Waziri wa Elimu ya Juu wa nchini Afrika Kusini ametangaza nia ya Serikali ya kujumuisha Shahada ya Uchawi kwenye mtaala kuanzia mwaka 2018.
Akizungumza na wawakilishi kutoka Vyama vya wanafunzi...
Kumekucha
Dmitry Medvedev Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ametahadharisha kuwa, oparesheni ya nchi kavu ya Israel itafuatiwa na taathira nzito na za umwagaji damu.
Shirika la habari...
Mwanamke mzee Muisrael aliyeachiliwa huru na wapiganaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema alikirimiwa na kutendewa wema katika muda wa wiki mbili alipokuwa...
Vladimir Putin anaaminika kuwa katika "hali mbaya lakini mbaya" na "aliingia kwenye mashine" baada ya kupata mshtuko wa moyo mwishoni mwa wiki, RadarOnline.com imeripoti.
Katika hatua ya...
Hawa kuja kuwaelewa itachukua muda sana, sijui shida huwa nini haswa, mauaji na vita vita.
====
LAHORE, Pakistan (AP) — A pair of gunmen walked into a mosque in Eastern Pakistan on Wednesday and...
Kwa mara nyengine nchi za kiarabu ambazo zina udugu wa damu na kiimani na wapalestina wamekutana mjini Dubai na kutoa maneno yale yale ambayo wameshayasema mara nyingi.
Safari hii wamekutana...
Wadau naona kipindi hiki tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine
Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali...
Imagine taifa halina hata rasilimali, sehemu kubwa ni jangwa, mashambulizi mara kwa mara lakini bado uchumi wao ni mkubwa kuliko nchi zote za Afrika mashariki.
Pato la taifa ni Dola bilioni 500+...
Anthonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) alilazimika kuyakana matamshi yake kuhusu HAMAS baada ya kulaumiwa na Israel kwa kauli yake kuwa HAMAS ni wapigania ardhi yao iliyokaliwa...
Marekani imeamua kutoa mlio wa uchungu dhidi ya Iran baada Kambi zake zilipo Mashariki ya kati Iraq na Syria kulipuliwa. Mashambulizi hayo yamefanywa na vikundi vya kimapigano toka Iraq lakini...
Tuombe waungaji mkono wa Israel wakubali kusitisha vita haraka kwani dunia inaelekea kuwa nyeusi kutokana na vita vitakavyoleta majonzi kwa kila mtu.
Hali hiyo imedhihirika katika kuchanganyikiwa...
Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
Habari wanajukwaa!!
Tujitahidi kuwa makini sana na hawa watu waliochagua upande kwenye hivi vita vinavyoendelea.
Kuna upotoshaji wa wazi wazi na kimakusudi kuhusu vita hivi, mfano mzuri ni...
Serikali ya Israel imewaponza raia sita wa India kukatwa vichwa kwa kuwatumuia kama majasusi (informer) huko Nchini Qatar
[emoji1203][emoji1134][emoji1128] Death sentence for 8 Indians who spied...
Kwa mujibu wa televisheni ya Aljazeera ni kuwa upatanishi unaoendelea nchini Qattar uko katika hatua za mwisho kukamilika ili vita visimamishwe kwa haraka muda wowote kuanzia sasa.
Ijapokuwa...
Taarifa ya Serikali imesema Jengo la Ghorofa 6 lina Ofisi wakati lenye Ghorofa 4 lina Ukumbi wa Vikao vya Bunge na Seneti. Thamani ya majengo yote ni Tsh. Bilioni 250 ambayo yamejengwa kwenye eneo...
Watu ukishawajua bhana, haikusumbui!
Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa!
Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya...
Adis Ababa: Ethiopia.
Katika hali kughadhibika kutokana na mauaji ya kijinga yanayofanywa na Serikali ya kigaidi ya Israel. AU imeamua kutoshirikiana na Israel kuwatimua Wawakilishi hao wa...
Mwanamke wa Nigeria Obinuju Anthonia Ibeanu, amejifungua watoto 9 baada ya miaka 25 ya ndoa.
Ripoti zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zilifichua kuwa mwanamke huyo alikuwa ameolewa kwa zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.