International Forum

News and Stories from rest of the World
Kuna mzozo unaendelea kati ya Canada na India. Mzozo huu ulianza baada ya kiongozi wa Sikh, Hardeep Singh Nijjar, kuuawa mnamo Juni 2023 huko British Columbia. Waziri Mkuu wa Canada, Justin...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Nov 26, 2023 02:26 UTC Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita baada ya kushindwa kumkomboa hata mateka wake mmoja kupitia...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Mjumbe wa Muungano wa al Fat'h wa Iraq ameashiria jinsi makundi ya muqawama ya nchi hiyo yanavyoyaunga mkono makundi ya muqawama ya Palestina katika vita vya Ghaza na kusema kuwa, makundi hayo...
1 Reactions
6 Replies
737 Views
Ikiwa leo ni Siku ya pili ya Vita kusimama Israel wamesema wataachia Wafungwa wengine 42 ifikapo Jioni Nao Hamas watawaachia Mateka 14 wa Israel Source Al jazeera news
2 Reactions
9 Replies
606 Views
Ni mwaka 1964 usiku mmoja hivi, wanaume wanne weusi walikutana ndani ya chumba kimoja na kuanza kuzungumza. Usiku huo ulikuwa mkubwa kwa Wamarekani weusi, haikuwahi kutokea watu wa namna hiyo...
0 Reactions
7 Replies
790 Views
Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas wabunge wa Israel walia A picture[emoji1313][emoji1313] of the killed unit from 'Givati Brigades' who were blown up together in northern Gaza...
13 Reactions
249 Replies
13K Views
Katika vita jambo la msingi askari awepo vitani anapaswa kuwa nalo ni ile spirit ya kupambana dhidi ya adui kwa hali yoyote ili amuangamize. Hii kwa mifano michache nayo ifahamu ni pamoja na...
3 Reactions
15 Replies
988 Views
Kama tunavyohisi na ndo inaendelea kutokea. Vita ya Gaza ina maslah makubwa kwa Russia , lakini pia Russia na Israel kuna jambo katikati si bure. Mwenyekiti wa Baraza la usalama la Urussi Bw...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna watu wanamsapoti Putin/Urusi kulazimisha kuikalia Ukraine kwa mabavu na wanasapoti Hamas kupambana Gaza kutokaliwa kimabavu na Israel ila wanaipinga Ukraine kupambana kutokaliwa kimabavu na...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano. Ikumbukwe kuwa mpaka juzi...
23 Reactions
149 Replies
8K Views
Duru za kijeshi za Marekani zinaripoti kuwa meli ya mizigo inayomilikiwa na bilionea wa Israel imeshambuliwa na ndege isiyo na rubani na kusema, "Drone hiyo inashukiwa kuwa ya Iran." Afisa huyo...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Nabii Elia amewashukia Maaskofu wanaoiombea Serikali ya Netanyahu na kuichangia Sadaka waache kupotosha Watu kwani Netanyahu ni Wakala wa Shetani Nabii Elia amewataja Askofu Prof Gamanywa na...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Je unataka kujua ni kwa nini uchumi wa nchi kama Tanzania unazidi kuwa ktk hali mbaya kila kukicha na gharama za maisha zinazidi kupaa na kusababisha umaskini kuongezeka basi soma makala hii...
0 Reactions
3 Replies
505 Views
HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo...
7 Reactions
86 Replies
5K Views
Baada ya wajapan kuwa na tabia ya kishenzi na kufanya majirani zake karibia wote kutowapenda kutokana na ushenzi aliokuwa anawafanyia ndio alipo jikoroga na kupanda mabega kwenda kuwaoneshea...
20 Reactions
157 Replies
7K Views
Kuonesha kuwa Hamas vita vyao ni baina ya Palestina na Israel imeendelea kuwaachia mateka ilionao ambao ni raia wa mataifa mengine bure kabisa. Hii inaonekana kuwakamata kwao ilikuwa ni kwa bahati...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimeona sehemu mwana JF Bome-e analia sana kuhusu taarifa za Israel kukamata watoto, ila kikawaida kwenye medani unapomhusisha mtoto ashambulie jeshi, mara moja anakua military target, haijalishi...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Muda mfupi baada ya kusitishwa kwa vita kunakotarajiwa kuendelea kwa siku 4 makundi ya wapalestina waliotiii amri ya kwenda kusini ya Gaza walionekana kuandamana kutaka kurudi makwao. Jeshi la...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Meli ya Israel imetekwa na Wapiganaji wa Houthi ikiwa na ma baharia wa Kijapani, hii imefuatia tangazo la hivi majuzi kuionya Israel kua meli zake zote zitalipuliwa zikikatisha Yemen [emoji779]...
6 Reactions
188 Replies
12K Views
Vile vi operation uchwara kupaisha yale mabati kwenda kupiga vinu vya nuclear kule Syria na Iraq viko wapi? vile vi covert operation vya kipuuzi ambavyo vinapigiwa chapuo miaka na miaka kwenda...
39 Reactions
208 Replies
10K Views
Back
Top Bottom