A new jab is coming for another new plandemic,please do not fall for it again,it is all a hoax.
21 AUGUST 2023
The powers-that-be (TPTB) re-branded the Flu as "COVID-19" and suckered the entire...
Marekani, August 19, 1876, Michael C. Kerr alikuwa spika wa kwanza wa baraza la Congress kufariki akiwa madarakani. Alifariki kwa ugonjwa wa consumption (TB). Huyu alitokea jimbo la Indiana. Mpaka...
Habari za hivi punde, Israel imefikia mlango wa handaki na kupiga mabomu humo ambapo makamanda wa HAMAS wanaaminika wamejificha chini ya hiyo hospitali, mpambano unaendelea.
IDF says it struck...
Tangu vita vianze upya baada ya ukimya wa siku 7 wakati wa kubadilishana mateka Hamas imeendelea kurusha maroketi ya masafa marefu kutokea ndani ya Gaza ambayo yanaufikia mji mkuu wa Israel wa Tel...
Kampuni ya META inayoendesha Mitandao ya Kijamii ya Instagram, Facebook, Thread na WhatsApp imepewa agizo hilo na Tume ya Udhibiti wa Maudhui Mitandaoni ya Umoja wa Ulaya (EU) ikitaka ufafanuzi wa...
Wananchi wameonesha kutokubaliana na mabadiliko ya Muundo wa Bajeti mpya ya Serikali ya mwaka 2024/25 ikiwa ni chache baada ya Serikali kutangaza Makadirio ya Mapato na Matumizi ambayo yamehusisha...
Mzuka Wanajamvi.
Katika mitandao ya kijamii hasa tiktok kuna mjadala mpana wa waislam wakijadialiana kutaka na kuhimizana kususa kwenda hija kuwakomesha watawala wa kifalme Saudi Arabia hasa MBS...
Tazama Video hapo chini inayoonesha kiwango cha uharibifu wa nyumba na miundombinu mingine kaskazini mwa Gaza ikiwa ni matokeo ya mashambulizi ya Israel.
Kiwango hiki cha uharibifu nakifananisha...
Na wataendelea kufa mpaka wao wenyewe wajue adui wao ni HAMAS, ndiye kawaletea haya masaibu kwa kuchokonoa Wayahudi, kwa kifupi HAMAS iachie Wapalestina wajiongoze kwa amani....
Israel is...
Ukweli daimag huwa kweli. Ndio maana mayahudi walikuwa hawataki kabisa mateka wao kuachiwa kukimbia aibu
Hamas wakati wanaachia mateka walikuwa wakiwabeba na kuwapandisha ktk magari kwa huruma...
Uongozi wa Hamas imesema wametoa OFA kwa Israel ya mabadilishano ya Wafungwa wa Kipalestina na miili ya Wanajeshi wa IDF waliouawa vitani lakini Wayahudi hao wamekataa
Hamas wamesema Ofa yao bado...
Wanaukumbi.
BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, watoto.
BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, mateka.
Inavyoonekana, ni wakoloni wakatili wa Ulaya, pekee walio na watoto, na...
Shirika la Saudi Arabia limesema moja ya ndege zake aina ya Airbus A330 ilihusika katika "ajali" baada ya video kuionyesha ikiwa moto kwenye lami katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khartoum...
Mwandamanaji mmoja yuko katika hali mbaya baada ya kujichoma moto nje ya ubalozi mdogo wa Israel katika jimbo la Georgia nchini Marekani.
Polisi walisema mwandamanaji huyo alitumia petroli, na...
Viongozi na watanzania kuna jambo la kujifunza kutoka nchi jirani ya rwanda
Barabara zao ni nzuri na hazina matuta
Camera zimewekwa barabarani ilii watu waendeshe kwa kufuata sheria
Boda boda...
Nimeshuhudia mapokezi ya King Charles III huko Dubai kwenye mkutano wa Tabia Nchi, hakika Waarabu ni Watu wa kujipendekeza na Ndumilakuwili sana
Yaani Viongozi wa UAE walikuwa wanagombania...
Wanaukumbi.
Ikiwa wewe ni mpya kwa upinzani wa Palestina, labda tayari unajua kuhusu Hamas, lakini jiulize PIJ ni nani.
PIJ (Palestinian Islamic Jihad) na Hamas zote ni vikundi viwili vikubwa...
Source: Bloomberg
Subscribe
China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon
The government is increasingly relying on Huawei — the company Washington tried to destroy —...
Kama inavyojulikana kuwa mateka wa nchi za nje huwa wanaachiwa tu kwa kushtukiz kwani Hamas hawakuwaingiza kwenye mashari yao ya kusitishwa vita,
Siku mbili za mwanzo wameachiwa waisrael wengi wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.