanadada mrembo Kristina Raspopova alikuwa muhudumu kwenye ndege iliyopata ajali na kumuua boss wa Wagner Yevgeny Prigozhin aliwasiliana na familia yake kabla ya safari kwa...
Nchi kadhaa za kiarabu ikiwemo Qatar wameonesha nia ya kutaka Kujijenga upya Gaza ili Wananchi wa Palestine wapate makazi ya Kuishi kama awali
Lakini msimamo wa Netanyahu bado ni Ule Ule Kwamba...
Serikali ya Afrika Kusini iwaonya raia wake dhidi ya kujiunga na jeshi la Israel kwa ajili ya kwenda kupigana vita huko gaza, ikisema hatua hiyo ni kinyume na sheria za nchi hiyo na atakaye...
Wanaukumbi.
Malaysia ilisema itazuia Huduma Jumuishi za Usafirishaji za ZIM zenye makao yake makuu nchini Israel kutia nanga katika bandari zozote za taifa la Asia ya Kusini-Mashariki, hatua...
Mbali na askari wa jeshi la Israel wanaouliwa vitani na Hamas kuna adui wao wengine wanaowatesa kichini chini .Maabadui hao wengine ni viumbe visivyoonekana ambavyo huwakumba wale wanaopata...
Hamas pamoja na kuendelea na vita kwa mwezi wa tatu bado wako makini vichwani mwao kuhusiana na hadaa zozote dhidi yao.
Rais Isaac Hezrog wa Israel akizungumza na mabalozi wa nchi 85 jana...
Wapiga kura Milioni 44 wanatarajiwa kushiriki katika mchakato wa kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu ambao pia unahusisha kuwachagua Wabunge na Serikali za Mtaa, leo Desemba 20, 2023, Idadi ya...
Katika muda wa muongo mmoja uliopita, ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukiimarika, huku China ikifungua fursa nyingi za kiuchumi na kibiashara kwa nchi...
Nuclear war is not a myth or fairytale anymore, it is a reality which is about to happen very soon.
Hilo linathibitika kwa ushahidi wa Bilionea
Mark Zuckerberg ambaye amenaza ujenzi (a mega...
China highway 110 traffic jam, ni foleni kubwa ya magari iliyotokea kuanzia 12.08.2010 na kudumu kwa zaidi ya siku 10 huko China. Madereva walikuwa wanaweza kuendesha gari zao kilomita 1 kwa siku...
Msemaji wa wanamgambo wa Houth amesema wapo Oman kwa mwaliko wa kuzungumza na upande mwengine wa kimataifa kwa ajili ya kuacha mashambulizi ya meli zinazopita mlango wa bahari wa Bab Mandeb...
Halafu anakuja mtu from nowhere anaumia na kifo cha mtanzania mmoja!
2 days ago
Inasikitisha sana kuona watu wasio na hatia wakiuawa, wakijeruhiwa na wengine kuachwa wakiwa katika ulemavu ilhali...
Israel yakiri kuuawa Komandoo wake wa ngazi ya juu aliyekuwa Kiongozi wa Kikosi cha Golani
Komandoo huyo ndio wa ngazi ya juu kabisa kuuawa tokea Vita ianze, wamesema
IDF imetoa angalizo Kuwa...
Mwaka 2023 ulikuwa na matukio kadhaa makubwa kwa bara la Afrika, ambayo yaliangazia njia za kuhimiza maendeleo ya nchi moja moja ya Afrika, na hata maendeleo ya bara zima la Afrika. Katika matukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.