Majasusi watatu wa Mosad wamekamatwa kama panya na wanaintelijensia wa Iran na Taliban katika operesheni maalum ya kuimarisha ulizni baina ya mataifa hato katika milima iliyo mpakani mwa Iran na...
ISRAEL/GAZA: ZAIDI YA WATadi hiyo inajumuisha vifo takriban 350 vya Raia wa Israel na Wapalestina zaidi 230 ambao wametajwa kupoteza maisha kufuatia majibizano ya Mashambulizi kati ya Kundi la...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni hajaonesha wasiwasi kuhusu kuondolewa kwa nchi yake katika mpango maalum wa kibiashara wa Marekani na Afrika,AGOA.
Wiki iliyopita, Rais wa Marekani Joe Biden...
Maelezo ya picha,
Naibu Mkuu wa Hezbollah, Sheikh Naim Qassem, ameiambia BBC hatari ya mzozo wa kikanda ni ya kweli wakati huu vita vya Israel-Hamas vikiendelea
Saa 2 zilizopita
Kamanda wa pili...
Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa
Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie...
Nimeona zoezi la kushambulia Hamas kwa vita vya ardhini (ground invasion) litakuwa na changamoto nyingi sana kwa Wazungu. Hii siyo Israeli tu, hata Marekani vita ya ardhini hawezi.
Ngoja tuone...
Wayahudi wamepitia magumu mengi tangu enzi za kabla ya Yesu, ikiwemo kuuawa na kisha kutiwa utumwani Misri na Babylon (Iraq), kunyang'anywa ardhi yao iliyomilikiwa na babu zao, ardhi iliyokuwa...
Mfalme Abdallah wa Jordan hapo jana alitangaza kuwa jeshi la nchi hiyo bila hofu lilidondosha misaada muhimu kwenye kituo chake kilichopo Gaza katikati ya vita vinavyoendelea.
“Our fearless air...
Tangu mgogoro kati ya Israel na kundi la Hamas kuzuka, vyombo vya habari vya nchi za magharibi vimekuwa vikiripoti bila uwiano kuhusu changamoto zilizoletwa na mgogoro kati ya pande hizo mbili...
Nov 08, 2023 03:33 UTC
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amelaani vikali mashambulizi ya kinyama utawala wa Kizayuni huko Gaza na kusisitiza kuwa, mataifa ya Kiislamu yana...
Mpaka nikiandika mataifa yaliyokarisha uhusiano na Israel yamefikia 9. Kwa unyama inaofanya taifa hilo hasa kuuwa watoto ikifika kesho jioni watakaokuwa wamebaki watakuwa ni wachache.
Tanzania ni...
Sisi watu weusi tumerogwa....
Tumekuwa tu wapumbavu mpaka Upumbavu umekuwa sisi. Nenda hapo Darfur kaangalia mauaji yanayofanywa na hawa JanjaWeed wenye ushirika mkubwa na Hamas na Hezbollah...
Mzuka wanajamvi.
Hii habari ya Israel kulipua kituo kikuu uchwara cha maji Gaza nimeiopokea kwa furaha sana. Matenki uchwara ya kutosha yamelipuliwa.
Haiwezekani magaidi yakaishi na kuendekeza...
Katika kufatilia historia ya Vatican inatumika kama branch ya Western Intelligence katika kufanikisha mipango yao, sasa Papa kama kibaraka kaja na swaga kutaka kuja Russia ili amshawishi Putin...
Hivi US anafanya nini huko Syria?
---
A military base in southern Syria where U.S. troops have maintained a presence to train forces as part of a broad campaign against the Islamic State group...
Makamu wa Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU)inayohusika na uchunguzi wa Maudhui Mitandaoni, #VeraJourova ametoa agizo hilo baada ya kufanya kikao na Viongozi wa Mitandao hiyo iliyolalamikiwa...
Tofauti na waungaji mkono wa Palestina kwamba wametulia kwenye nchi zao,waziri wa nchi wa Marekani amekuwa hatulii nchini kwake tangu shambulio la Hamas la oktoba 7.
Safari ya mwanzo aliyoifanya...
Waziri wa Uchukuzi wa Afrika Kusini, Sindisiwe Chikunga amesimulia tukio la kuibiwa wa kusema wezi walimtishia kwa kumuwekea bastola kichwani kisha wakamuibia wakati alipokuwa akibadilisha tairi...
Katika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.