International Forum

News and Stories from rest of the World
Hii inaitwa kama mbwai na iwe mbwai Baada ya Israel kuzima internet Gaza sasa bilionea Elon baada ya maombi ya watu zaidi ya milioni 250 kuomba Star Link iwashe Gaza finally wamekubali na hii...
12 Reactions
162 Replies
22K Views
Wataalamu waliohudhuria Kongamano la Mkutano wa Mtandao wa majadiliano kuhusu Ukanda Mmoja, Njia Moja wamesema kuwa pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja, ambalo linalenga kuharakisha ukuaji wa...
1 Reactions
1 Replies
329 Views
Mwaka 2013, rais wa China, Xi Jinping, alitoa Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI), ambalo miaka 10 baadaye, limesifiwa sana na jamii ya kimataifa kama ‘mradi wa karne’. Likiwa na mtandao...
1 Reactions
1 Replies
333 Views
Palestina hana silaha kubwa. Yeye anatumia manati na jiwe huku NATO na Isreal wakitumia mabomu yenye kuangamiza na yaliopigwa marufuku duniani. Lakini kwanini hadi leo wanaogopa kuingia kwa...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Wanajeshi wa Israel wakiwa kwenye vifaru wameiteka barabara kuu inayounganisha GAZA kusini na GAZA kaskazini. Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanasema kwamba jambo hilo litaifanya Israel kuugawa...
15 Reactions
89 Replies
22K Views
Mwaka 2023 utakuwa muhimu sana kwa nchi zinazojali ushirikiano wa kimataifa, na mwaka huu utaandikwa katika vitabu vya historia kwasababu nchi zote duniani zilizojiunga na Pendekezo la “Ukanda...
1 Reactions
1 Replies
448 Views
Ubishi, ukaidi na ujeuri wa Wapalestina kutaka kupambana na Israel itapelekea maafa na mateso zaidi kwa watu wasiokuwa na hatia. Ama kwa kupenda au kutokupenda, suluhisho rahisi na lenye kuleta...
27 Reactions
175 Replies
8K Views
If there is anyone President Paul Kagame is a darling of, it’s his fellow Rwandans. No country aspires to be the eternal recipient of handouts. Rwandans, like other Africans, are hardworking and...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
(Who is the Emirates that is trying to interfere in all the affairs of countries far from it, Yemen, Libya, Syria, and finally, Sudan? 📌 The secret of the “Emirates” that no one knows Media...
0 Reactions
1 Replies
670 Views
Watu wa Marekani "wanadai uwajibikaji wa kweli" kwa mabilioni yaliyotengwa kwa Kiev, Mike Johnson amesema[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Utawala wa Rais wa Marekani Joe Biden haujaweka wazi ni...
1 Reactions
2 Replies
415 Views
Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na mke wake Sara wamehama kutoka makazi yao na kuhamia kwa rafiki yake na bilionea wa kimarekani, Simon Falic ambaye nyumbani kwake kuna handaki la...
5 Reactions
58 Replies
6K Views
Jamhuri ya Dagestan ni moja ya miji midogo ndani ya urusi inayosifika kwa kuwa na waislam wengi, huwa wana dalili za kujitenga na Urusi, Ni kama walivyo Chechnya. Kwenye vita inayoendelea kwa...
9 Reactions
136 Replies
5K Views
Msemaji wa jeshi la Israel ameongea hayo akihojiwa na ABC jumatatu ya leo anasema hawqtaingia Gaza kama Hamas wataachia mateka wote na wao kujisalimisha. Hayo yanakuja baada ya waziri wa ulinzi...
5 Reactions
112 Replies
9K Views
Kamanda wa jeshi la Hamas Mohammed Deif alitoa wito kwa Wapalestina kila mahali kujiunga na operesheni ya kundi hilo, muda mchache baada ya wapiganaji wa kundi lake kuvamia Israel na kusababisha...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao. Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma...
5 Reactions
68 Replies
6K Views
Kwanini nchi za kiarabu haziendelei licha ya kuwa na rasilimali nyingi kama mafuta na gesi?
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Hatua hiyo inafuatia taarifa za Wanajeshi kuvamia makazi ya Watu Oktoba 29, 2023 na kuwajeruhi kwa vipigo ikidaiwa ni kulipiza kisasi kwa madai kuwa Wananchi wa eneo la Garu Kaskazini Mashariki...
0 Reactions
2 Replies
658 Views
Toka Gaza ikumbwe na mashambulizi ya Israel hakuna nchi ya Kiislamu iliyothubutu kukemea unyanyasaji huyo kwa raia lakini 🇮🇷 imethubutu mara kadhaa kusema huenda ikaingia na kusababisha mzozo kuwa...
11 Reactions
85 Replies
7K Views
Sisi wanadamu ni viumbe wa ajabu sana MUNGU katuumba na akili timamu ya kujitabua lipi jema na lipi ni baya. DRC ni sehemu iliyotawaliwa na mauaji tangu miaka ya 90 ila mpaka leo hakuna Juhudi...
4 Reactions
363 Replies
17K Views
Mimi sio muislamu ila sifurahishwi na mauaji ya watu wasio na hatia yanayofanywa Kwa makusudi na Israel na Washirika wake Western Countries. Naunga mkono hoja ya Erdogan --- Rais wa Uturuki Recep...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom