International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Banyamlenge ni jamii ya watutsi wanaoishi eneo la Mulenge, eneo hili ni kiunga kilichopo wilaya ya Uvira jimboni Kivu Kusini (Sud Kivu) mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
2 Reactions
4 Replies
620 Views
Huyu tajiri Elon na tajiri mwenzake Trump waliovamia siasa na kuziendesha vile watakavyo wao sioni kama watakuwa na mwisho bora. Kwa siasa za China Trump asingefika hata hapa alipofika tena huyu...
5 Reactions
23 Replies
753 Views
MGOGORO PALESTINA, ISRAEL: UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct. Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede...
8 Reactions
29 Replies
973 Views
This saga is extremely very continuous or in progress till when America and allies are assured that no more precious mineral are found and dug in DRC. East African presidents are crazy and surely...
1 Reactions
3 Replies
158 Views
Kiongozi wa waislamia duniani ajulikanaye kama HH The Aga Khan amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88. Kwa Tanzania, Aga Khan atakumbukwa sana kwa kujenga miundo mbinu mizuri sana ya kutoa...
18 Reactions
103 Replies
4K Views
Kufuatia waasi wa M23 wanasapotiwq na Rwanda kuukalia mji wa Goma kimabavu je ndio mwanzo wa kuigawa DRC? Wengi walisikia kuhusu mkataba wa lemera ambao unasemwa ndio uliwapa watusi...
0 Reactions
3 Replies
175 Views
Majimbo yameanza mchakatao wa kumshtaki raisi Trump kutokana na utitiri wa amri za kiraisi ambazo amezitoa tangu arudi madarakani. iiliyoyaudhi majimbo hayo ni uamuzi wake wa kumpatia bilionea na...
0 Reactions
11 Replies
677 Views
Kodi za wamerekani zimetumika duniani kote na hivyo either kuchangia maendeleo katika baadhi ya nchi au kuchangia machafuko, uharibifu katika nchi zingine. Sera za mabeberu za kuzifanya nchi...
3 Reactions
5 Replies
307 Views
Baada ya kuzuia matumizi ya anga kwa ndege za kijeshi za DRC, badae M23 ilisema hata UN hairuhusiwi kutumia uwanja huo wa Goma. Taarifa ziliwafikia viongozi wa Umoja wa mataifa kwenye kikao cha...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari za hivi punde ni kuuwawa kwa kiongozi wa mapambo wa jeshi la Rwanda nchi Congo. Majeshi ya Rwanda yapo nchini Congo yakisaidiana na majeshi ya M23. Mara kadhaa Paul Kagame amekuwa...
44 Reactions
195 Replies
9K Views
Many people say that Donald Trump, the returning US president, is merely making loud noises. My opinion, in short, is that Trump could be anything – a sound bomb or a devastating explosive. We...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Wakuu, Kwa uncle Trump huko ji bandika bandua, kila siku anakuja na agizo jipya, mpaka Wamarekani watajuta kumfahamu. ==== Trump akimjibu chawa Musk kupitia ukurasa wake wa X baada ya...
3 Reactions
14 Replies
525 Views
Huyu kanali wa US anatoa siri kuwa US kupitia CIA waliwatumia wa Uyghurs katika jimbo la Xinjiang ili kuiharibu China kwa ndani utokee mvurugano ili waweze kuidhibiti China. Pia anasema wanatumia...
3 Reactions
15 Replies
528 Views
Wakuu, Utawala mpya wa Rais wa Marekani Donald Trump umesitisha na kuzuia misaada ya kimarekani kwa nchi za kigeni. Marco Rubio ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameripotiwa kutuma...
11 Reactions
113 Replies
5K Views
Kwanini kama inaonekana waafrika Kila wakati tunalalamika kuhujumiwa na wazungu hasa Marekani? Je, Afrika tuna mkataba na Marekani/wazungu kuwa ni lazima tuwategemee wao kuthibitishwa, kiuchumi...
1 Reactions
2 Replies
123 Views
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amesema biashara ya kokeini inaweza kudhibitiwa kwa urahisi ikiwa dawa hiyo itahalalishwa duniani kote, kwakuwa dawa hiyo si mbaya zaidi kuliko whisky. Katika...
18 Reactions
38 Replies
1K Views
Hakuna mwenye nia ya dhati ya kuikomboa Congo. Watu wanazidiana kupata maslahi siyo kuleta amani ya kweli Congo. M23 ni jeshi ambalo wakiamua kulifuta linafutika hata kama linasaidiwa na Kagame...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Baada ya jana Trump kusaini amri ya kukata msaada kwa South Africa pamoja na kuruhusu kupewa hifadhi ya ukimbizi Marekani kwa wazungu wa Africa Kusini(Boers) anaosema wananyanyaswa na serikali ya...
1 Reactions
13 Replies
607 Views
Wanajeshi wa DRC wamekimbia uwanja wa mapambano na kuamua kujikabidhi kwa mahasimu wao, yani jeshi la Rwanda. Baada ya kuona hivyo, wanajeshi mamluki zaidi ya 280 toka Romania na Ufaransa...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Back
Top Bottom