International Forum

News and Stories from rest of the World
Serikali ya Israel chini ya jeshi la IDF linapanga kujaza maji kwenye mahandaki yanayotumiwa na wapiganaji wa HAMAS huko Gaza. Jeshi la Israel IDF limesema kwamba mara baada ya hatua ya kwanza ya...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Bunge la Rwanda limeidhinisha muswada unaosimamia usalama wa maumbile, lengo likiwa kushughulikia hatari inayoweza kutokea kwa GMOs ili kulinda bioanuwai na kuhifadhi wa mazingira. Viumbe...
0 Reactions
1 Replies
571 Views
SERIKALI ya Israel imesema jeshi lake limeshambulia mamia ya malango huko Ukanda wa Gaza usiku kucha baada ya Waziri Mkuu Benjamin Ntenyahu kusema kuwa majeshi ya nchi yake yalikuwa katika mwanzo...
11 Reactions
137 Replies
11K Views
Ukisoma maoni ya watu mitandaoni hapa Tanzania , na mitandao ya kimataifa, hasa vyombo vya habari vya kimataifa, utaona watu kadhaa wanalaumu kwanini nchi za Kiarabu/Kiislam haziingilii vita ya...
15 Reactions
98 Replies
6K Views
Ni aliyewahi Mohamed Ould Abdel Aziz ambaye alikuwa Rais wa taifa hilo kati ya mwaka 2008 hadi 2019. Aziz amekutwa na hatia ya kujipatia mali kwa njia za haramu ikiwemo ubadhirifu. Mstaafu huyo...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Baadhi ya WaNamibia wamekasirishwa baada ya kujua kwamba watoto wanne wa Rais Hage Geingob walijiunga na ujumbe wa serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa wa COP28. Walikuwa miongoni mwa watu...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Rais wa Guinea-Bissau siku ya Jumatatu alivunja bunge kabla ya uchaguzi mpya kufanyika akisema "jaribio la mapinduzi" limelingiza taifa hilo la Afrika Magharibi katika mgogoro mpya. Rais Umaro...
2 Reactions
4 Replies
978 Views
Nimepita mitandao mbalimbali ya kijamii hapa nchini. Nimesikia maoni ya baadhi ya vijiwe mitaa ya Korogwe, Tanga mjini, Dar nk, Wanaosupport Hamas ni wengi. Tundu Lissu naye kaunga mkono Hamas...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Rai hiyo imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali,wakati akizungumza na waandishi wa habari akizungumzia juu ya machafuko yanaendelea kati ya...
18 Reactions
132 Replies
7K Views
Hamas wamesema sasa wako tayari kuwaachia Wanajeshi wa Israel iliowateka lakini kwa Masharti Mapya Hamas imemtaka Netanyahu kutafakari hilo Source Al jazeera news
4 Reactions
6 Replies
882 Views
Wanaukumbi. Afisa wa Hamas aambia Al Jazeera mazungumzo juu ya kubadilishana wafungwa sasa yamekwisha na hayatarejelea hadi Israel itakaposimamisha mashambulizi na kuwakabidhi wafungwa wote wa...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Mahakama ya juu nchini Urusi imepiga marufuku shughuri zote za vugu vugu la la kimataifa la LGBT na kulitaja kuwa kundi linalo hamasisha uovu uliovuka mipaka. Mapema mwezi huu wizara ya sheria ya...
14 Reactions
26 Replies
1K Views
Vyanzo vya Kizayuni, baada ya kipindi kirefu cha kudhibiti na kuficha habari kuhusiana na vifo na majeruhi wake vitani, hatimaye vimekiri kuuawa askari jeshi wake 75 katika saa 24 zilizopita. Kwa...
5 Reactions
3 Replies
552 Views
As we begin the Advent season, we think of those brothers and sisters confronted with war and violence. We prepared a report for you focusing on the situation of the small Christian minority...
1 Reactions
0 Replies
343 Views
Na wanasema zenyewe huwa zinakuwa nje ya zile Senses Tano ( 5 ) za Kawaida ambazo zinajulikana na zimezoeleka. Ninazisubiria kutoka Kwenu Wajuaji!!!!
0 Reactions
7 Replies
788 Views
Wanajeshi zaidi ya 60 wa Israel wauliwa kwa bomu Gaza, Israel kuondoa asilimia 70 ya majeshi yake Gaza Hii ndo habari mbaya zaidi kwa Israel: Wanajeshi zaidi ya 60 wa Israel wameangizwa baada ya...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Hiyo Gaza muisahau, inazidi kufanywa shamba... The U.S. has provided Israel with large bunker buster bombs, among tens of thousands of other weapons and artillery shells, to help dislodge Hamas...
5 Reactions
64 Replies
5K Views
Vladimir Putin apiga marufuku ushoga na shughuli zozote zinazohusiana na ushoga Russia, Mahakama ya Russia sasa inawatambua members wa LGBTQ community kama "extremists" pia mahakama imepiga...
3 Reactions
8 Replies
810 Views
Dhambi ya usaliti, mbaya dhambi ya usaliti, yaani dhambi ya usaliti ndio dhambi kubwa kwenye usaliti. Yes, dhambi ya usaliti. Mwaka 1960, Kasavubu alimsaliti Patrice Lumumba, akashiriki kupanga...
13 Reactions
22 Replies
2K Views
Benki ya Metro inayopitia changamoto kwa sasa ilisema Alhamisi tarehe 30/11/2023 kuwa inatarajia kupunguza idadi ya wafanyakazi kwa 20% kama juhudi sehemu ya juhudi za kokoa Pauni milioni 50 (Tsh...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom