International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo...
0 Reactions
17 Replies
817 Views
Je, Elon Musk ni mtaalam wa maswala ya Fedha kama Prof Alhaj Assad wa Tanzania? Ni hilo tu 🐼
5 Reactions
55 Replies
2K Views
Iko wazi kuwa kweli banyamulenge wana haki ya kuwa raia wa Congo na kupata haki zao zote za msingi kama raia wa nchi hiyo. Lakini je, inapofikia raia hawana uzalendo tena na nchi ambayo kimsingi...
1 Reactions
1 Replies
169 Views
Wanaukumbi, Afisa mwandamizi wa Palestina ameieleza Newsweek maoni yake kuhusu pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kuwahamisha wakazi wote wa Ukanda wa Gaza ili kufanikisha miradi ya...
13 Reactions
166 Replies
4K Views
Tumeshuhudia mapigano katika ya vikosi vya waasi wa M23 na majeshi ya Sadc pamoja na jeshi la Congo Lkn mpk Sasa M23 wametwaa na kuukalia mji wa Goma kimabavu na kuteua Magavana hii ni sawa na...
0 Reactions
1 Replies
139 Views
President Donald Trump has said he’s revoking Joe Biden’s security clearance and ending the daily intelligence briefings he’s receiving, in payback for Biden doing the same to him in the wake of...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Waasi wa M23 wameunda Serikali mpya nchini DRC kwa kumteua Kanali Bahati Musanga kuwa Gavana wa Jimbo la Kivu Kaskazini, manaibu Gavana wawili, Willy Manzi na Shadary Bahati, Meya wa Jiji la Goma...
3 Reactions
60 Replies
2K Views
USA Instructs UK to takeover Ukraine defense group military committee Hal Turner World February 06, 2025 Americans have instructed the United Kingdom (UK) to take over leadership of Ukraine...
2 Reactions
13 Replies
601 Views
Baada ya Trump kuishambulia Africa Kusini kwamba inawanyanyasa raia wake wazungu, Waziri wa mambo ya nje wa Marekani America kushiriki mkutano wa G20 utakaofanyikia Africa Kusini kwa sababu na...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Tamko alilolitoa Donald Trump akiwa na Benjamin Netanyahu akisema ataichukua Gaza na kuijenga upya kwa kuwaondosha wapalestina imepelekea mshtuko mkubwa kwa viongozi wa mataifa mengi pamoja na...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Wakuu, Huko nchini Marekani, viongozi na baadhi ya wabunge wameandamana nje ya jengo la USAID wakitaka shirika hilo lirudishwe na misaada irudi haraka sana. Jamii Raskin ambaye ni mbunge kutoka...
11 Reactions
65 Replies
3K Views
Mjini Goma, raia wengi wameonyesha wasiwasi kuhusu bunduki nyingi zilizopo mikononi mwa wenzao. Jeshi la serikali la FARDC, liliposhindwa vita, wanajeshi walitupia bunduki na risasi mtaani, ambapo...
2 Reactions
2 Replies
140 Views
Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana ukija TZ wapo wachache ila wamejitahidi kwenye maendeleo, hupendelea biashara za malori. Shida inakuja huko kwao kuna hali...
1 Reactions
38 Replies
960 Views
https://x.com/BrendaMonkango/status/1888118771555938620 Pichani(video), ni gari iliyobeba chakula kwa ajili ya wanajeshi wa jeshi la serikali ya Congo,FARDC waliopata majeraha wakati wa vita na...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Mamlaka nchini Niger zimeliamuru shirika la msalaba mwekundu kusimamisha shughuli zake nchini humo na kufunga ofisi zake mara moja .Vilevile, Niger imevunja mikataba iliyoruhusu shirika hilo...
3 Reactions
15 Replies
664 Views
Iran imezindua meli yake ya kwanza ya kubeba droni, ikisema inaweza kufanya operesheni katika bahari za mbali kutoka bara la nchi hiyo, shirika la habari la IRNA liliripoti Alhamisi. Kwa mujibu...
1 Reactions
18 Replies
993 Views
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inawasilisha muswada kwa baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kutaka uchunguzi ufanywe katika kile inachokiita ni ukiukaji mkubwa wa haki katika mji wa...
1 Reactions
3 Replies
183 Views
Wafalme wa nchi zote za kiislamu ikiwemo mashariki ya kati ni marafiki wa maadui wa Mwenyezi Mungu.Wameweza kuwatawala watu wao kwa njama na ujanja ila wakati wao wa kuondolewa umefika. Kampeni...
3 Reactions
16 Replies
746 Views
Pamoja na kwamba Rwanda inaedelea kutoa sapoti kwa M23 nchini DRC, inakadriwa hadi sasa Rwanda imepoteza zaidi ya wanajeshi 2000 katika mapigano yanayoendelea. Rwanda imekuwa ikifanya siri na...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom