Wanasema uzee dawa na ni kuona mengi katika maisha ya ubinadamu. Nakumbuka miaka hiyo ya 1965, nilikuwa kijana mdogo kabisa na nikifuatilia kwa karibu mzozo wa Mashariki ya Kati. Nilibahatika...
Wanaukumbi.
Takriban watu 22 wameuawa kwa kupigwa risasi huko Lewiston, Maine na watu 50-60 kujeruhiwa katika maeneo mawili tofauti: uchochoro wa mpira wa miguu na baa.
Robert Card, askari wa...
Sikupenda kujiingiza kwenye mjadala juu ya ugaidi na mauaji ya kimbari vinavyotokea Gaza, ila kinachoendelea kinatisha.
Sikupenda kwa sababu Waafrika yanapotukuta haya, huwa wenzetu hawajali...
Rais Jinping amemfuta Kazi Waziri wa Ulinzi Li Shangfu bila kueleza sababu
Baraza la Mawaziri la China litaendelea kufanyiwa mabadiliko kulingana na wakati tulionao, amesema Rais Jinping
-----...
Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amepongeza msimamo ulioonyeshwa na Russia na China katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na hatua hayo ya...
Mgogoro huo ulihusisha Makubaliano ya mwaka 2010 baina ya Nigeria na Kampuni ya Process and Industrial Developments Limited (P&ID) kuendesha Kiwanda nchini humo ambacho kingebadilisha gesi asilia...
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema, Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi atafanya ziara nchini Marekani kuanzia tarehe 26 hadi 28 mwezi huu. Kabla ya hapo, tangu mwezi Juni mwaka huu...
Vifo vya watu ukanda wa GAZA vimefikia 5,790 huku nusu yake ikiwa ni watoto, wanawake na wazee. Hospitali zote zimefungwa kutokana na mafuta ya kuzalisha umeme kuisha kabisa hivi leo. Umoja wa...
Mashambulizi ya risasi yaliyotokea maeneo tofauti katika Kitongoji cha Lewiston kwenye Mji wa Maine yamesababisha watu 22 kuuawa na wengine kati ya 50 hadi 60 kujeruhiwa.
Polisi wa Lewiston...
Wanaukumbi.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres, katika hotuba mapema Jumanne.
Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya Hamas hayakutokea bila sababu. Watu wa...
Palestina, Julius Nyerere na mshikamano wa kimataifa
Rosalynn Carter, Rais Julius Nyerere wa Tanzania na Jimmy Carter, tarehe 4 Agosti 1977 [Wikipedia]
Binafsi huwa sikubaliani na Nyerere...
Vita ya kuuana kwa Teknolojia inakuja [emoji44]
Tajiri namba moja ulimwenguni Elon musk amewaonya kuwa mzozo unaoendelea kati ya nchi ya Israel na Palestine unaweza kusababisha vita ya tatu ya...
Wamekubali kupatanishwa na yule wanayependa kumuita "kafir".........
The Sudanese army said Wednesday it has accepted an invitation to resume US- and Saudi-brokered talks aimed at ending more...
Kaimu waziri mkuu wa Lebanon, Najib Mikati hapo jana alifanya ziara ya kushtukiza kusini ya nchi yake na mpakani na Israel.Katika ziara hiyo aliambatana na kamanda mkuu wa majeshi ya nchi hiyo...
Takwimu nchini Marekani zinaonyesha kuwa kila baada ya sekunde 13 wanandoa nchini Marekani wanapeana talaka, Ripoti zinaeleza zaidi kuwa kila baada ya dakika mbili baada ya wanandoa kula kiapo...
Kundi la wanamgambo wa HAMAS limechapisha video inayoonesha mpiganaji mmoja wa HAMAS akimsindikiza mwanamke mmoja na watoto wawili kuelekea upande wa Israel kutokea upande wa GAZA. Mpiganaji huyo...
Watu wanajiuliza kwanini mwaka wa 50 mataifa yenye nguvu duniani wanaipiga Palestina lakini bado vidume vipo pale pale na wanasubiri NATO na Israel waingie kwa miguu wateketee. Ingalikuwa nchi...
Israel imesambaza vijikaratasi kuomba habari kuhusu mateka wanaoshikiliwa na Hamas na kutoa ulinzi na fidia kama malipo.
Vijikaratasi hivyo vimeandikwa kwa lugha ya kiarabu vikisema, ikiwa nia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.