Sasa hii nayo imetokea usiku wa kuamkia Februari 10, 2025 huko Sri Lanka ambapo wakazi zaidi ya milioni 22 waishio nchini humo wamelala gizani, na yote sababu ya Tumbili mmoja tu. Unaambiwa...
Katika kila tukio kubwa lilowahi kutokea Duniani kuna watu wengu wanaoamini conspiracies mbalimbali kuhusu hilo tukio kinyume na historia inayoaminiwa na wengi.
Mfano kuna watu wanaamini mauaji...
Habari wana jamvi , imekua ndoto yangu ya muda mrefu kutaka kusogea mbele kidogo na kubadilisha upepo wa bongo kutokana na factors nyingi tu ikiwemo ugumu wa maisha pamoja na uvunjifu wa...
Watawapokea Wapalestina wa Gaza
Wa kwanza ni Abdel Fattah El-Sisi, rais wa Misri, na wa pili ni Abdullah II, mfalme wa Jordan
Hawa jamaa ni pro west na pro Israeli. Walipokea misaada ya kutosha...
Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali wakiwemo Mawaziri ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza matumizi ya Serikali...
Elon Musk ametaka kufungwa kwa Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Voice of America (VOA), vyombo viwili vya habari vinavyofadhiliwa na serikali ya Marekani, akidai kuwa havina umuhimu...
Anaitwa Ian Kagame (Luteni Usu)
Mtoto wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kwa sasa rasmi amejiunga na kikosi cha Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo (PSU).
Hivi karibuni (mwishoni mwa Mwaka 2022) Ian...
I have been wondering what is going on in the minds of many people,even here in JF.You wonder whether these people are normal.The rationale of their arguments was far from having a human touch,it...
Wanakumbi.
Vikwazo vya mara moja kwa Malema na kutangazwa kwake kama mhalifu wa kimataifa! Elon Musk.
Majibu ya Julius Sello Malema.
Nadhani umepoteza kabisa ubongo wako wa kushoto: shujaa wa...
Wanajeshi 75 wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanapandishwa kizimbani leo Februari 10, 2025 wakituhumiwa kukimbia mapigano baina ya vikosi vya Serikali na waasi wa M23.
Taarifa...
Mamia ya askari wa Rwanda waliokuwa wakipigana bega Kwa bega na waasibwa M23, wamefariki dunia Kwa kipindi Cha mwezi mmoja wa mapigano ya kuuteka mji wa Goma.
Taarifa za ndani zinasema askari...
Wanaukumbi.
All three Israeli captives were starved because of Israel. Israel controls the borders and the aid going in. It is Israel that imposed starvation on Gaza as a whole.
The irony is...
Burkina Faso iliyo chini ya utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore imeanzisha utaratibu wa kurusha live kesi zote zinazohusu ubadhirifu wa fedha za umma.
Utaratibu huo umeanza mwezi Novemba...
Mjasiriamali bilionea Elon Musk ameibua mvutano mpya na kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema, akipendekeza kwamba Malema atangazwe kuwa mhalifu wa kimataifa...
Baada ya sintofahamu iliyotokea kuhusiana na usafirishaji za maiti za wanajeshi wa Afrika Kusini waliokufa wakipigana na kundi la waasi la M23, hatimae wamesafilishwa kupitia Rwanda.
Kamati ya...
Hizi Nchi za Kusini mwa Afrika thnazoambiwaga ni tajiri na zimeendelea zinaonekana Zina hali ngumu sana ya maisha on grounds.
Haiwezekani Nchi Tajiri wa Madini kama Namibia imeshindwa kutafuta...
Ohad Ben Ami, 56 ni miongoni mwa mateka walioachiwa huru na Hamas ili kubadilishana na wafungwa wa kipalestina amesema wazi wazi.
“I say to the families of the captives, go out and demonstrate and...
Kufuatia Bilionea Elon Musk mwenye uraia wa Afrika Kusini na Marekani kutaka Kamanda mkuu wa chama cha EFF Bw. Julius Malema atajwe kama mhalifu wa kimataifa, chama chake cha EFF kimetoa kauli...
Katika ligi nyingi za michezo za Kimarekani, kama MLB Major League Baseball, NBA National Basketball Association, na NFL National Football League, timu zinazoshindana na wachezaji wake huitwa...
USAID is officially dead.
Elon Musk alisema USAID ni shirika la kihalifu na linapaswa kufa
Kwa taarifa hii ni wazi kwamba kauli yake imetekelezwa
Je ndugu zangu nini itakuwa athari kwa Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.