Mshauri mkuu wa Ulinzi wa Marekani mh Suvillan akutana na Rais Mahamoud Abbas wa Palestine kupanga Gaza Ijayo itakavyokuwa
Marekani Wanataka Gaza ikabidhiwe kwa Mamlaka ya Palestine chini ya...
Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao.
Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi:
- Mazayuni wa...
Wanaukumbi.
Hagari anasema IDF inawajibika kwa "tukio hilo la kusikitisha."
"Hili ni eneo ambalo wanajeshi walikumbana na magaidi wengi, wakiwemo washambuliaji wa kujitoa mhanga," anaongeza...
Generali Brice Oligui Nguema Jenerali huyo anatarajiwa kuapishwa leo, Septemba 14, 2023 ataapishwa kuwa Rais wa Mpito akichukua madaraka kwa muda usiojulikana baada ya kupindua Utawala wa Familia...
Toka huu mzozo wa Israel na Palestine kushika kasi kwa sasa.
Kuna baadhi ya mambo ya nimeyang'amua yanayo onesha upuuzi wa idara mbalimbali au vitengo mbalimbali katika taifa la Israel.
Moja ya...
Andry Rajoelina ambaye ni Rais wa taifa hilo ataapishwa leo Desemba 16, 2023 kuendelea na nafasi hiyo baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika huku kukiwa na madai ya Upinzani juu ya...
Biblia nzuri sana ina kila kitu
soma mandiko utaona sehemu alaaniwe anaeilaani israel
abarikiwe anaeibariki israel
kuwa makini na post za israel jf usishangae unachaondika ndicho kinachokufwata...
Jeshi la wanamaji la Irani limeiamuru meli ya kivita ya Marekani iliyobeba ndege za kivita zaidi ya 20 iondoke karibu na eneo la bahari la Iran na pia ishushe chini helcopter yake ya kivita ambayo...
The young lawyer who battled his former lecturer in court and received praises from the CJ and SC judges
explained that, the compliments came after his submission on why he believed the Emolument...
Kimbembe kinanukia huko Ghaza.
Ni unafiki wa Waturuki na Urusi kutuma majeshi ya Ghaza au walikuwa wanagoja "timing" ya kidiplomasia kabla hawajafanya "move" yao.
Wayahudi na Wamarekani mavi...
Wanaukumbi.
ISRAELI WAPATA CHANGAMOTO YA USAFIRI 🇮🇱🇵🇸
Akifanyiwa mahojiano kupitia kituo cha redio cha 104 cha Israeli, Kamanda wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Israeli, Eliezer Merom alisema...
14 September 2023
Ankara, Turkey
Mbunge wa Uturuki aanguka bungeni alipotoa kauli kuwa "Israel haitaepuka ghadhabu ya Allah", na baadaye kufariki
Picha: mbunge Mh. Hasan Bitmez akipatiwa...
Meli ya kivita ya Marekani imefanikiwa kutungua makombora kadhaa yanayodaiwa kurushwa na waasi wa Houthi.
---
A US Navy warship operating in the Middle East intercepted multiple projectiles near...
Wanaukumbi.
Kwa mujibu wa Leaks Mawasiliano makali na ya dharura yanafanywa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu hasa Misri na Qatar ili kushinikiza Hamas kukubali...
Master Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza.
Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la...
Gharama za kubwa za baadhi ya dawa nchini Nigeria kiwango ambacho kimepanda takribani mara kumi katika miezi michache iliyopita, kimewalazimisha baadhi ya wagonjwa kupunguza dozi au kugeukia tiba...
Putin amekuwa na desturi ya kufanya mkutano wa mwisho wa mwaka wa Waandishi wa Habari, hata hivyo mwaka 2022 alishindwa kufanya mkutano huo kwakuwa vita ya Ukraine ilikuwa imemkalia vibaya...
Wagaza hawa wanadai walitokewa na Yesu ndotoni, na kupewa maelekezo.
Kuna vuguvugu kubwa la kikristo linaloendelea chini kwa chini katika kila ardhi ya mwarabu muislam. Pale pagumu kabisa Yesu...
Liliacha vijana waendelee kujifia, ila sasa wengi wanajisalimisha tena wakivuliwa nguo na kubaki uchi...
Hamas's leader in the Gaza Strip Yahya Sinwar speaks during a meeting in Gaza City, on...
Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo.
Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.