Ikumbukwe kwamba, kabla ya 1948 hakukuwa na Taifa la Palestina wala Taifa la Israel, bali kulikuwa na eneo lililokuwa likiitwa Palestina lililokuwa koloni la Uingereza ambalo lilikaliwa na watu...
Wakuu naamini muko buheri wa afya, pole kwa ambao wanapitia changamoto ya afya na Mungu awaponye.
Naombeni wanajukwaa munijibu swali langu kuhusu vita kati ya Hamas na jeshi la Serikali ya Israel...
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Chad baada ya wananchi kushiriki kura ya maoni juu ya katiba mpya iliyoahidiwa na utawala wa kijeshi, japo imepingwa na wanasiasa wa upinzani.
Ishara...
Vita vya nini kama mazungumzo yanaweza kuzaa mapatano yenye tija?
1. Ama kweli amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga:
2. Kwamba Israel kwenye hasira kali na pepo la kisasi na mtafaruku ule...
Kweli haya mapanya buku ya HAMAS yalijiandaa kwa muda mrefu na sidhani kama kuna taifa lolote dunia hii limekumbana na changamoto ya aina hii, yaani tangu umbwaaji wa dunia haijatokea binadamu...
yahoo.comDec 14, 2023 8:31 PM
The massive terminal at Beijing's Daxing International Airport dwarfs its passengers. It is the sixth-largest airport in the world by area. Chen Xiao/VCG via Getty...
Na hiki nimekisema mara nyingi, mataifa makubwa makubwa huko ngazi za juu zimeshikiliwa na Wayahudi, sasa unakuta mtu anayeshindia ubwabwa pale Buza anakuambia dini imesema Wayahudi watamalizwa...
Wametoa sababu nyingi ikiwemo bajeti kupunguza utegemezi wa mafuta na kuhamia kwenye kuongeza kutegemea kodi ambayo yenyewe imewakaba wananchi kwenye koo, pia wastaafu wametupwa mbali, bajeti...
Wengi wanaona isiwe tabu, hawana haja na mabikira ya kule akhera....
Israel’s Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday called for Hamas militants to lay down their arms, saying the...
Hali isiyotarajiwa imetokea mapema jana baada ya makombora sita ya masafa marefu kurushwa kutoka Gaza kuelekekea jiji la Jeusalem ambako ndiko ziliko nyumba mbili za waziri mkuu wa Israe...
Wanaukumbi.
-----
136 enemy military vehicles were destroyed by the resistance
Abu Obeidah, the spokesman of the Qassam battalions:
We have completely and partially destroyed 136 enemy...
Mkiambiwa makomando wa Israel ni moto wa kuotea mbali, yaani hapa kama movie, jamaa wameicheza kiaina aki ya nani nimefurahi hadi naumwa, hii itaandikwa kwenye vitabu na movie zitakua shot nyingi...
Urusi imeonyesha mfano kuwa taifa moja linaweza kumega ardhi ya Taifa jingine na kuifanya yake, Venezuela naye sasa anafuata, anataka kumega nusu ya Guiyana ajichukulie. Hii lawlessness itaishia...
Dec 15, 2023 03:51 UTC
Abu Obeidah, Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa Mujahidina wa brigedi hizo...
Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza.
Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya...
In 2013, Doctors kept the hand of Chinese factory worker, Xie Wei, alive by stitching it to his left ankle and "borrowing" a blood supply from arteries in the leg.
Following the surgery, the hand...
Wanaukumbi.
Maandamano makubwa huko Tel Aviv Israel. Wananchi wa Israel wanapiga kwa nini jeshi la nchi yao limewaua mateka wao, Wananchi wanahoji kwa nini waliwapiga risasi wakati hawakuwa na...
Habari wazee wa kimataifa. Kinachojiri muda huu ni jeshi la majini la Yemeni kuiteka meli ya mizigo iliyokua inaelekea israeli leo tarehe 14/12/2023 . Hakukuwa na ubishani wowote ule nahodha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.