International Forum

News and Stories from rest of the World
Mwezi mmoja sasa tokea Israel inaaze kuitwanga Gaza. Israel inaitwanga Ghaza baada ya HAMASI kuishambulia Israel kwa kushitukiza na kuwachukua watu kama Mateka. Lengo la Israel kuibomoa Ghaza ni...
2 Reactions
0 Replies
315 Views
Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambayo haikutarajiwa katika vita vinavyoendelea Gaza. Kwanza general mtaafu wa jeshi la IDF aliyepewa kazi kuongoza kikosi cha wastaafu wenzake,Yair Golan...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Jeshi la Israel linakabiliwa na mapambano makali kutoka kwa wapiganaji wa Hamas ndani ya Gaza. Masaa 24 yaliyopita Israel imepoteza zaidi ya wanajeshi 24 kwa kuuawa na wapiganaji wa Hamas huku...
11 Reactions
79 Replies
5K Views
Waziri wa Sheria, Charles Wright, amesema Moussa Dadis Camara akiwa na Wanajeshi wengine wa ngazi za juu wametoroshwa katika Gereza la Central House walilokuwa wamefungwa ikiwa ni baada ya kutokea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Umoja wa Mataifa umesema siku ya Jumamosi kuwa watu milioni 4.4 duniani kote hawana uraia wa taifa lolote, ingawa idadi halisi huenda ikawa kubwa zaidi kutokana na watu hao "kutotiliwa maanani"...
0 Reactions
2 Replies
564 Views
Shambulio la Hamas la oktoba 7 ilikuwa ni sababu na kisingizio cha Israel kutekeleza ajenda zake za muda mrefu nazo ni kuifuta kabisa Palestina. Ukweli huo unaonekana katika kuongezeka kwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Itakua kuna mtu kamtonya kiongozi wa Hezbollah kwamba kwa sasa Israel wana hasira isiyo na kifani na kujaribu ugomvi nao ni kujitakia kipigo cha mbwa, walisubiriwa watangaze vita, nyuzi...
23 Reactions
141 Replies
9K Views
Nov 05, 2023 06:50 UTC Habari za karibuni kabisa za Palestina zinazungumzia kuendelea mashambulizi ya anga na mizinga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia kwenye Ukanda wa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kauli za raisi wa Ukraine na kamanda wake wa majeshi hazitii shaka kuwa vita vya Ukraine karibu vitaisha kwa kushindwa Ukraine. Hayo yamepaikana katika machapisho ya CNN tarehe 3 Novemba baada ya...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Bada ya wakimbizi wa kipalestina kuondelewa kutoka Jordan walipokelewa na Lebanon, nchi ambayo ilikuwa yenye mchanganyiko wa wakristu na waislam. Wakristu walikuwa wengi kuliko waislam. Sasa hawa...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi...
9 Reactions
136 Replies
5K Views
Viongozi wa ECOWAS Wametoa amri ya kupelekwa Jeshi Ili wakawanyoe Waliofanya Mapinduzi huko Niger na kurejesha Serikali ya Kiraia. --- Viongozi wa Jumuiya ya Uchumi wa Afrika Magharibi (ECOWAS)...
4 Reactions
80 Replies
6K Views
Wale wapenzi wachache wa Israel wameona matokeo yasiyopendeza katika jeshi la Israel.Walitaraji baada ya siku mbili kuingia Gaza,kajioneo kadogo tu wangeona vikosi vya IDF vikiwa vimebeba mateka...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Nov 05, 2023 06:46 UTC Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, harakati hiyo ina uhakika wa kuushinda utawala wa Kizayuni katika...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wana mgambo wa HAMAS hawamiliki kifaru hata kimoja wapa ndege ya jeshi,harakati zao dhidi ya Israel huzifanya kwa kutumia bunduki, rocket na makombora ya masafa mafupi na yale ya mkononi pamoja na...
7 Reactions
59 Replies
7K Views
Kiongozi huyo ambaye awali alikuwa ni msanii wa maigizo na ucheshi (comedian) amewasihi waandishi wa habari kuacha kumuuliza maswali kuhusu mambo ya rushwa maana kwa sasa yupo bize na mambo ya...
3 Reactions
3 Replies
439 Views
Kitu pekee kinachofanya Makundi ya Palestina yaonekana ya Kigaidi hususani kwenye umoja wa mataifa na nchi za magharibi ni namna yanavyofanya mashambulio. Kundi la Hamas lilipaswa kupiga kambi...
23 Reactions
109 Replies
6K Views
Nov 03, 2023 03:29 UTC Kamanda mmoja wa vitani wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon aliyekutana na ujumbe wa vyombo vya habari vya Iran, ameelezea hali ya hivi karibuni...
8 Reactions
93 Replies
6K Views
Mtawala wa zamani wa Kijeshi, Moussa Dadis Camara, amerejea jela baada ya kundi la watu wenye silaha kuvamia gereza katika Mji Mkuu wa #Conakry, Novemba 4, 2023 asubuhi na kumtorosha Camara na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapiganaji wa Iraq:Kuanzia wiki ijayo tutaanza kuishambulia Israel kwa makombora na Drones Katika kile kinachoonekana ni kuunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina Harakati ya Iraq imetangaza...
6 Reactions
57 Replies
5K Views
Back
Top Bottom