Kwema Wakuu!
Vita inayoendelea huko Israel Vs Palestina (Hamas) inadhihirisha kuwa namna bora ya kukabiliana na Magaidi ni kutumia mbinu zao wenyewe, yaani kuwafanyia ugaidi mara mbili.
Kwa...
Katika video inayosambaa mtandaoni inamuonesha waziri mkuu wa Israel, Netanyahu akiwashutumu waislamu kwa kumshawishi Adolf Hitler kuwauwa na kutaka kutokomeza taifa hilo.
Adolf Hitler aliacha...
Lakini wanatumia akili wapo makini, hawaingii kichwa kichwa kama Warusi walivyofanya Kyiv na kuangukia pua, hawa wanaingia kiaina yaani kikomando, na mpaka sasa wako Gaza ndani wanasukumiza...
Watu 32 wamefariki na wengine 63 kujeruhiwa leo, katika ajali iliyohusisha basi la abiria na magari kadhaa kugongana na baadhi kuwaka moto katika mkoa wa Beheira nchini Misri kwenye barabara ya...
Mahakama ya Qatar imetoa hukumu ya kifo kwa raia nane wa India ambao ni wafanyakazi katika Kampuni ya Al Dahra Nchini Qatar baada ya kukutwa na hatia ya kufanya ujasusi.
Maafisa hao walikamatwa...
Mwanaharakati anayetetea matumizi sahihi ya bangi, Whoopi Goldberg aliyefahamika kupitia Filamu ya Sarafina amebuni bidhaa hiyo ili kuwaokoa Wanawake
Akihojiwa na New York Times, Whoopi mwenye...
[emoji1134][emoji1096] Sources to Al-Mayadeen: The attack targeted the highest peak of Mount Amba Suir, from which Israeli forces take an observation post in the Red Sea.
Israeli forces are...
Shabiki wa Liverpool amelalamika mtandaoni kwa kitendo cha kuondolewa uwanjani kwa sababu ya kuvaa koti Lenye ujumbe wa "Free Palestine".
Shabiki huyo aliondolewa uwanjani na vyombo vya usalama...
Watu wawili wameuawa katika maandamano nchini Msumbuji ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa mitaa.
Shirika lisilo la kiserikali la Centre for Public Integrity - CIP limesema polisi waliwafyatulia...
Buriani kwa sisi waswahili ni maneno ya mwisho ya mtu ambaye amejiona yuko hatua za mwisho kufa na kuiacha dunia.
Salamu kama hizo leo zimetolewa kwa wingi kwenye mitandao ya kijamii kama tiktok...
Kwa sauti moja hapo jana baraza kuu la umoja wa mataifa lilipitisha azimia likitaka vita visitishwe kwa muda ili kutoa fursa ya majadiliano na kuwezesha misaada kuingia Gaza.
Kinyume chake taifa...
Baada ya mfululizo wa mashambulizi kwenye kambi zake huko Syria na Iraq Marekani imeamua kuondoa Wanamgambo wake Iraq na kuwapeleka Denmark
===
More than 40 American soldiers depart from Baghdad...
Leo karibu misikiti yote duniani kulikuwa na hotuba ya kuwalaani Mayahudi na kuwaombea dua na kuwapongeza Palestina kwa hatua yao ya kuilinda ardhi yao na kuilinda ardhi tukufu ya waislam...
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Boris Johnson amejiunga na kituo cha televisheni cha ‘GB News’ kilichopo jijini London, Uingereza.
BBC imeripoti kuwa Johnson, ambaye alijiuzulu ubunge mapema...
-AL Jazeera correspondant Wael Dahdouh's wife, daughter and son we're killed when Israel bombed Gaza
- Dahdouh had sent his family to AL CAMP for their safety before they used to live in Gaza...
Kama kuna jamii ya watu wa ajabu ni Waafrica, ukitizama mitandaoni utaona namna gani watu wako busy kuitetea Izrael na Palestina, watu wanakosa usingizi kutetea SLAVE MASTER wao.
Kwa kifupi kama...
Kitendo cha kuigawia uhuru wa dola nchi ya ISRAEL mwaka 1948 haikuwa sahihi na huenda ilikuwa ni mpango mkakati wa kuivuruga amani pamoja na uchumi wa dunia hii inatokana kuwapo na histosia kubwa...
yule mjeda aliepita muda mwingi alikuwa anabadilisha mahospitali tu kwa umri mrefu na hadi ameondoka hata upande huu haujui maana hajawahi kukatiza huku.
huyu wa sasa siku wanamwapishwa alikuwa...
Tembea uone na kuishi kwingi ni kuona mengi:
Clip hii inajieleza.
Demokrasia ipi au haki zipi za bindamu Marekani au Ulaya magharibi watamwambia nani wapi?
Undumila kuwili wao unawapa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.